Vilaza wanamshabikia😂😂Nilichojifunza ni kuwa haijawahi kutokea katika chaguzi tangu wakati wa Mwalimu kukawa na mgombea mwenye upungufu wa akili kama Tundu Lissu. Hajui anachoongea anabwabwaja tu, kila kitu kupinga. Nina uhakika baada ya uchaguzi atayakataa matokeo. Wenye akili wanamdharau na vilaza wanakshabikia hapa JF
Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya uchaguzi kwani hakuna wa kuwakumbuka.
2: Wagombea wetu wengi empty head/hopeless they know nothing, hawawezi kujenga hoja majukwaani na kujibu hoja kwa weledi.
3: Wagombea wana khofu kubwa ya kupoteza viti vyao
4: We have no free electral commission
Unajiona una akili kumshabikia lissu?Vilaza wanamshabikia[emoji23][emoji23]
Akili yako itakuwa ndogo kama ya kuku wewe.
Wewe wasema!!Unajiona una akili kumshabikia lissu?
Siyo vilaza ila wapuuzi ndiyo wana mshabikia kama wewe. Wanaojielewa wanamdharauVilaza wanamshabikia😂😂
Akili yako itakuwa ndogo kama ya kuku wewe.
Vice versa is true kwa JPM.Nilichojifunza ni kuwa haijawahi kutokea katika chaguzi tangu wakati wa Mwalimu kukawa na mgombea mwenye upungufu wa akili kama Tundu Lissu. Hajui anachoongea anabwabwaja tu, kila kitu kupinga. Nina uhakika baada ya uchaguzi atayakataa matokeo. Wenye akili wanamdharau na vilaza wanakshabikia hapa JF
Unajiona una akili saana kumshabikia magu?Unajiona una akili kumshabikia lissu?
Inaonekana lissu anakusumbua saana ndotoni,unashindwa hata kulala unaishia kumuwaza kila saa,ushauri wa bure,tafuna limao na maganda yake kisha shushia juisi ya ukwaju usiotiwa chochote. Hasira zako za kijinga zitaisha.Siyo vilaza ila wapuuzi ndiyo wana mshabikia kama wewe. Wanaojielewa wanamdharau