Huyu mama amekuwa na msimamo ambao umemfanya atofautiane na Katibu Mkuu wake Ndugu Seif. Katibu Mkuu wake huyo pamoja na kuwa na kesi ya jinai inayohusu ubadhirifu wa fedha za CWT Mahakamani hajaweza kusimamishwa kazi na ndiye ameendelea kukiongoza Chama kupitia Kamati Tendaji.
Amekuwa na tuhuma za kugawa fedha ile mbaya na ndiyo hizo fedha amezitumia kubadilisha upepo ili Rais wao ndiyo aonekane mbaya.
Tayari Rais huyo amesimamishwa na kwa mujibu wa Katibu mwenyewe kwa za chini chini ni kutokana na yeye kuingia kwenye kundi mojawapo la kuweka uongozi wa nchi mwaka 2025 - kitu ambacho Rais wa CWT anasemwa kusita sita kutumika kwenye hizo siasa.