..Ni kwasababu maisha ya wanadamu yana thamani kuliko mali.
..hivi kwa mfano, ktk mgogoro kati ya Israel na Palestina, kuna miundombinu kibao inaharibiwa lakini unasikia lawama zaidi kuhusu watu waliouwawa.
..hata kunapotokea ajali kipaumbele ktk uokoaji huwa ni watu, na sio mizigo au mali.
..kwa hili la OCT 29 tunapaswa kushughulikia vifo kwanza, baada ya hapo tutashughulika na mali zilizoharibiwa.