Something Inside
Senior Member
- Nov 15, 2019
- 165
- 30
Labda atakuwa mkatoliki" Anaitwa Roma" Huko ni Balaa. Asante Roma.
Tutamzaa *HAYA" ili wakubaliane na yote na tutamzaa "Mnyaturu/Mnyakusa" ili waplan vizuri ili wachezee "CHaga"...walivunja dole la mwisho wakaliacha dole la kati... nimemzaa mpale ila asiwachukie wasukuma...
Katakuwa haka hapa kanapigwa Siasa za XXL za Binti MARINGO ili Kufanya Siasa za "KINGA" maji ya kunywaRoma karudi kwenye Hulka Yake-Kongore kwake
Nazo ni Siasa hizo labda tatizo melody hebu cheki hii nyimbo na niambie mashairi na vilivyooneshwa kuna tofauti gani na lema, sugu kusema tunabarabara mbovu?Siasa za nyimbo au nyimbo za siasa mkuu...?
Bima ya afya ni bora kwetu kuliko ndege. Wanamuita Roma...walivunja dole la mwisho wakaliacha dole la kati... nimemzaa mpale ila asiwachukie wasukuma...
Nazo ni Siasa hizo labda tatizo melody hebu cheki hii nyimbo na niambie mashairi na vilivyooneshwa kuna tofauti gani na lema, sugu kusema tunabarabara mbovu?
Labda BIMA ya afya iwe bure au waimbe wimbo wa kutengeneza kaziBima ya afya ni bora kwetu kuliko ndege. Wanamuita Roma
Actually Ndiyo Sanaa inayolipa duniani maana kila siku lazima ufanyeAisee utaniwia radhi kidogo MB zangu bora nifungue porn niangalie kuliko hiko kitu mkuu.
Ahsante sana...!
Amejitahidi kwa upande wake.Labda BIMA ya afya iwe bure au waimbe wimbo wa kutengeneza kazi
Hakuna wa kuimba zidi ya wanasiasa WA bungeni na ofisini hakuna mkamilifu ni kama kuandika barua bila kukoseaAmejitahidi kwa upande wake.
Afrika ni nchi kubwa ambayo Kwa uharisia wake inawatu wanaotumiana Sana Kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha Kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"Labda BIMA ya afya iwe bure au waimbe wimbo wa kutengeneza kazi