Uchaguzi 2020 Siasa za mwaka 2020 zinanifundisha mambo mengi sana

Malcom XX

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2020
Posts
470
Reaction score
949
Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya uchaguzi kwani hakuna wa kuwakumbuka.

2: Wagombea wetu wengi empty head/hopeless they know nothing, hawawezi kujenga hoja majukwaani na kujibu hoja kwa weledi.

3: Wagombea wana khofu kubwa ya kupoteza viti vyao

4: We have no free electral commission
 
Mimi nilichojifunza ni kuwa lissu ndio mgombea smart na mwenye hoja kuliko wengine.... wapinzani wengine wanafanya comedy na wa chama kizee anawafokea wapiga kura.
 
Hakika na mimi kuna vutu nimeprove kuwa Tuna Dikteta uchwara.amezuia wenzie wasijinadi kwenye media na midia zisiandike kabisa habari za Lissu.

Nimegundua Lissu ni Extra Ordinary candidate. Wagombea wengine kwa Lissu ni mbingu na ardhi.

Jamaa ana hoja za kututengenezea mifumo imara kabisa ya kisheria yenye kutengeneza Taasisi Imara kabisa zenye uwezo wa kujiendesha na kututoa katika lindi la umasikini.

Watanzania achaneni naone man show
Anaharibu kabisa utengamano wa kitaifa.

Twende na Lissu.
Ni yeye.
 
Nilichojifunza ni kuwa haijawahi kutokea katika chaguzi tangu wakati wa Mwalimu kukawa na mgombea mwenye upungufu wa akili kama Tundu Lissu. Hajui anachoongea anabwabwaja tu, kila kitu kupinga. Nina uhakika baada ya uchaguzi atayakataa matokeo. Wenye akili wanamdharau na vilaza wanakshabikia hapa JF
 
Vilaza wanamshabikia😂😂
Akili yako itakuwa ndogo kama ya kuku wewe.
 
Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya uchaguzi kwani hakuna wa kuwakumbuka.

2: Wagombea wetu wengi empty head/hopeless they know nothing, hawawezi kujenga hoja majukwaani na kujibu hoja kwa weledi.

3: Wagombea wana khofu kubwa ya kupoteza viti vyao

4: We have no free electral commission
 
Nilichojifunza ni kuwa haijawahi kutokea katika chaguzi tangu wakati wa Mwalimu kukawa na mgombea mwenye upungufu wa akili kama Tundu Lissu. Hajui anachoongea anabwabwaja tu, kila kitu kupinga. Nina uhakika baada ya uchaguzi atayakataa matokeo. Wenye akili wanamdharau na vilaza wanakshabikia hapa JF
Vice versa is true kwa JPM.
 
Mimi namuelewa Hashim Rungwe, yuko kwenye mstari, ubwabwa kwanza.
 
Siyo vilaza ila wapuuzi ndiyo wana mshabikia kama wewe. Wanaojielewa wanamdharau
Inaonekana lissu anakusumbua saana ndotoni,unashindwa hata kulala unaishia kumuwaza kila saa,ushauri wa bure,tafuna limao na maganda yake kisha shushia juisi ya ukwaju usiotiwa chochote. Hasira zako za kijinga zitaisha.
 
Back
Top Bottom