Siasa za msikiti Uingereza

Siasa za msikiti Uingereza

Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Ni bora kukaa kimya kuliko kuandika vitu vya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kaka mkubwa sijasoma ila nimefuatilia sana nyuzi zako humu na kuzisoma.
Kuishi kwa upendo najua ina maana kubwa sana
Lakini hatujawahi kupigana au kuuwana kwa udini mzee
Ingawa naona yajayo

Sent from my SM using Tapatalk
Sniper,
Upendo hauwezi kuwepo katika dhulma.

Soma kisa hiki hapo chini upate picha ya haya ninayokueleza:

Mohamed Said: Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande Kosa Lake Kusomesha Wanafunzi Qur'an na Kukataa Kuchakachua Mitihani

1547726330617.png

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande

Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.

Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.

Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.

Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.

Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.

Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.
Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.

Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.

Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.

Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.

Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.
Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''
Haya ni machache.

Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.
 
View attachment 997252

Hii ni chuki mbaya sana, na itapeleka taifa kupasuka kama dhulma za hivi zinaachwa bila kulalamika na kujua undani wake

Watu wanaonea kisa kufundisha dini?
Kila mwanzo lina mwisho
Inahuzunisha sana

Black Sniper,
Kipo kisa hiki cha Rashid Zahaki:
Mohamed Said: MAUWAJI YA MSIKITI WA MWEMBECHAI 1998

1547744168711.png

Sajenti Rashid Zahaki Kijana wa Kiislam Aliyefukuzwa Kazi Jeshi la Polisi
kwa Kusikitishwa na Mauaji ya Msikti wa Mwembechai Mwaka 1998

Sikupata kabla kumjua Rashid Zahaki hadi aliponipigia simu nikiwa Tanga na hapo ndipo tulipofahamiana. Kwa ufupi aliniambia kuwa ana habari muhimu kuhusu kuuliwa kwa Waislam Mwembecha ambazo angependa kunifahamisha. Tukapanga miadi kuwa nikija Dar es Salaam nitampigia simu tuonane na anipe hicho kisa. Mauaji ya Mwembechai yalikuwa mashuhuri na ni moja katika matokea ya kusikitisha na kuhuzinisha katika historia ya Waislam wa Tanzania. Hakika nilimkaribisha Rashid Zahaki nyumbani kwangu na akanielza mkasa mzima wa nini kilikuwa kimepangwa hadi yakatokea mauaji yale. Wakati ule yeye Rashid Zahaki alikuwa katika Jeshi la Polisi. Kanda ile niliyorekodi nilimpa Dk. Hamza Mustafa Njozi na yeye kufuatia umuhimu wa taarifa ile alitumia mazungumzo yangu kwenye moja ya kitabu chake,''Muslims and the State in Tanzania.'' Kabla ya kukutana na mimi kwa muda mrefu alipita katika vyombo vya habari tofauti akijaribu kuwaeleza ukweli wa kile kilichotokea Mwembechai na kusababisha mauaji lakini hakuna hata mhariri mmoja aliyekuwa tayari kumsikiliza na kuchapa taarifa yake. Kipindi kile alinieleza Zahaki kuwa kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yake licha ya kuwa hana tena njia ya kuendesha maisha yake bali aliona kwa dhahiri yake nguvu ya Mfumokristo katika Tanzania. Ndipo hapo baadhi ya watu wakamuelekeza kukutana na mimi labda ningeweza kusikiliza kisa chake na kukiweka bayana kwa Waislam kukifahamu. Wakati namsikiliza Rashid Zahaki ilinijia picha katika kitabu cha Muhammad Ali ''The Greatest My Own Story,'' ambacho kuna sura inayoeleza kuwa siku moja katika miaka ya 1970 baada ya Ali kushinda kesi ya kufungiwa kupigana, muda mchache kabla hajapanda ulingoni aliletwa kijana wa Kinegro ambae Klu Klux Klan walikuwa wamemhasi, yaani wamemkata sehemu zake za siri na kuzinyofoa kabisa kwa chuki ya rangi. Yule kijana kwa muda mrefu alikuwa anatafuta nafasi ili amuone Ali na kumwelezea kisa chake akiamini Ali alikuwa na uwezo na ujasiri wa kueleza dunia mkasa wake. Zahaki tukiwa nyumbani kwangu sauti iliyokuwa ikinijia ilikuwa ya kinasa sauti changu kikizunguka na sauti ya upole ya Zahaki akieleza chuki iliyokubuhu katika jeshi la polisi dhidi ya Waislam. Hii ilikuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Muongo mmoja. Hali ikoje hivi sasa?

Nilimfananisha Zahaki na yule kijana wa Kinegro aliyefika mbele ya Ali kumueleza dhulma aliyofanyiwa na Wazungu wabaguzi wa rangi.

