Siasa za serikali mabarabarani hazisaidii kupunguza ajali

Siasa za serikali mabarabarani hazisaidii kupunguza ajali

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani:

Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya

IMG_20221223_211823_685.jpg


Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa wengine?

Speed Cameras Introduced on Nairobi Expressway

Kwanini kuwa na magari barabarani yenye kutokuwa na speed limits?

Kwanini kuwa double standards za speed mabarabarani?

Si kuwa ni jadi ya wenye mawazo duni kukenua kila wengine wanapokumbwa na udhibiti wowote usio wahusu wao?

Kwa usalama wetu sote kama maximum speed ni 80km/h isiwe kwa kila mtu yaani mabasi, magari binafsi na hata magari ya serikali.

Mengine haya ya mikuki kwa nguruwe hayana tija kwa mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom