Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?

faida za kuijenga rwanda yenye watu milioni kumi na kuangamiza drc yenye watu zaidi ya millioni 55 haizikubaliki atafute njia nyingine za kuijenga rwanda na si kuua na kupora mali asili za mataifa jirani, kwa hili hata mlevi hawezi kumkubali kagame.
 
mipango ipo mezani, ikikamilika tutaona kama kuna haja ya kutafuta suluhu na mhuni, mchu wa madaraka, mporaji wa mali asili za mataifa ya jirani , na mhalifu wa kivita dhidi ya ubinadamu DRC na rwanda. Ungekuwa na chembe ya busara hata kidogo ungelaani kwanza vitisho na kejeli za dikteta kagame kwa raisi wetu na nchi yetu. Kagame ametuonyesha jeuri na kiburi hali ya juu na tutatumia njia hiyo hiyo kumfundisha jinsi ya kuishi na mataifa jirani kwa ustaarabu, tatizo pk anadhani watu wote wana maisha ya kutangatanga kama kuku wa kienyeji kama alivyozoea yeye na watusi wenzake ! tutamshikisha adabu.

Huyu mokala1989 ni interahamwe. Kazi yake ni kupiga kelele hapa weee. Dua la kuku halimpati mwewe. We FDLR wewe. Si uende huko Congo ukawasaidie hao wenzako? Uone kama hutarudi huta tanzania na jicho moja. Stupid is as stupid says.
 
Ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?

nemasisi, achana na huyo interahamwe. amegubikwa na chuki binafsi dhidi ya kagame. Ukimuuliza mazuri aliyofanya kagame atakuambia hamna. Chuki itamtafuna mbaka atabaki mifupa tu wakati kagame anaendelea na uongozi wake akitaka kuwaondoa wanyarwanda katika umaskini
 
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!

Ama kweli madaraka yanalevya! Yaani Kagame imefikia mahali anaamini anaweza kuwafanyia Wanyarwanda upuuzi wowote nao wakasema "YES SIR!"

Naamini Kagame anajiandalia mazingira ya kupinduliwa, anatoboa mtumbwi uliompakia mwenyewe!
 
Huyu mokala1989 ni interahamwe. Kazi yake ni kupiga kelele hapa weee. Dua la kuku halimpati mwewe. We FDLR wewe. Si uende huko Congo ukawasaidie hao wenzako? Uone kama hutarudi huta tanzania na jicho moja. Stupid is as stupid says.

murutongore; Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe, na ndio maana huangaiki na mamluki wenzako kama akina koba! utauimba sana wimbo wa mokala 1989 na mwisho utakiri ukweli ninaouandika!
 
Kwa kuwa TZ kuna malori zaidi hata kama Rwanda itaamua kupitishia mizigo Mombasa hakuna kizuizi wasafirishaji wa TZ watahamia huko huko, maana kutakuwa na upungufu wa malori nchini Kenya, mbona siku za nyuma ilikuwa hivyo? Fedha zote zitakazopatikana zitarudi TZ. Tena ndio vizuri barabara zetu zipone kutokana na mizigo mizito.
 
Road toll kenya ni $200. Tanzania ni $500. Hiyo $200 ya kenya wako katika mikakati ya kuiondoa. Halafu wengi wanasema eti tanzania iko juu kwa sababi ya umbali wa kilomita kutoka dar hadi rusumo. FYI, road toll has nothing to do with distance.
 
Kwa tafsiri ya haraka, bidhaa za TZ zirakuwa bei juu wkt za nchi nyngne zikiwa chini na kusababisha bidhaa za TZ zisinunulike,hvyo hasara kwa wa TZ.

mengi ya magari yanayoyashupalia yanakwenda congo. reli dar-kigoma inapaswa kuimrlishwa na congo wajenge bandari ya kalemie...haya yote yatakoma.
 
nimefuatilia kwenye google kuhusu transport industry na road toll ya rwanda nimegundua kumbe tz ina charge dola 500 kwa kila lori la rwd lilokuwa linaingia tz,chama cha wenye trucks huko rwd walikuwa wanalalamikia sana serikali yao kwasababu ilikuwa rahisi kwa mfanyabiashara wa rwanda kukodi lori la tz kuliko la rwanda!!!kwa hili labda ilikuwa ni pure fair competition decision!!!!