Kisa kizima cha Sajenti Rashid Zahaki kimo humu ndani:
http://www.mohammedsaid.com/2014/02/rashid-zahaki-na-mauaji-ya-mwembechai.html

Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Khan,
Umeandika kwa hasira nyingi sana.
Ndipo ninapouliza hizi chuki nini sababu na chanzo cheke.

Historia ya udugu iliyowekwa na wazee wetu ni nani kaifuta?

WAISLAM WALIKUWA NA MAPENZI MAKUBWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Hii ndiyo historia yetu ya mapenzi baina yetu. Baba wa Taifa yuko katikati ya Waislam waliomkaribisha Dar es Salaam 1952 wakamchagua kuwa kiongozi wa TAA 1953, 1954 wakaunda TANU Nyerere akiwa rais na 1955 wakamfungia safari ya UNO. Huu uadui na kuwanyanyapaa na kuwabagua Waislam nini chimbuko lake na imesababishwa na nini na nani muhusika? Kuna mtu anaeweza kutoa majibu?

1547697413953-png.996785

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere akiwa kashikwa mkono na Mzee Mshume Kiyate kulia na kushoto kashikwa na Mzee Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi. Mwalimu Nyerere kazungukwa na Waislam. Udugu na mshikamano huu umepoteaje? Je, kulikuwa na watu waliokuwa hawafurahishwi na umoja huu? Ni nani hawa? Picha hii ni Uchaguzi Mkuu 1962.

Hawa akina mama wa Kiislam ndiyo walikuwa wanachama wa mwanzo wa TANU 1954. Kulia ni Bi. Tatu bint Mzee akifuatiwa na Bi. Titi Mohamed. Kushoto wa kwanza ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Attas) wakimsindikiza Mwalimu Nyerere Uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955.
Idd Faiz huyo hapo aliyevaa kanzu, koti na tarbush kulia kwa Nyerere akimsindikiza safari ya UNO 1955.

1547697514425-png.996788

1547697592314-png.996790

1547697743316-png.996791

Kushoto Idd Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramiya, Saadan Abdu
Kandoro na Haruna Taratibu, Dodoma 1955. Huyu Idd Faiz ndiye
aliyekuwa mkusanyaji fedha za safari ya Mwalimu Nyerere UNO 1955
ni huyo hapo chini kulia kwa Mwalimu Nyerere alyevaa kanzu, koti na
tarbush.

1547744875055.png
 
Kha!! Mwana ccm anatamka hayo hadharani! Sasa sisi waislam tuna nafasi kweli huko ccm kwenu? Bora umetushtua mapema!
 
View attachment 997514
Kiongozi kama umeninote nimesema waislamu si wazuri (wengi wao) lakini si "Uislamu", nilishangazwa sana na maneno ya Shekhe mmoja anawaambia waislamu " Muislamu ndugu yakr Muislamu", Nilihuzunika sana, Afrika wapi tunaelekea?
 
Sikutegemea kuwa utakuja kwa utulivu na lugha za kiungwana.
Ahsante sana.

Maneno ya Muislam nduguye Muislam si maneno ya sheikh yeyote
awaye yule.

Huyo ni Allah anatuambia Waislam katika Qur'an lakini haina maana
kuwa asiye Muislam ni adui yako.

Wasio Waislam wana haki zao kutoka kwa Waislam na moja ni kuishi
kwa pamoja kwa ihsani, yaani wema mradi hawaonyeshi uadui.

Nyerere Baba wa Taifa letu kafika Dar es Salaam kapokewa na Abdul
Sykes
mmoja katika viongozi wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika, yaani
Umoja wa Waislam wa Tanganyika na alipojiuzulu ualimu akatoka Pugu
akaja kukaa nyumbani kwa Abdul Sykes.

Nilitegemea utakuwa na neno la kusema katika hizo picha nilizokuwekea.

Hao akina mama wakongozwa na Bi Chiku bint Said Kisusa ndiyo walikuwa
mashoga wa Mama Maria wakati huo mama yetu ana kiduka kidogo cha kuuza
mafuta ya taa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi jirani na nyumba ya Bi. Chiku
na nyumba ya Abdul Sykes.

Chakula cha mchana kwa Mama Maria kinapikwa na mke wa Abdul Sykes
Mama Daisy
na mwanae, Daisy Sykes anakibeba kupeleka pale dukani kwa
Mama Maria ambako alikuwa akishinda kutwa nzima na wanae wadogo.

Huko ndiko walikotoka wazee wetu bila ya kujali dini zao.

Idd Faiz Mafungo ndiye na nduguye Idd Tosiri waliyempeleka Nyerere kwa
Sheikh Mohamed Ramia Bagamoyo kumtambulisha kama kiongozi wa TANU
na kumuomba sheikh amuunge mkono.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliomjulisha Nyerere kwa Mufti Sheikh
Hassan bin Ameir
na pia kumchukua Nyerere hadi Zanzibar kumjulisha kwa
Abeid Amani Karume.

Ushahidi wa udugu huu ni hiyo picha Mwalimu Nyerere kasindikizwa uwanja
wa ndege na hawa akina mama safari ya kwanza UNO 1955.

Hii ndiyo Tanganyika ya umoja bila ubaguzi waliyojenga wazee wetu.

Haya ya kuwapiga vita Waislam wasipate elimu na wachache wenye elimu
kupigwa vita hawa wenye kufanya haya mfano huu wameupata wapi?

Watu hawa nani mwalimu wao?
 
Ahaaa sasa ishu ya UDOM. Wanachotaka ni kujenga msikiti ndani ya eneo la chuo.
Uongozi wa chuo ulishawahi kukataa kabisa dini yoyote kujenga nyumba za ibada katika eneo la chuo.

Instead chuo walitenga halls maalum kwa ajili ya waislam kuswalia na dini zingine.
Ndio utaratib ambao umekuwepo kwa muda mrefu sasa.
Na halls za waislam haziguswi au kutumika na dini nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Detective J,
Hapo chini ni taarifa ya BAKWATA kuhusu Msikiti wa UDOM:

1547836478695.png

Samaha Mufti Sheikh Abubakar Zubeir akikagua uwanja wa eka 10 uliotolewa kwa ajili ya matumizi ya Waislamu katika Chuo Kikuu cha Dodoma. (UDOM)

Matayarisho yote kwa ajili ya ujenzi ikiwa ni pamoja na ufadhili wa ujenzi yamekamilika kwa asilimia mia moja.

Hata hivyo kwa mujibu wa Amiri wa Waislamu Dr. Kombo hivi karibuni wamepata maelekezo kuwataka wasimamishe ujenzi kusubiri marekebisho ya sera.

Mufti ameahidi kulishughulikia suala hilo ili kuruhusu ujenzi uendelee.

Harith Nkussa
Mwandishi Maalum wa Mufti wa Tanzania
 
Detective J,
Hapo chini ni taarifa ya BAKWATA kuhusu Msikiti wa UDOM:

View attachment 998449

Samaha Mufti Sheikh Abubakar Zubeir akikagua uwanja wa eka 10 uliotolewa kwa ajili ya matumizi ya Waislamu katika Chuo Kikuu cha Dodoma. (UDOM)

Matayarisho yote kwa ajili ya ujenzi ikiwa ni pamoja na ufadhili wa ujenzi yamekamilika kwa asilimia mia moja.

Hata hivyo kwa mujibu wa Amiri wa Waislamu Dr. Kombo hivi karibuni wamepata maelekezo kuwataka wasimamishe ujenzi kusubiri marekebisho ya sera.

Mufti ameahidi kulishughulikia suala hilo ili kuruhusu ujenzi uendelee.

Harith Nkussa
Mwandishi Maalum wa Mufti wa Tanzania

Lakini ukitaka kuangalia hadhi na heshima ya Waislam Tanzania ni lazima
ufanye ''deduction,'' yaani ufananishe tukio hilo hilo kwa kulinganisha na
hali kama hiyo hiyo lakini inahusu wengine.

Chukua mfano Kadinali Pengo kaenda UDOM kama alivyofanya Mufti Zubeir
wa BAKWATA na akaonyeshwa ardhi ya kujenga kanisa.

Chukua kuwa uongozi wa UDOM kiongozi akiwa Muislam anawapa Wakatoliki
11 uhamisho na taarifa anazitoa kama alivyofanya Mama Gaudens Kabaka na
akidai kuwa Waktoliki hawa wamekaa muda mrefu katika nafasi zao.

Kupiga msumari wa moto juu juu ya kidonda inatoka amri ya kuvunja uzio wa
kanisa.

Lakini twende mbele kidogo hizo nafasi 11 za waliohamishwa Wakatoliki huyu
kiongozi Muislam nafasi hizi anazijaza na Waislam.

Msomaji tengeneza picha hii katika kichwa chako na ishighulishe akili yako kutaka
kujua nini itakuwa matokeo yake.

Hebu jitahidi kutengeneza vichwa vya habari vya magazeti vikiandikwa kwa wino
mweusi uliokoza.

Huu ndiyo ukweli wa nchi yetu.
 
Sniper,
Upendo hauwezi kuwepo katika dhulma.
Soma kisa hiki hapo chini upate picha ya haya ninayokueleza:
Mohamed Said: Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande Kosa Lake Kusomesha Wanafunzi Qur'an na Kukataa Kuchakachua Mitihani

View attachment 997252
Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande

Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.

Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.

Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.

Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.

Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.
Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.

Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.

Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.

Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.

Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.

Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.

Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''

Haya ni machache.
Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.
Kwanini walimuachia, ilibidi afie jela huyu

Nimesoma post yako lakin nimeona pengo kubwa katika fikra zako.
First _ unatafuta huruma kupitia mtu mmoja
Second _ source ya habari ulizopata imetokea wapi? Na lini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislam ni rahisi sana kulalamika kuwa mnanyanyasika, lakini hakuna nchi zina ubaguzi WA dini kama nchi za KI Islam. Huko makanisa yanachomwa moto, wanaokuwa wakristo wanauwawa

Sina sababu ya kutaka huruma mimi ni mtafiti na mwandishi na nimeandika
mengi katika historia ya Tanzania kwa hiyo suala la huruma halipo.

Haya si yanayomkuta mtu mmoja haya ni mambo yanayoendelea katika jamii
yetu kwa muda mrefu sana.

Soma historia ya Rashid Zahaki hapo chini:

1547844861204.png

Sikupata kabla kumjua Rashid Zahaki hadi aliponipigia simu nikiwa Tanga na hapo ndipo tulipofahamiana. Kwa ufupi aliniambia kuwa ana habari muhimu kuhusu kuuliwa kwa Waislam Mwembecha ambazo angependa kunifahamisha. Tukapanga miadi kuwa In Shaa Allah nikija Dar es Salaam nitampigia simu tuonane na anipe hicho kisa. Mauaji ya Mwembechai yalikuwa mashuhuri na ni moja katika matokeo ya kusikitisha na kuhuzinisha katika historia ya Waislam wa Tanzania. Hakika nilimkaribisha Rashid Zahaki nyumbani kwangu na akanielza mkasa mzima wa nini kilikuwa kimepangwa hadi yakatokea mauaji yale.

Niliyarekodi mazungumzo yetu. Kanda ile niliyorekodi nilimpa Dk. Hamza Mustafa Njozi na yeye kufuatia umuhimu wa taarifa ile alitumia mazungumzo yangu kwenye moja ya kitabu chake,''Muslims and the State in Tanzania.'' Kabla ya kukutana na mimi kwa muda mrefu alipita katika vyombo vya habari tofauti akijaribu kuwaeleza ukweli wa kile kilichotokea Mwembechai na kusababisha mauaji lakini hakuna hata mhariri mmoja aliyekuwa tayari kumsikiliza na kuchapa taarifa yake. Kipindi kile alinieleza Zahaki kuwa kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yake licha ya kuwa hana tena njia ya kuendesha maisha yake bali aliona kwa dhahiri yake nguvu iliyokuwapo dhidi ya Uislam. Ndipo hapo baadhi ya watu wakamuelekeza kukutana na mimi labda ningeweza kusikiliza kisa chake na kukiweka bayana kwa Waislam kukifahamu.

Wakati namsikiliza Rashid Zahaki ilinijia picha katika kitabu cha Muhammad Ali ''The Greatest My Own Story,'' ambacho kuna sura inayoeleza kuwa siku moja katika miaka ya 1970 baada ya Ali kushinda kesi ya kufungiwa kupigana, muda mchache kabla hajapanda ulingoni aliletwa kijana wa Kinegro ambae Klu Klux Klan walikuwa wamemhasi, yaani wamemkata sehemu zake za siri na kuzinyofoa kabisa kwa chuki ya rangi. Yule kijana kwa muda mrefu alikuwa anatafuta nafasi ili amuone Ali na kumwelezea kisa chake akiamini Ali alikuwa na uwezo na ujasiri wa kueleza dunia mkasa wake. Zahaki tukiwa nyumbani kwangu sauti iliyokuwa ikinijia ilikuwa ya kinasa sauti changu kikizunguka na sauti ya upole ya Zahaki akieleza chuki iliyokubuhu katika jeshi la polisi dhidi ya Waislam. Nilimfananisha Zahaki na yule kijana wa Kinegro aliyefika mbele ya Ali kumueleza dhulma aliyofanyiwa na Wazungu wabaguzi wa rangi.

Unaweza kukisoma kisa chake chote hapo chini:
Mohamed Said: MAUWAJI YA MSIKITI WA MWEMBECHAI 1998

Source: Utafiti na mahojiano na wahusika mbalimbali
 
Mzee raia wa Commonwealth tuna haki ya kupiga kura Uingereza mradi uwe na valid passport.
 
Waislam ni rahisi sana kulalamika kuwa mnanyanyasika, lakini hakuna nchi zina ubaguzi WA dini kama nchi za KI Islam. Huko makanisa yanachomwa moto, wanaokuwa wakristo wanauwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nkuruvi,
Hayo ya nchi nyingine ikiwa yapo ni mambo yasiyopendeza hapa
tunajadili matatizo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom