Siasa za msikiti Uingereza

Siasa za msikiti Uingereza

Mzee raia wa Commonwealth tuna haki ya kupiga kura Uingereza mradi uwe na valid passport.
Sky...
Kuna mwanangu jana kaniletea taatifa hizi.
Ahsante sana.

Siku zote nikiamini ni ile kodi yangu labda kwa kuwa hili likijitokeza
mara kwa mara na ni miaka mingi imepita sasa.
 
Baada ya miaka 50 ulaya yote itakua Islamic continent. Wenzetu wengi wanaelekea huko toka Middle East na North Africa na idadi yetu haitopungua kamwe. Inshaallah
Nimeishi Uingereza kwenye mji mmoja unaitwa Cardiff ambao ni mji mdogo ulioko Wales na kwa kawaida kwa Waingereza watu wa Wales wanadharaulika wanaonekana washamba.

Neil Kinnock alipata kugombea kutaka kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na yeye ni Mwelshi.

Siku moja kaingia mwalimu wetu mmoja yeye ni kutoka England anaitwa Brown Thomas akamsema kwa ubaya sana Kinnock, ‘’Ati na huyu nae anataka kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nani atampigia kura Mwelish?’’

Kwa sababu hii na dharau hii mimi nilipokwenda kupiga kura nilimpigia Neil Kinnock wa Labour Party lakini hakushinda aliyeshinda alikuwa John Major wa Conservative.

Najua msomaji wangu unashangaa vipi huyu mtu kutoka Kariakoo apige kura Uingereza?

Naam nimepiga kura. Uingereza sheria yao ni kuwa ukiwa ni mlipaji kodi haijaslishi kama ni mwananchi au mgeni unaweza kupiga kura.

Mbunge wangu mgombea alinifata nyumbani kwangu Column Road kwa adabu zote kuomba kura yangu.

Msikiti wa mtaani kwangu ni jengo ambalo hapo zamani lilikuwa kanisa lakini kwa kuwa watu walikuwa hawaendi kuabudu Wakristo wa sehemu ile wakaamua kuliweka gazetini kutangaza kuuza kanisa lao.

Hapo wakatokea Waislam wakalinunua kanisa lile na kuligeuza kuwa msikiti.

Hivi ndivyo ilivyotokea kwa msikiti huu Darul Isra kuwa katikati ya makazi ambayo wengi wa wakazi ni Wakristo.

Kwa muda wote nilioishi eneo lile sikupata kuhisi uadui wowote kutoka kwa hawa Waingereza kuwa walikuwa na chuki na msikiti ule.

Tatizo lilikuwa moja tu.

Barabara ya kuingia msikitini ilikuwa inakataza kuegesha magari kwa sababu ya ufinyu wa barabara.

Siku ya Ijumaa wanafunzi wengi wanakuja msikitini kwa ajili ya sala ya Ijumaa na baadhi yao ni vijana wanafunzi kutoka ncbi za Kiarabu ni wanafunzi lakini wana magari mazuri tu na lazima waje na magari yao na watayaegesha hapa mtaani na trafiki watakuja na kuweka tiketi.

Hawajali fedha wanazo wanalipa faini.

Ikatokea baada ya kurudi Tanzania nilirudi tena Cardiff nikitokea London na nikaenda Darul Isra msikitini kwangu kwa zaamani.

Safari hii nikapewa habari nyingine ya kufurahisha kuwa msikiti ule umenunua kanisa lingine na kuna mpango wa kulikarabati kuligeuza msikiti lakini kwa wakati ule lile kanisa wakilitumia kama bohari ya kuwekea vitu.

Nimekwenda Tilbury Port huu ni mji nje ya London na ni bandari.

Siku za nyuma bandari hii ilikuwa na biashara kubwa lakini wakati wa Magret Thatcher uchumi ulibadilika na bandari hii ikapoteza umuhimu wake.

Wengi wa wakazi wa mji ule mdogo walikuwa wafanyakazi wa bandari na baada ya bandari kukosa biashara na kazi kuwa haba wafanyakazi wengi walipoteza ajira kwa hiyo wakahama mji.

Niliingia Tilbury mchana kwa treni.

Nilipata mshtuko mkubwa sana.

Mji mzima hakuna mtu anaeonekana barabarani wala gari kupita.

Maduka ya mtaa mzima mkubwa wenyewe wanaita ‘’High Street,’’ yamefungwa lakini matangazo yapo yakitangaza biashara tofauti.

