mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?
mipango ipo mezani, ikikamilika tutaona kama kuna haja ya kutafuta suluhu na mhuni, mchu wa madaraka, mporaji wa mali asili za mataifa ya jirani , na mhalifu wa kivita dhidi ya ubinadamu DRC na rwanda. Ungekuwa na chembe ya busara hata kidogo ungelaani kwanza vitisho na kejeli za dikteta kagame kwa raisi wetu na nchi yetu. Kagame ametuonyesha jeuri na kiburi hali ya juu na tutatumia njia hiyo hiyo kumfundisha jinsi ya kuishi na mataifa jirani kwa ustaarabu, tatizo pk anadhani watu wote wana maisha ya kutangatanga kama kuku wa kienyeji kama alivyozoea yeye na watusi wenzake ! tutamshikisha adabu.
Ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
Huyu mokala1989 ni interahamwe. Kazi yake ni kupiga kelele hapa weee. Dua la kuku halimpati mwewe. We FDLR wewe. Si uende huko Congo ukawasaidie hao wenzako? Uone kama hutarudi huta tanzania na jicho moja. Stupid is as stupid says.
Kwa tafsiri ya haraka, bidhaa za TZ zirakuwa bei juu wkt za nchi nyngne zikiwa chini na kusababisha bidhaa za TZ zisinunulike,hvyo hasara kwa wa TZ.
nimefuatilia kwenye google kuhusu transport industry na road toll ya rwanda nimegundua kumbe tz ina charge dola 500 kwa kila lori la rwd lilokuwa linaingia tz,chama cha wenye trucks huko rwd walikuwa wanalalamikia sana serikali yao kwasababu ilikuwa rahisi kwa mfanyabiashara wa rwanda kukodi lori la tz kuliko la rwanda!!!kwa hili labda ilikuwa ni pure fair competition decision!!!!
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),Huyu mokala1989 ni interahamwe. Kazi yake ni kupiga kelele hapa weee. Dua la kuku halimpati mwewe. We FDLR wewe. Si uende huko Congo ukawasaidie hao wenzako? Uone kama hutarudi huta tanzania na jicho moja. Stupid is as stupid says.
cc mokala 1989 TutafikaWana Jamiii
UPDATES - 03.09.2013
Bado nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda, kwa habari ambazo ni rasmi Serekali ya Rwanda imefuta ongezeko la ushuru wa barabara ( Road Toll) la USD 500 kwa kila gari lenye usajili wa Tanzania na kuanzia leo kila gari litavuka kwa ushuru wa zamani wa USD 152. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) kulazimika kupunguza ushuru wa barabara ( Road Toll) kwa magari yenye plate numbers za Rwanda kutoka USD 500 mpaka USD 150. Hatua hii inaoenakana ni ushindi mkubwa kwa Rwanda ikizingatiwa kuwa umbali kutoka Dar mpaka Rusumo sio sawa na umbali kutoka Rusumo mpaka Kigali....kwahiyo ushuru wa barabara hauwezi kuwa sawa kwa simple basics za economics.....
murutongore; Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe, na ndio maana huangaiki na mamluki wenzako kama akina koba! utauimba sana wimbo wa mokala 1989 na mwisho utakiri ukweli ninaouandika!
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),
hii Mada imeshapatiwa ufumbuzi na mletaji, nimeamini makosa ni ya TRA na Waziri wa Fedha wa Tanzania
MY TAKE Kulikuwa hakuna haja ya TRA kubagua magari ambayo yanatumia Barabara hiyohiyo kutoka Dar hadi Rusumo, Rusumo Kigali mirinda tamu BON VOYAGE
cc mokala 1989 Tutafika
Kumbe unajua. Manake mawe unayomrushia kagame ni balaa. Sijui unalipwa kuweka comment hapa? Kama unalipwa basi utakuwa umetengeneza hela nyingi japokua sijui kama zitakusaidia na roho yako nyeusi kama mkaa.
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),
hii Mada imeshapatiwa ufumbuzi na mletaji, nimeamini makosa ni ya TRA na Waziri wa Fedha wa Tanzania
MY TAKE Kulikuwa hakuna haja ya TRA kubagua magari ambayo yanatumia Barabara hiyohiyo kutoka Dar hadi Rusumo, Rusumo Kigali mirinda tamu BON VOYAGE
cc mokala 1989 Tutafika
wewe lekebisha luga yako anayejishebedua ni mama yako mzazi nyau wewe sisi nchi yetu ni kubwa tuna bandari maziwa mito milima na takataka kibao sasa hicho kinchi kama ki mkoa wa singida kitatutisha nini? kuwa na adabu nyau wewe!Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
kwa hiyo sisi wa Tz tulikuwa tunawalipisha usd 500 , walipopandisha na wao tukasema ni Siasa za VISASI...some people must be feeling very STUPID kwa comment zao walizoandika hapa..
Tumia akili, hapo maana yake ni kuwalazimisha wafanyabiashara wa Rwanda wapite Mombasa.
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.