Correct !!! Uko sahihi sana !!! kama watu wanalalamika bila fact . In fact sio rwanda tu nchi nyingi za kusini zinalalamika sana kuhusu kodi na tozo nyingine zenye usumbufu!!!
Shame tunakuwa na mshikamano kuilaumu rwanda, badala ya uongozi wetu kutochukua hatua stahiki kujirekebisha . My biggest worry si mombasa port . Ni haya maboresho makubwa kwa port za msumbiji na namibia ambayo hapo mbele yataleta challenge kubwa kwa dar port na kama utaratibu huu wa kuendelea kutetea ujinga hatutamudu ushindani.
 
Huyu mokala1989 ni interahamwe. Kazi yake ni kupiga kelele hapa weee. Dua la kuku halimpati mwewe. We FDLR wewe. Si uende huko Congo ukawasaidie hao wenzako? Uone kama hutarudi huta tanzania na jicho moja. Stupid is as stupid says.
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),
hii Mada imeshapatiwa ufumbuzi na mletaji, nimeamini makosa ni ya TRA na Waziri wa Fedha
wa Tanzania
MY TAKE Kulikuwa hakuna haja ya TRA kubagua magari ambayo yanatumia Barabara hiyohiyo kutoka Dar hadi Rusumo, Rusumo Kigali mirinda tamu BON VOYAGE
Wana Jamiii
UPDATES - 03.09.2013
Bado nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda, kwa habari ambazo ni rasmi Serekali ya Rwanda imefuta ongezeko la ushuru wa barabara ( Road Toll) la USD 500 kwa kila gari lenye usajili wa Tanzania na kuanzia leo kila gari litavuka kwa ushuru wa zamani wa USD 152. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) kulazimika kupunguza ushuru wa barabara ( Road Toll) kwa magari yenye plate numbers za Rwanda kutoka USD 500 mpaka USD 150. Hatua hii inaoenakana ni ushindi mkubwa kwa Rwanda ikizingatiwa kuwa umbali kutoka Dar mpaka Rusumo sio sawa na umbali kutoka Rusumo mpaka Kigali....kwahiyo ushuru wa barabara hauwezi kuwa sawa kwa simple basics za economics.....
cc mokala 1989 Tutafika
 
Last edited by a moderator:
murutongore; Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe, na ndio maana huangaiki na mamluki wenzako kama akina koba! utauimba sana wimbo wa mokala 1989 na mwisho utakiri ukweli ninaouandika!

Kumbe unajua. Manake mawe unayomrushia kagame ni balaa. Sijui unalipwa kuweka comment hapa? Kama unalipwa basi utakuwa umetengeneza hela nyingi japokua sijui kama zitakusaidia na roho yako nyeusi kama mkaa.
 
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),
hii Mada imeshapatiwa ufumbuzi na mletaji, nimeamini makosa ni ya TRA na Waziri wa Fedha
wa Tanzania
MY TAKE Kulikuwa hakuna haja ya TRA kubagua magari ambayo yanatumia Barabara hiyohiyo kutoka Dar hadi Rusumo, Rusumo Kigali mirinda tamu BON VOYAGE

cc mokala 1989 Tutafika

Umeona wewe ---- mokala1989 unavyotetea hoja kiujinga jinga tu....soma hapo juu ukwaju akuelimishe wewe interahamwe.
 
Kumbe unajua. Manake mawe unayomrushia kagame ni balaa. Sijui unalipwa kuweka comment hapa? Kama unalipwa basi utakuwa umetengeneza hela nyingi japokua sijui kama zitakusaidia na roho yako nyeusi kama mkaa.

acha unafiki, sema hayo mawe ninayomrushia kagame, taja.....ukweli unauma, kagame kamuua kabila baada ya kukataa kuigawa drc, kagame anauwa wakongo na wahutu kwa uchu wa mali na madaraka, kagame anawasupport m 23 kihujumu serkali ya drc ..................pole sana kama mawe yenyewe ndiyo hayo.
 
kwa hiyo sisi wa Tz tulikuwa tunawalipisha usd 500 , walipopandisha na wao tukasema ni Siasa za VISASI...some people must be feeling very STUPID kwa comment zao walizoandika hapa..
 
