kunguru2016
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 299
- 245
Ni bora kukaa kimya kuliko kuandika vitu vya hovyoWaislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Ukiwa muislamu utaona ni vya hovyo!, ila kama una akili utatambua hoja!
Sniper,Hapana kaka mkubwa sijasoma ila nimefuatilia sana nyuzi zako humu na kuzisoma.
Kuishi kwa upendo najua ina maana kubwa sana
Lakini hatujawahi kupigana au kuuwana kwa udini mzee
Ingawa naona yajayo
Sent from my SM using Tapatalk
Hii ni chuki mbaya sana, na itapeleka taifa kupasuka kama dhulma za hivi zinaachwa bila kulalamika na kujua undani wakeSniper,
Upendo hauwezi kuwepo katika dhulma.
Soma kisa hiki hapo chini upate picha ya haya ninayokueleza:
Mohamed Said: Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande Kosa Lake Kusomesha Wanafunzi Qur'an na Kukataa Kuchakachua Mitihani
View attachment 997252
Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande
Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.
Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.
Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.
Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.
Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.
Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.
Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.
Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.
Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.
Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.
Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.
Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.
Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''
Haya ni machache.
Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.
Black Sniper,Hii ni chuki mbaya sana, na itapeleka taifa kupasuka kama dhulma za hivi zinaachwa bila kulalamika na kujua undani wake
Watu wanaonea kisa kufundisha dini?
Kila mwanzo lina mwisho
Inahuzunisha sana
Sent from my SM using Tapatalk
Khan,Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Kha!! Mwana ccm anatamka hayo hadharani! Sasa sisi waislam tuna nafasi kweli huko ccm kwenu? Bora umetushtua mapema!Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Kiongozi kama umeninote nimesema waislamu si wazuri (wengi wao) lakini si "Uislamu", nilishangazwa sana na maneno ya Shekhe mmoja anawaambia waislamu " Muislamu ndugu yakr Muislamu", Nilihuzunika sana, Afrika wapi tunaelekea?Khan,
Umeandika kwa hasira nyingi sana.
Ndipo ninapouliza hizi chuki nini sababu na chanzo cheke.
Historia ya udugu iliyowekwa na wazee wetu ni nani kaifuta?
WAISLAM WALIKUWA NA MAPENZI MAKUBWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Hii ndiyo historia yetu ya mapenzi baina yetu. Baba wa Taifa yuko katikati ya Waislam waliomkaribisha Dar es Salaam 1952 wakamchagua kuwa kiongozi wa TAA 1953, 1954 wakaunda TANU Nyerere akiwa rais na 1955 wakamfungia safari ya UNO. Huu uadui na kuwanyanyapaa na kuwabagua Waislam nini chimbuko lake na imesababishwa na nini na nani muhusika? Kuna mtu anaeweza kutoa majibu?
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere akiwa kashikwa mkono na Mzee Mshume Kiyate kulia na kushoto kashikwa na Mzee Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi. Mwalimu Nyerere kazungukwa na Waislam. Udugu na mshikamano huu umepoteaje? Je, kulikuwa na watu waliokuwa hawafurahishwi na umoja huu? Ni nani hawa? Picha hii ni Uchaguzi Mkuu 1962.
Hawa akina mama wa Kiislam ndiyo walikuwa wanachama wa mwanzo wa TANU 1954. Kulia ni Bi. Tatu bint Mzee akifuatiwa na Bi. Titi Mohamed. Kushoto wa kwanza ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Attas) wakimsindikiza Mwalimu Nyerere Uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955.
Idd Faiz huyo hapo aliyevaa kanzu, koti na tarbush kulia kwa Nyerere akimsindikiza safari ya UNO 1955.
Kushoto Idd Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramiya, Saadan Abdu
Kandoro na Haruna Taratibu, Dodoma 1955. Huyu Idd Faiz ndiye
aliyekuwa mkusanyaji fedha za safari ya Mwalimu Nyerere UNO 1955
ni huyo hapo chini kulia kwa Mwalimu Nyerere alyevaa kanzu, koti na
tarbush.
View attachment 997514
Khan,Kiongozi kama umeninote nimesema waislamu si wazuri (wengi wao) lakini si "Uislamu", nilishangazwa sana na maneno ya Shekhe mmoja anawaambia waislamu " Muislamu ndugu yakr Muislamu", Nilihuzunika sana, Afrika wapi tunaelekea?
Detective J,Ahaaa sasa ishu ya UDOM. Wanachotaka ni kujenga msikiti ndani ya eneo la chuo.
Uongozi wa chuo ulishawahi kukataa kabisa dini yoyote kujenga nyumba za ibada katika eneo la chuo.
Instead chuo walitenga halls maalum kwa ajili ya waislam kuswalia na dini zingine.
Ndio utaratib ambao umekuwepo kwa muda mrefu sasa.
Na halls za waislam haziguswi au kutumika na dini nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Detective J,
Hapo chini ni taarifa ya BAKWATA kuhusu Msikiti wa UDOM:
View attachment 998449
Samaha Mufti Sheikh Abubakar Zubeir akikagua uwanja wa eka 10 uliotolewa kwa ajili ya matumizi ya Waislamu katika Chuo Kikuu cha Dodoma. (UDOM)
Matayarisho yote kwa ajili ya ujenzi ikiwa ni pamoja na ufadhili wa ujenzi yamekamilika kwa asilimia mia moja.
Hata hivyo kwa mujibu wa Amiri wa Waislamu Dr. Kombo hivi karibuni wamepata maelekezo kuwataka wasimamishe ujenzi kusubiri marekebisho ya sera.
Mufti ameahidi kulishughulikia suala hilo ili kuruhusu ujenzi uendelee.
Harith Nkussa
Mwandishi Maalum wa Mufti wa Tanzania
Kwanini walimuachia, ilibidi afie jela huyuSniper,
Upendo hauwezi kuwepo katika dhulma.
Soma kisa hiki hapo chini upate picha ya haya ninayokueleza:
Mohamed Said: Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande Kosa Lake Kusomesha Wanafunzi Qur'an na Kukataa Kuchakachua Mitihani
View attachment 997252
Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande
Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.
Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.
Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.
Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.
Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.
Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.
Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.
Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.
Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.
Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.
Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.
Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.
Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''
Haya ni machache.
Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.
Nimesoma post yako lakin nimeona pengo kubwa katika fikra zako.Sniper,

Detective J,Nimesoma post yako lakin nimeona pengo kubwa katika fikra zako.
First _ unatafuta huruma kupitia mtu mmoja
Second _ source ya habari ulizopata imetokea wapi? Na lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkuruvi,Waislam ni rahisi sana kulalamika kuwa mnanyanyasika, lakini hakuna nchi zina ubaguzi WA dini kama nchi za KI Islam. Huko makanisa yanachomwa moto, wanaokuwa wakristo wanauwawa
Sent using Jamii Forums mobile app