Unatembea barabarani unasikia sauti ya kiatu chako kinapogonga lami ya barabara.
Tilbury ni ‘’ghost town,’’ mji uliohamwa na katika masiaha yangu yote sijapatapo kuona kitu kama hiki.

Inabidi wenyeji waliobakia wakuelekeze mahali ambapo unaweza kwenda kula chakula sehemu inaitwa Stella Maris, hii ni mfano wa huku kwetu wa Mission to Seaman sehemu ambayo zimewekwa maalum kwa kuwahudumia mabaharia kwa malazi na chakula.

Eid Kubwa imenikuta katika mji huu na hakuna msikiti lakini nimefahamishwa kuwa Waislam wapo ingawa hawana msikiti.

Wenyeji wakanieleza kuwa katikati ya mji kuna shule ya msingi ambayo hapo ndiyo Sala ya Eid huswaliwa ndani ya darasa.

Hapo ndipo niliposwali Sala ya Eid na wengi wa Waislam walikuwa Wahindi.

Miaka mingi ikapita siku moja nikajikuta niko Maryland, Washington DC Amerika na Ijumaa imefika.
Mwenyeji wangu Dr. Harith Ghassany akanichukua twende kusali.

Haikunipitikia kuwa sehemu ile hakuna msikiti na hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Hapakuwa na msikiti.

Dr. Ghassany alinichukua John Hopkins University na tuliswali ndani ya moja ya madarasa ya chuo hicho.

Tanzania nchi ambayo Waislam ni umma mkubwa kuna chuki dhidi ya Uislam kupelekea kuvunjwa misikiti...

Swali la kujiuliza ni nchi yetu nani kaifikisha hapa?
Nini chanzo cha uadui huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya miaka 50 ulaya yote itakua Islamic continent. Wenzetu wengi wanaelekea huko toka Middle East na North Africa na idadi yetu haitopungua kamwe. Inshaallah

Sent using Jamii Forums mobile app
Na baada ya ulaya yote kuwa Islamic continent nchi zote za huko zitakuwa shithole kama nchi za kiislam za sasa. Sas a sijui baada ya hapo mtakimbilia wapi! China?Japan au Korea? Uzuri waislam wakiwa majority kwenye nchi lazima hiyo nchi iwe na kila aina ya uonevu hadi wenyewe mnakimbia!

Kama ipo nchi duniani ya kiislam yenye kitenda haki sawa kwa watu wake bila ubaguzi wowote nitajie. Na mm nitakutajia mbili za makafir!
 
Endapo hayo yanafanyika Ulaya, kwa nini Nchi za Kiarabu zina waua wanao amini Ukristo?? Kwa nini wanachoma Makanisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nkuruvi,
Fanya utafiti zaidi hayo usemayo hakuna.

Ni makosa makubwa kwa Musilam kumuua asiyekuwa Muislam
kwa kuwa tu yeye ni imani tofauti.

Hapa uondoe ugaidi ambao hauna uhusiano wowote na Uislam.
Jitenge na propaganda jifunze elimu sahihi,

Ushoga pedophilia ni tatizo kubwa kwenye kanisa lakini hatuwezi
kudai kuwa hayo ni mafunzo ya Ukristo.
 
We we unaota mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We we unaota mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
Siala...
Kuna wakati ndoto na uhalisia zinakwenda pamoja kama hivi
unasoma makala hiyo inakujia kuwa ni ndoto.

Wala hili si jambo baya ndivyo tulivyo binadamu tuko tofauti
hakuna watu wawili walio sawa.

Uwezo wa akili zetu umepishana mno kiasi kama ni mtihani
matokeo yake yanakuwa mfano wa ''pyramid.''

Wenye kuongoza katika darasa juu wanakuwa wachache na
wale wengine wanakuwa wengi chini.

Sasa nakuwekea makala ambayo nimeandika kwa staili nyingine
ningependa unifahamishe hii imekujiaje kama ndoto au kama kweli?:

''The Bunge can be a very interesting theatre for epic stories of which authors like Irving Wallace could be inspired to write best seller and tantalising novels which film makers like Oliver Stone or Steven Spielberg would make block blasters.

The peak of the current saga on CAG could make a very moving scene in a movie where the CAG is shown being arrested by fierce looking no nonsense policemen in full combat gear and with sirens blasting, driven hand cuffed and under heavy guard to the airport and put on a chartered plane to Dodoma.

The director would definitely want to make the most of the scene through lighting so as to have impact and to leave up to the realities of African politics of fear and intimidation – ‘’they come at midnight,’’ the arrest surely must take place in the small hours of the night.

The camera crew not to be left out would shoot this scene from different angles, zooming in and out on the face of the CAG and the arresting policemen sweating in the heat of Dar es Salaam.

