murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 638
wewe chunga mdomo wako! sisi huwezi kutulinganisha na kinchi kama mkoa wa singida! sisi tuna bandari,maziwa na visiwa, mapori,milima na takataka kibao mpka nchi matajiri wanatugombania hao wana nini zaidi ya damu ya ma elf ya watu katika nchi ndogo kama hiyo!
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
Akizungumza na gazeti hili jana, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, alikiri Wizara yake kupata taarifa za kupanda kwa ushuru huo kupitia wafanyabiashara, lakini hadi sasa wizara hiyo haijapewa taarifa rasmi na Rwanda.
Alisema juzi akiwa katika kikao hicho cha mawaziri wa Afrika Mashariki, Wanyarwanda walikuwa wakilalamikia kiasi cha ushuru kinachotozwa nchini katika barabara kuwa ni mkubwa ikilinganishwa na nchi za Afrika Mashariki.
Alisema kutokana na malalamiko hayo, alilazimika kuwajibu kuwa ushuru huo ni lazima utozwe kutokana na vigezo vilivyowekwa na lengo lake kubwa ni kulinda barabara.
Wana Jamiii
Nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda.....siamini ninachokiona machoni mwangu....kuanzia jana tarehe 1/09/2013 serekali ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara ( ROAD TOLL) kwa magari yote ya Mizigo ( Fuel and Dry Cargo) yenye plate numbers za Tanzania kutoka USD 152 mpaka USD 500 kwa kila gari.
Kwa taarifa ambazo sio rasmi kwa siku magari ya mizigo takribani 300 yanavuka hapa mpakani, na zaidi ya asilimia 95% ya magari hayo zina plate numbers za Tanzania.
Wanajamii hii ina madhara gani kwa uchumi wa Tanzania kwani akili ya harakaharaka hii ni some sort of Protectionism ila kwa mbali inaweza ikawa ni muendelezo wa chokochoko.
UPDATES - 03.09.2013
Bado nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda, kwa habari ambazo ni rasmi Serekali ya Rwanda imefuta ongezeko la ushuru wa barabara ( Road Toll) la USD 500 kwa kila gari lenye usajili wa Tanzania na kuanzia leo kila gari litavuka kwa ushuru wa zamani wa USD 152. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) kulazimika kupunguza ushuru wa barabara ( Road Toll) kwa magari yenye plate numbers za Rwanda kutoka USD 500 mpaka USD 150. Hatua hii inaoenakana ni ushindi mkubwa kwa Rwanda ikizingatiwa kuwa umbali kutoka Dar mpaka Rusumo sio sawa na umbali kutoka Rusumo mpaka Kigali....kwahiyo ushuru wa barabara hauwezi kuwa sawa kwa simple basics za economics.....
Kuhusu # 1, it is impossible kama viongozi wetu ni wazuri, lakini tumeshuhudia Malawi. Haiwezekani tuwe na matatizo na nchi mbili tofauti at the same time. Something wrong somewhere, evaluate yourself and Be smart. Kuhusu # 2, kwanini tumepeleka majeshi DRC in the first place?mashambulizi yapo ya aina nyingi, hata kutoza ushuri mkubwa kwa malori ya tanzania ni aina ya mashambulizi , yapo mengi yanayothibitisha hujuma za pk kwa watanzania na tanzania (1)kuanza na vikao vya kujaribu kuitenga tanzania na mataifa mengine jirani, (2)kuhusika kwa majeshi ya rwanda moja kwa moja kuyahujumu majeshi ya tanzania yaliopo huko drc kwa mwavuli wa kulinda amani wa un, haya na mengineyo mengi ya kiintelijensia yanatufanya tuwe tayari kwa lolote dhidi ya huyu dikteta , anaweza akaamua lolote BAYA MUDA WOWOTE DHIDI YA WATANZANIA !
Kuhusu # 1, it is impossible kama viongozi wetu ni wazuri, lakini tumeshuhudia Malawi. Haiwezekani tuwe na matatizo na nchi mbili tofauti at the same time. Something wrong somewhere, evaluate yourself and Be smart. Kuhusu # 2, kwanini tumepeleka majeshi DRC in the first place?
Kuhusu # 1, it is impossible kama viongozi wetu ni wazuri, lakini tumeshuhudia Malawi. Haiwezekani tuwe na matatizo na nchi mbili tofauti at the same time. Something wrong somewhere, evaluate yourself and Be smart. Kuhusu # 2, kwanini tumepeleka majeshi DRC in the first place?
