Siasa za Uingereza: Kwanini Mawaziri Wakuu hawadumu madarakani?

Siasa za Uingereza: Kwanini Mawaziri Wakuu hawadumu madarakani?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kwa wale wenye ufahamu wa SIASA za uingereza tunaomba mtufahamishe.

Ni kwanini mawaziri wakuu wa hii nchi hawadumu madarakani. Utaona muda mfupu wanajiuzulu. Tatizo ni nini?

Mfano wa hivi karibuni ni John Major, Tony Blair, Gordon Brown, David Cameroon, Tereza May na Boris Johnson. Wote Hawa wamehudumu muda mfupi sana.

SIASA zao zikoje?
 
Karma mkuu Boris alijifanya mjanja sanaaa alipojihudhuru uwaziri wa mambo ya nje toka kwa mtangulizi wake basi akaona yeye mjanja kumbe na yeye anakuja kuondoka tena kwa aibu. Tatizo lao wa UK ni kupenda sifa.
 
Huwa wanakaa kwa mission maalimu ikipita waneleta mwingine. Huyu jamaa aliletwa kutimiza lengo lao la Brexit. Wadhungu wanasiri sana.
 
Nº 10 wajanja wameshamtumia wameamua wampe talaka tatu.
Nalog off Z
 
Ni siada za kitoto sana kosa dogo tu unajiuzulu.mi nisingejiuzilu
 
UNAFIKI, wamejiongelesha sana kuhusu UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WAKIKOSEA,UTAWALA WA SHERIA na DEMOKRASIA KWA UJUMLA, ssa kiongozi akikosea anakumbuka hayo mambo huku wananchi wamelelewa na kufundishwa ayo mambo pia, so wote kwa TASWIRA ya nchi yao kama vinara wa demokrasia lazima wafanye kitu kiongozi akikosea.

UNAFIKI waja kwa kuwaza kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu na inapotokea hayo mapungu ni ya nje ya Uingereza, kama mkuu wao kuunga mkono serikali zisizo za kidemokrasia kama ya Kigali,wanakaa kimya.
 
Back
Top Bottom