Achana na Lema. Ameshasahaulika katika ulingo wa siasa kama Mbowe. Lema angekuwa ana akili asingeita press. Ndo ameharibu zaidiPamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao . Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli. Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu . Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Hata hao ccm baada ya kuchuja hawatamuhitaji tenaAchana na Lema. Ameshasahaulika katika ulingo wa siasa kama Mbowe. Lema angekuwa ana akili asingeita press. Ndo ameharibu zaidi
Ndugu Baz Kaiza, uchambuzi wako unaibua masuala mazito ya kutafakarisha kuhusu mwenendo wa siasa zetu, hususan ndani ya upinzani na nafasi ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Ni kweli kwamba Lissu ameleta sura mpya ya uwazi na uwajibikaji, na ni afya kukosoa pale panapohitajika ili kujenga taasisi imara. Hata hivyo, unapomhusisha hayati Rais John Magufuli kama mtu aliyekuwa 'anajua ukweli' wa nia za wapinzani, unajenga taswira isiyoakisi uhalisia wa mazingira magumu yaliyosababisha mkwamo wa kisiasa nchini.Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao .
Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli.
Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu .
Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Kuna picha naona inaenda kutokea,Lissu ataachiwa na tarehe 10 yule bibi ataenda msibani kwa alute kutoa pole ili zipatikane picha za kuonyesha yeye na Lissu hawana shidaPamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao .
Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli.
Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu .
Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Kuna picha naona inaenda kutokea,Lissu ataachiwa na tarehe 10 yule bibi ataenda msibani kwa alute kutoa pole ili zipatikane picha za kuonyesha yeye na Lissu hawana shida