Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Unakumbuka baada ya vita ya mtukula? wengi wa wale waliopigana vita, ndio hao wapo mitaani wakiomba omba baada ya kupata vilema na serikali ya CCM imewatupa kabisaa. Unakumbuka hali ya maisha ilivyokuwa ngumu? do you really wanna go there again? Ain't got no time to talk to you and don't waste your valuable time to talk to me, just nenda kajiandikishe jeshini uende vitani

Fitinamwiko, mimi nimemuambia huyu mokala1989 niko tayari kumtumia nauli aende pale Goma afanye mazoezi kidogo apate experience ya kuweza kumuondoa Kagame. Muulize kama atakubali ofa yangu.
 
Unakumbuka baada ya vita ya mtukula? wengi wa wale waliopigana vita, ndio hao wapo mitaani wakiomba omba baada ya kupata vilema na serikali ya CCM imewatupa kabisaa. Unakumbuka hali ya maisha ilivyokuwa ngumu? do you really wanna go there again? Ain't got no time to talk to you and don't waste your valuable time to talk to me, just nenda kajiandikishe jeshini uende vitani

kwa taarifa tu mimi ni askari na nipo tayari muda na dakika yoyote isiyojulikana. wole wako unaepigana jamvini.
 
Fitinamwiko, mimi nimemuambia huyu mokala1989 niko tayari kumtumia nauli aende pale Goma afanye mazoezi kidogo apate experience ya kuweza kumuondoa Kagame. Muulize kama atakubali ofa yangu.

nilishaandaliwa tayari, nipo kazini.
 
Yaani wewe ni zuzu kweli. Unashabikia vita! Njoo huku Goma basi ufanye mazoezi. Kawaida watu wenye maneno mengi kama wewe huwa action ni zero. Njoo huku uwaepushe watanzania wenye kupenda amani. Njoo usikie risasi zinavyolia uone kama hutajinyea. Stupid is as stupid says.

wewe vipi, kazi zaidi ya tuliyowaonyesha mpaka mkajidai kusimamisha vita pamoja na backup ya kigali na uganda? sasa ngoma mtaisubiria kigali.
 
kwa msaada tu, watanzania wengi ni miongoni mwa jamii chache sana duniani tuliokuwa tunaamini mlinyanyaswa sana na wahutu na mlikuwa mnahitajia msaada wetu ili kuponya madhara ya genocide lakini mungu ametufunulia tumejua sura yenu halisi, watusi ni ndumi lakuwili awe ni mazaliwa wa tanzania, uganda au rwanda au popote pale sasa ni handle with care hata mtanzania mtoto mchanga kabisa analijua hilo sasa.

Mkuu, yani natamani ile makala ya Mch Mtikila ingehaririwa vizuri ili waTZ wote wajue rangi halisi ya watutsi hata hao tunaoishi nao. Mungu anisamehe kama nitakua nasema vibaya, lakini majority of tutsi are people with evil or devilish minds. Untrustworthy people.. but I thank GOD that WaTZ now wanawajua hawa watutsi kwa uhalisia
 
nilishaandaliwa tayari, nipo kazini.

Ok. Umedhirisha ninayosema kila siku. Wewe ni interahamwe. Kubali tu. Mimi nimekubali ni mtutsi. Siogopi. Na wewe kubali tu ili hata ukichangia hapa watanzania wote wajue.
 
ok. Umedhirisha ninayosema kila siku. Wewe ni interahamwe. Kubali tu. Mimi nimekubali ni mtutsi. Siogopi. Na wewe kubali tu ili hata ukichangia hapa watanzania wote wajue.

mimi ni mtanzania kwa zaidi 100% na ninajivunia utaifa wangu.
 
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
malori ya nchi nyingine yatabeba ambayo ushuru wake ni 150$...anyway ushuru umeshuka tayari
 
mimi ni mtanzania kwa zaidi 100% na ninajivunia utaifa wangu.

Mtanzania gani? Wadanganye wengine. Just by reading comments zako zote hapa kwenye JF, automatically inaonekana huna uzalendo wowote na Tanzania kwa sababu unaonekana kwenye threads za Rwanda tu. Hiyo inadhihirisha kuwa una interest nyingi na Rwanda na sio Tanzania. C'mon sisi tumesomea psychology and we can read between the lines.
 