What is to take place in Dodoma I leave to the imagination of the script writer.

Can anyone come up with the title of the movie?
It was only my imagination running away with me.
What about, ‘’The Tale of Two Professors.’’

There was a time in the Bunge where a group of about 60 to 80 MPs would always jeer at the late Prof. Malima every time he spoke inside or outside Bunge buildings or during debating of bills that he was supposed to defend.

This anti-Malima Group had able journalists who excelled in portraying Prof. Malima negatively in their papers.

Interesting even the President, Ali Hassan Mwinyi himself was at times not spared.

It was during these interesting moments of the Bunge that it is believed the 1994 Ministry of Finance Budget speech was leaked to the Anti-Malima Group before it was presented to the Bunge by the minister Prof. Malima.

The day before the budget speech the Anti-Malima Group, it later came to be known, locked themselves in a hotel room in the city centre coaching each other on how to tackle Prof. Malima the following day.

Reflecting on the leaked budget speech Prof. Malima in his sense of humour said that the moment the MPs began commenting on his speech he had a vision of marking a paper of dumb students who had cheated an examination.

I am waiting for the grand finale of the CAG’s movie which is in the making.

It my hope that it will not be an anti-climax.''
 
Na baada ya ulaya yote kuwa Islamic continent nchi zote za huko zitakuwa shithole kama nchi za kiislam za sasa. Sas a sijui baada ya hapo mtakimbilia wapi! China?Japan au Korea? Uzuri waislam wakiwa majority kwenye nchi lazima hiyo nchi iwe na kila aina ya uonevu hadi wenyewe mnakimbia!

Kama ipo nchi duniani ya kiislam yenye kitenda haki sawa kwa watu wake bila ubaguzi wowote nitajie. Na mm nitakutajia mbili za makafir!
Baada ya ulaya yote kuwa islamic continent?
Simply haitotokea hivyo.. kwann? Kuna kitu kinaitwa culture. If you think europe wataruhusu hali hiyo.. wazungu waki sence culture yao ina vamiwa wata retaliate. Condition zitakuwa kama china.
Tukija asia.. angalia china walichofanya ... na china wako admired na nchi za kiislam
Japan ,korea ndio hawatak udini kabisa. Wamepiga marufuku dini yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Europe imefunga milango mkuu. Walikuwa wakipokea wakimbizi lakin ndani ya muda mchache umesikia hayo tena?
Uk walipiga hesab wakaona nchi yao ina karibisha hatari mbeleni. Plus uchumi wao hauwez ku sustain both wananchi na wkimbizi at the same time.
+ si wakimbizi wote wanatoka africa walikuwa waislam..
Baada ya miaka 50 ulaya yote itakua Islamic continent. Wenzetu wengi wanaelekea huko toka Middle East na North Africa na idadi yetu haitopungua kamwe. Inshaallah

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya waislamu unafiq utakuja waua,tungeambina chanzo cha kuvunja msikiti ni nini? tupime kuna sababu ya msingi ama laah.

ila mlivyo wanafiq mnakimbia kusema sababu mnajificha kwenye 'tumeonewa' sisi tangu uhuru huwa tunaonewa blah blah kibao.

si kwamba mlimpenda sana J.K sema elimu ndogo na uwezo mdg ndo viliwasukuma kumkubali jamaa, kwani hakukuwa na chama cha kiislamu kikipinga harakati za mchonga.

unatupa mifano ya mbele huko, itokee leo wakristo wanunue msikiti ambao waislamu wameacha kusali uote mtakavyo liamsha dude

kifupi wengi wa dini yenu ni wanafiq
 
YAANI MIISLAM INAPENDA KUJIPA MOYO SANA..ETI TANZANIA AMBAYO UMMA MKUBWA NI WAISLAMU!? MAMAYO NANI KASEMA WAISLAM WENGI TANZANIA!? UNAKUMBUKA REPORT YA TBC 2012!? 61% WAKRISTO 19% WAISLAM.
hawa jamaa huwa ni wagonjwa tena sana tu.Nimewahi kuwa na mahusiano na binti wa kiislamu kumbe wenzake wanaumia eti ntambadiri dini? wakajipanga wakaja nambia nihamie dini yao ama nimuache nikaona hawa wamedata sasa.
 
Hahaa kwa iyo ukamwacha mtoto mashaalah...
 
Nkuruvi,
Fanya utafiti zaidi hayo usemayo hakuna.

Ni makosa makubwa kwa Musilam kumuua asiyekuwa Muislam
kwa kuwa tu yeye ni imani tofauti.

