mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?
faida za kuijenga rwanda yenye watu milioni kumi na kuangamiza drc yenye watu zaidi ya millioni 55 haizikubaliki atafute njia nyingine za kuijenga rwanda na si kuua na kupora mali asili za mataifa jirani, kwa hili hata mlevi hawezi kumkubali kagame.