UNAFIKI, wamejiongelesha sana kuhusu UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WAKIKOSEA,UTAWALA WA SHERIA na DEMOKRASIA KWA UJUMLA, ssa kiongozi akikosea anakumbuka hayo mambo huku wananchi wamelelewa na kufundishwa ayo mambo pia, so wote kwa TASWIRA ya nchi yao kama vinara wa demokrasia lazima wafanye kitu kiongozi akikosea.
UNAFIKI waja kwa kuwaza kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu na inapotokea hayo mapungu ni ya nje ya Uingereza, kama mkuu wao kuunga mkono serikali zisizo za kidemokrasia kama ya Kigali,wanakaa kimya.