murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 638
Unakumbuka baada ya vita ya mtukula? wengi wa wale waliopigana vita, ndio hao wapo mitaani wakiomba omba baada ya kupata vilema na serikali ya CCM imewatupa kabisaa. Unakumbuka hali ya maisha ilivyokuwa ngumu? do you really wanna go there again? Ain't got no time to talk to you and don't waste your valuable time to talk to me, just nenda kajiandikishe jeshini uende vitani
Unakumbuka baada ya vita ya mtukula? wengi wa wale waliopigana vita, ndio hao wapo mitaani wakiomba omba baada ya kupata vilema na serikali ya CCM imewatupa kabisaa. Unakumbuka hali ya maisha ilivyokuwa ngumu? do you really wanna go there again? Ain't got no time to talk to you and don't waste your valuable time to talk to me, just nenda kajiandikishe jeshini uende vitani
Fitinamwiko, mimi nimemuambia huyu mokala1989 niko tayari kumtumia nauli aende pale Goma afanye mazoezi kidogo apate experience ya kuweza kumuondoa Kagame. Muulize kama atakubali ofa yangu.
Yaani wewe ni zuzu kweli. Unashabikia vita! Njoo huku Goma basi ufanye mazoezi. Kawaida watu wenye maneno mengi kama wewe huwa action ni zero. Njoo huku uwaepushe watanzania wenye kupenda amani. Njoo usikie risasi zinavyolia uone kama hutajinyea. Stupid is as stupid says.
kwa msaada tu, watanzania wengi ni miongoni mwa jamii chache sana duniani tuliokuwa tunaamini mlinyanyaswa sana na wahutu na mlikuwa mnahitajia msaada wetu ili kuponya madhara ya genocide lakini mungu ametufunulia tumejua sura yenu halisi, watusi ni ndumi lakuwili awe ni mazaliwa wa tanzania, uganda au rwanda au popote pale sasa ni handle with care hata mtanzania mtoto mchanga kabisa analijua hilo sasa.
nilishaandaliwa tayari, nipo kazini.
ok. Umedhirisha ninayosema kila siku. Wewe ni interahamwe. Kubali tu. Mimi nimekubali ni mtutsi. Siogopi. Na wewe kubali tu ili hata ukichangia hapa watanzania wote wajue.
malori ya nchi nyingine yatabeba ambayo ushuru wake ni 150$...anyway ushuru umeshuka tayariWatakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
mimi ni mtanzania kwa zaidi 100% na ninajivunia utaifa wangu.
Two thumbs upkwa taarifa tu mimi ni askari na nipo tayari muda na dakika yoyote isiyojulikana. wole wako unaepigana jamvini.
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
kwa hiyo sisi wa Tz tulikuwa tunawalipisha usd 500 , walipopandisha na wao tukasema ni Siasa za VISASI...some people must be feeling very STUPID kwa comment zao walizoandika hapa..
Mtanzania gani? Wadanganye wengine. Just by reading comments zako zote hapa kwenye JF, automatically inaonekana huna uzalendo wowote na Tanzania kwa sababu unaonekana kwenye threads za Rwanda tu. Hiyo inadhihirisha kuwa una interest nyingi na Rwanda na sio Tanzania. C'mon sisi tumesomea psychology and we can read between the lines.
Better still ,Rwanda iongeze mizani angalau 20 mpakani hadi Kigali exclusive kupima magari ya Tanzania tu. May be we d learn the hard way of need to co operate
Yes safi sana kagame zuia kabisa haya malori