Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk.
Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji.
Au kilimo cha kutumia kemikali.

Swali ni: je, waliotengeneza au kusisitiza matumizi ya kemikali hizo wanatumia mazao yatokanayo na hizo kemikali?

Ukisikiliza hotuba za rais SSH, ambaye wengi tunakubali ukweli na uwazi wake; tutagundua mengi yaliyofichika nyuma ya vinayoitwa 'vya kisasa'. Ni nani wa kutumia?
 

Attachments

"Wajinga ndiyo waliwao."
Kama unapata 'Kamisheni' hata Rais nae ni Binadamu.
 
Haya makuku ya Kisasa kwakweli kwanamna yanavyoliwa ni bomu kubwa linaloweza kuripuka muda wowote.......asikidanganye mtu vitu vingi tunavyosisitiziwa kula wenyewe hawali
 
Back
Top Bottom