Mama Banda mkorofi, Kagame ni mkorofi na JK ni daktari wa kutibu wakorofi? I don't buy any story and I' m against war, there are too many diplomat ways to resolve these issues. TZ ikiingia vitani na Rwanda/Malawi, tutakakula mawe na kusaga meno, JK na wapambe wake wataendelea na masafari yao nje. Unakumbuka mabomu ya Gongo la mboto, JK aliondoka kama nothing happened, the man doesn't care, its all about matanuzimgogoro wa malawi sio wa leo, unayo historia ndefu, tangu enzi za mwalimu, na sasa umechagizwa na siasa za mama banda ni kiongozi mtata hata nyumbani kwake! Kwanini umelenga moja kwa moja DRC na si kwingineko ambapo majeshi yetu yalikuwepo na yanaendelea kuwepo? mfano lebanoni, liberia, darfu , comoro nk Sisi ni sehemu ya dunia hii na kamwe hatuwezi kuishi kama kisiwa hata kama tungekuwa na kila kitu majeshi yetu kongo ni kuitikia mwito halali wa jumuiya ya kimataifa ya kulinda usalama wa wananchi wa DRC dhidi ya uasi unaoungwa mkono na serikali ya mdhalimu kagame. Acha ushabiki siyo kila jambo ni kupinga tu, kikwete kwa hili hana doa ! watusi mtahangaika sana na chuki zenu na mwisho wenu ni mbaya.
ndugu yangu wala sioni sababu kukubishia maoni yako, kila shetani na mbuyu wake
Utawala wa JK nyerere walikuwepo approx 25yrs
Utawala wa mzee A. H Mwinyi walikuwepo-10 yrs
Utawala wa Mzee wa uwazi na ukweli bwana mkapa walikuwepo-10yrs
zaidi ya miaka arobaini na tano (45yrs) ni mangapi wamefanya kwa taifa hili na wangapi tumezaliwa tukawakuta hawa ndugu?
Cha jabu utawala wa mh kikwete mambo si mambo, jirani zetu takribani wote mfadhaiko, hata sisi wenyewe watanzania humu ndani mambo yamebadilika tunaishi kwa mashaka, mabomu, tindikali, kuchinjana, kutesena nk
Tujiulize katika utawala huu nini kimetokea?
Mama Banda mkorofi, Kagame ni mkorofi na JK ni daktari wa kutibu wakorofi? I don't buy any story and I' m against war, there are too many diplomat ways to resolve these issues. TZ ikiingia vitani na Rwanda/Malawi, tutakakula mawe na kusaga meno, JK na wapambe wake wataendelea na masafari yao nje. Unakumbuka mabomu ya Gongo la mboto, JK aliondoka kama nothing happened, the man doesn't care, its all about matanuzi
Another foolish theory, mipaka iliwekwa na Babylon ili watutawale kirahisi, we are one. Nenda nje hasa ulaya na marekani utagundua waafrica wote ni one. Wanashirikiana almost katika kila kitu, ni wewe na CCM wenzako mnaoeneza ubaguzi, mlianza na dini, mkaja na ukanda, sumu ambayo itawamalizakwa msaada tu, watanzania wengi ni miongoni mwa jamii chache sana duniani tuliokuwa tunaamini mlinyanyaswa sana na wahutu na mlikuwa mnahitajia msaada wetu ili kuponya madhara ya genocide lakini mungu ametufunulia tumejua sura yenu halisi, watusi ni ndumi lakuwili awe ni mazaliwa wa tanzania, uganda au rwanda au popote pale sasa ni handle with care hata mtanzania mtoto mchanga kabisa analijua hilo sasa.
vita ya malawi/rwanda haitakuwa vita ya kwanza kupiganwa na watanzania! tulishapigana vita nyingi sana na nyingine zikiwa hazina hata masilahi kama inavyoelekea kuwa kwa vita ya rwanda kutokea DRC . Vita ni vita lolote laweza kutokea ila malengo ni lazima yafikiwe.tumepigana katika vita ya ukombosi kusini mwa afrika, tuliikomboa comora, nk endelea na umbea
Unakumbuka baada ya vita ya mtukula? wengi wa wale waliopigana vita, ndio hao wapo mitaani wakiomba omba baada ya kupata vilema na serikali ya CCM imewatupa kabisaa. Unakumbuka hali ya maisha ilivyokuwa ngumu? do you really wanna go there again? Ain't got no time to talk to you and don't waste your valuable time to talk to me, just nenda kajiandikishe jeshini uende vitanivita ya malawi/rwanda haitakuwa vita ya kwanza kupiganwa na watanzania! tulishapigana vita nyingi sana na nyingine zikiwa hazina hata masilahi kama inavyoelekea kuwa kwa vita ya rwanda kutokea DRC . Vita ni vita lolote laweza kutokea ila malengo ni lazima yafikiwe.tumepigana katika vita ya ukombosi kusini mwa afrika, tuliikomboa comora, nk endelea na umbea