Hapa uondoe ugaidi ambao hauna uhusiano wowote na Uislam.
Jitenge na propaganda jifunze elimu sahihi,

Ushoga pedophilia ni tatizo kubwa kwenye kanisa lakini hatuwezi
kudai kuwa hayo ni mafunzo ya Ukristo.
Nawewe ni mfia dini kiasi hicho pamoja na kuwa na umri mkubwa?

Ikitokea ukaitwa gaidi, mbaguzi n.k utakataa?
Unafahamu yakwamba taratibu na mafundisho mengi (si yote) ya kiislamu yanabagua na kuwakandamiza wasio waisilamu?

Mfano Mwisilamu nduguye ni mwisilamu hili lilitokea hata Chuo kikuu cha Garisa, pili nimefatilia post zako nyingi zinazohusu dini yako ni dhahiri unahekima ila ni mbaguzi mkubwa kwa wasio waislamu, kuna mtu anaitwa Faizafoxy nimepitia kidogo post zake mama yangu huyu ni Mbaguzi, na nikatili sana dhidi ya dini zingine
Mkuu badilisheni hayo mafundisho image yenu kwa jamii itasafishika
 
Safi kabisa mkuu, tungepatikana vijana 10 wa namna hii na tukapata nafasi huko juu, hawa ngedere wangehama hii duara.
Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu hawaaminiki, magaidi, roho mbaya. Mimi hua nakaa nao mbali. Leo nimeingia lecture room nikakaa, kidogo akaingia mwanamke kavaa kama ninja akakaa karibu yangu, asee ilibidi nimwambie " hapa simsikii lecturer" nikahama maana hawaaminiki hawa watu unaweza kuta kavaa bomu ajilipue.

Khan said:
Waislamu mna uwezo finyu sana wa kufikiri, Mnalalama kama mtoto wa kambo, Mnaikumbatia tamaduni ya kigeni (Uislamu) Kuliko utu au ubinadamu, Waislamu hamuaminiki, waislamu ni Magaidi, watu ambao hawana utu, Watu ambao huwezi kuwa na amani kuishi nao, watu wanaoonesha ubaguzi wa kidini wazi wazi! "Waislamu", Achana na tukio tu la Dodoma, Kuna haja ya waislamu kubomolewa Misikiti yao yote..
Khan,
Umeandika kwa hasira nyingi sana.
Ndipo ninapouliza hizi chuki nini sababu na chanzo cheke.

Historia ya udugu iliyowekwa na wazee wetu ni nani kaifuta?

WAISLAM WALIKUWA NA MAPENZI MAKUBWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Hii ndiyo historia yetu ya mapenzi baina yetu. Baba wa Taifa yuko katikati ya Waislam waliomkaribisha Dar es Salaam 1952 wakamchagua kuwa kiongozi wa TAA 1953, 1954 wakaunda TANU Nyerere akiwa rais na 1955 wakamfungia safari ya UNO. Huu uadui na kuwanyanyapaa na kuwabagua Waislam nini chimbuko lake na imesababishwa na nini na nani muhusika? Kuna mtu anaeweza kutoa majibu?

1547697413953-png.996785

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere akiwa kashikwa mkono na Mzee Mshume Kiyate kulia na kushoto kashikwa na Mzee Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi. Mwalimu Nyerere kazungukwa na Waislam. Udugu na mshikamano huu umepoteaje? Je, kulikuwa na watu waliokuwa hawafurahishwi na umoja huu? Ni nani hawa? Picha hii ni Uchaguzi Mkuu 1962.

Hawa akina mama wa Kiislam ndiyo walikuwa wanachama wa mwanzo wa TANU 1954. Kulia ni Bi. Tatu bint Mzee akifuatiwa na Bi. Titi Mohamed. Kushoto wa kwanza ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Attas) wakimsindikiza Mwalimu Nyerere Uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955.
Idd Faiz huyo hapo aliyevaa kanzu, koti na tarbush kulia kwa Nyerere akimsindikiza safari ya UNO 1955.

1547697514425-png.996788

1547697592314-png.996790

1547697743316-png.996791

Kushoto Idd Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramiya, Saadan Abdu
Kandoro na Haruna Taratibu, Dodoma 1955. Huyu Idd Faiz ndiye
aliyekuwa mkusanyaji fedha za safari ya Mwalimu Nyerere UNO 1955
ni huyo hapo chini kulia kwa Mwalimu Nyerere aliyevaa kanzu, koti na
tarbush.

1547744875055-png.997514
 
Back
Top Bottom