MURUtungore Kwa niaba ya watanzania na wengineo waliochangia (wanoamini kujikosoa bila kuegemea),
hii Mada imeshapatiwa ufumbuzi na mletaji, nimeamini makosa ni ya TRA na Waziri wa Fedha
wa Tanzania
MY TAKE Kulikuwa hakuna haja ya TRA kubagua magari ambayo yanatumia Barabara hiyohiyo kutoka Dar hadi Rusumo, Rusumo Kigali mirinda tamu BON VOYAGE

cc mokala 1989 Tutafika

Ukwaju nashukuru sana kwa taarifa hii. Ninaamini kabisa asilimia kubwa ya watanzania ni smart na ni ndugu zetu. Wanasema " u can choose a friend but you cannot choose a neigbour" tutake tusitake tanzania ni majirani zetu na ninaamini kuwa wengi wakipata nafasi ya kusoma na kujaribu kuwaelewa wanyarwanda kuna mambo mengi ambayo yatabadikika. Katika hiyo asilimia kubwa mokala1989 na rushasha ijapokuwa nimeshagundua kuwa mokala ndie rushasha hawamo. Hao sisi tunawatafuta huku tuwafikishe mbele ya sheria waadhibiwe kwa kuwauwa ndugu zetu milioni moja. Tutawakamata tu.
 
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
wewe lekebisha luga yako anayejishebedua ni mama yako mzazi nyau wewe sisi nchi yetu ni kubwa tuna bandari maziwa mito milima na takataka kibao sasa hicho kinchi kama ki mkoa wa singida kitatutisha nini? kuwa na adabu nyau wewe!
 
kwa hiyo sisi wa Tz tulikuwa tunawalipisha usd 500 , walipopandisha na wao tukasema ni Siasa za VISASI...some people must be feeling very STUPID kwa comment zao walizoandika hapa..

Kama mokala1989
 
Tumia akili, hapo maana yake ni kuwalazimisha wafanyabiashara wa Rwanda wapite Mombasa.

Bado atakae umia ni Mnyarwanda na sio mfanya biashara, tumeisha ambiwa urefu (kwa njia ya barabara) toka Dar hadi Kigali ni Km 1400 while from Mombasa to Kigali ni Km 2300, magari makubwa hutembea Km 5-7 kwa lita moja ya Diseal, fanya Lita ya Diseal ni USD 1.2/= kwa kutumia tu umbali huo utaona bado vitu from Dar to Kigali is more cheap ukilinganisha na Mombasa to Kigali.

Kuna wazo la kujenga Reli from Kenya to Rwanda via Uganda, well wazo ni zuri lakini ni long term plan, sisi tunayo Reli ya kati, ukweli ni ujinga wetu tu kuto imarisha reli hiyo, ingekua inafanya kazi walau kwa 90% tungepiga bao baya sana, miongoni mwa vitu ninavyo mlaum binafsi Kikwete ni hapo kwenye ufirisi wa reli zote 2!
 
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!

jameni acheni ushabiki wa kijinga! hivi kama kweli ushuru umepanda kwa magari ya kitanzania tu, inamaana wafabiashara wataacha kukodi malori ya Tanzania na hivyo watatumia magari yasiyosajiriwa Tanzania pia itafanya wafanya biashara wa Rwanda kuteka soko la usafirishaji katika ukanda huo!
bidhaa haziwezi kupanda wakati sio wote waliopandishiwa huo ushuru, yaani haiwezekani wengine wapandishe bei na wengine wasipandishe halafu nyie mnaolipa ushuru mkubwa m-survive pamoja na hao wasiopandishiwa ushuru katika soko moja! never under the commercial world!
 
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.

wewe chunga mdomo wako! sisi huwezi kutulinganisha na kinchi kama mkoa wa singida! sisi tuna bandari,maziwa na visiwa, mapori,milima na takataka kibao mpka nchi matajiri wanatugombania hao wana nini zaidi ya damu ya ma elf ya watu katika nchi ndogo kama hiyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom