Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020

Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020

Something Inside

Senior Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
165
Reaction score
30
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi...

Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa RAIS yaani SULUHU

 
Nextime tutafanya Siasa za nembo za magari ukikutana na binti MARINGO kila kitu tatizo

X Noma

VX Noma

Tx Noma

XXL Noma lakini kipindi

Raumu Ndiyo...

Prado Mambo Jambo

Ni SANI gazeti

XXL tatizo ni sweta

 
Noma sana na hapo hapo siasa na sanaa zimekua dizaini kama mbuzi kagoma kwenda na uzuri things fall apart na 2020 hii hapo chapu.

Huku sido,tcra kombinenga na basata ni alfa na Omega au lila na fila,wskina Nigga J,Gmw,Nax,Lax clan,Tendegu crew hatari sana.

Inakua kama ubatili flani lkn unafanyika kimadaha na bila kusahau principles mixer vitendea kazi 1st class hapo kazi inafanyika huku siasa zikiwa kama output;wasanii nao ndio muda wao huo kupata updates za yanayoendelea kwa kuungwa mkono na ocs,ocd,rpc hata na mangariba wenye kufikiria future zao.
 
mng'ato,
Nextime zitakuwa Sanaa Tu za kila MTU anaukuhimu ni raisi KAZI za ofisini zikawa Sanaa za maofisini kila MTU akalala mbele full story
 
Nazo ni Siasa hizo labda tatizo melody hebu cheki hii nyimbo na niambie mashairi na vilivyooneshwa kuna tofauti gani na lema, sugu kusema tunabarabara mbovu?



Aisee utaniwia radhi kidogo MB zangu bora nifungue porn niangalie kuliko hiko kitu mkuu.

Ahsante sana...!
 
Labda BIMA ya afya iwe bure au waimbe wimbo wa kutengeneza kazi
Afrika ni nchi kubwa ambayo Kwa uharisia wake inawatu wanaotumiana Sana Kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha Kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"

Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuharisia fedha Ndiyo kila kitu na kila MTU atahitaji fedha kuishi katika mfumo wowote na kinachokosekana Afrika ni assurance ya kupata FEDHA ili tuweze KUPLAN kila siku.. buruduka yawezekana wengine itakuwa fursa ya kuendelea na MAISHA ya fedha za kila siku, mwezi na mwaka

 
Back
Top Bottom