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.

Kitu kikubwa ni kuangalia msingi wa hiyo Toll kuwa $500 na wao au wengine kuwa $152, ni umbali unaokuwa covered katika barabara za nchi husika au nini, na je kunaweza kukawepo na njia mbadala ya kudai hilo tozo hili haki ionekane imetendeka.
 
kwa hiyo sisi wa Tz tulikuwa tunawalipisha usd 500 , walipopandisha na wao tukasema ni Siasa za VISASI...some people must be feeling very STUPID kwa comment zao walizoandika hapa..

pamoja mkuu!!!
 
rwanda na burundi must be eliminated from EAC..lasivyoo makubwa yatatokea..
 
Mtanzania gani? Wadanganye wengine. Just by reading comments zako zote hapa kwenye JF, automatically inaonekana huna uzalendo wowote na Tanzania kwa sababu unaonekana kwenye threads za Rwanda tu. Hiyo inadhihirisha kuwa una interest nyingi na Rwanda na sio Tanzania. C'mon sisi tumesomea psychology and we can read between the lines.

pOLE SANA. USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA NENE.
 
mtu wa visasi siku hizi kachoka kutukana kaona awa tumie wahamiaji haramu wanaorudishwa kuendeleza propaganda.
 
Better still ,Rwanda iongeze mizani angalau 20 mpakani hadi Kigali exclusive kupima magari ya Tanzania tu. May be we d learn the hard way of need to co operate

hivi jamani mnadhani tuki-give in kwenye hizi demands za Kagame tutaweza ku-coupe? impossible, piga picha au kaa kwenye viatu ya the late Mwalimu JK uone ni kitu gani angesema, surely angresha walipua wala asingeweza kusema eti tanzania hatujaalikwa kwenye mkutano au kutafuta kutapatapa, achaneni nao na hiyo mizigo irudishwe tu then we close down officially business with PK and the rest who may see him their god, time will tell na hatuhitaji kuendelea kulalamika lalamika hapa na infact Kenya na Uganda are being used by the dictator and strategist war monger pk, lets wait wao sasa hivi wana umoja kwa kuwa wana itafuta TZ wote ila wakishakaa peke yao hakitapikika,
 
si dhani kama rwanda wanashindwa kuingiza mizigo yao, njia zipo nyingi. mno sema upumbavu wao wanataka waiharibu nchi yao ndogo nzuri ambayo kama wangeachana na mambo ya vita ingeweza kuwa moja kati ya nchi za kiafrika ambazo wananchi wake wangeishi kwa amani na utajiri wa hali ya juu, kama huko mbele kwa wenzetu
 
Nimesikia kumbe, pamoja na kwamba watz wanaamini kuwa kodi ya magari yanayoenda Rwanda itakayoanza wiki moja ijayo (baada ya jana kusitishwa) wakati mkataba walioingia rwanda uganda na kenya utakapoanza kufanya kazi, jambo hili Rwanda walishapima mapana na marefu, pamoja na kwamba magari mengi sana yanapakia mzigo bandari ya dsm, rwanda wanasema wameona hawatapata hasara hata kidogo na uchumi wao hautayumba kama ushuru huo utaongezwa kwa tz, au hata kama wafanyabiashara wote wa rwanda watahamia bandari ya mombasa na kuiacha kabisa bandari ya dar.

watz tunasemaje kuhusu hili? tuko tayari kupoteza wateja wetu hawa, na kwanini Rwanda inaonekana inafanya lolote lile linalowezekana kuikomoa tz? hii inaonyesha hata kama kuna adui yeyote wa tz nje ya nchi rwanda wako tayari kushirikiana naye kuikomoa tz. pia inaonyesha Rwanda is not dependent on tz hata kidogo wanaweza kusurvive bial tz, na ndio wao wanaamini hivyo. Rwanda wanaamini kuwa Tanzania ndiyo inayoihitaji Rwanda kuliko Rwanda kuihitaji tz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom