Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mimi nilizani wamepandisha ushuru wa magari kutoka mbeya na mchele kuingia dar hapo ningemaindi lakini kama ni hao wanyarwanda waacheni bei zitawaweka sawa watashusha tu
 
Ifike mahali hii cold war iishe. Tena tuache kabisa kushabikia haya mambo. Haipendezi kuwa na jirani ambaye hamsalimiani hata kama wewe ni tajiri na una kila kitu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Sometimes inabidi iwe hivyo mkuu, kama jirani mwenyewe hana shida na hiyo salamu yako, we wa kazi gani?
 
Wana Jamiii

Nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda.....siamini ninachokiona machoni mwangu....kuanzia jana tarehe 1/09/2013 serekali ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara ( ROAD TOLL) kwa magari yote ya Mizigo ( Fuel and Dry Cargo) yenye plate numbers za Tanzania kutoka USD 152 mpaka USD 500 kwa kila gari.

Kwa taarifa ambazo sio rasmi kwa siku magari ya mizigo takribani 300 yanavuka hapa mpakani, na zaidi ya asilimia 95% ya magari hayo zina plate numbers za Tanzania.

Wanajamii hii ina madhara gani kwa uchumi wa Tanzania kwani akili ya harakaharaka hii ni some sort of Protectionism ila kwa mbali inaweza ikawa ni muendelezo wa chokochoko.



Ki mtazamo misioni sababu ya watanzania kuwa wanyonge kiasi hicho haifai hata kidogo kumuomba msamaha mtu ambae huja mkosea Hii ni kuonyesha udhaifu wa hali ya juu. CHA AJABU HUYO ANAE TUMWA KU SULUHISHA NAE HATUPENDI, ni vyema ku keep quet na sio kutapatapa kama wafamaji.
 
Jamani hv serikali yetu ina mkakati gani kukabiliana na hali hii! Mi naona tunapiga SIASA kwa mambo Serious ya uchumi tangu PK na jamaa zake waweke nguvu kwenye Bandari ya Mombasa cjackia mkakati maalum wa Serikali kukabiliana na hali hii 2najilisha upepo2 Tunataka GOV ije smart na mkakati wakufunika walipopunguza hao jamaa Tucjidanganye kwamba hatutaAthilika kwenye Biashara hakuna PESA kdg ukiikosa lazima uijutie tucdanganyane! Kiukweli nacjikia vbya sana kuona NCH hii km hatuna viongozi wenye Vision!
 
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.

Wabongo wameguswa Nyusi za ---- wanakua wakali sana Tatizo wabongo wanapendwa kueshimiwa kumbe hamna Kitu Bandari Bandari bandari Bongo ..!!!!????
 
Wanaipalilia Bandari ya Mombasa Unajua haya mambo unaweza kuyaangalia kwa jicho moja ukaona ni Kagame ndio anafanya yote haya ila mie nimekua na maono tofauti na haya Kuna bingwa wa Fitna anaitwa Uhuru huyu ndio anachochea hii kitu kubalini kataeni Rwanda ni landlocked haiwezi kufanya hayo kama hana sapoti na Uhuru ni mfanyabiashara na Wakikuyu hakuna wanachodhamini kama pesa! Tanzania tujitoe East Africa tujipange kufanya yetu.
 
Jamani hv serikali yetu ina mkakati gani kukabiliana na hali hii! Mi naona tunapiga SIASA kwa mambo Serious ya uchumi tangu PK na jamaa zake waweke nguvu kwenye Bandari ya Mombasa cjackia mkakati maalum wa Serikali kukabiliana na hali hii 2najilisha upepo2 Tunataka GOV ije smart na mkakati wakufunika walipopunguza hao jamaa Tucjidanganye kwamba hatutaAthilika kwenye Biashara hakuna PESA kdg ukiikosa lazima uijutie tucdanganyane! Kiukweli nacjikia vbya sana kuona NCH hii km hatuna viongozi wenye Vision!
 
mkuu, mkiona kagame anapiga kelele ni amejaribu sana kuwa accomodating ila kuna mahali inafika mtu unashindwa kuvumilia. tanzania inabidi mjirekebishe katika karne hii ya utandawazi na ushindani.

hey..sorry to call you cockroach ...unataka tanzania tujirekebishe kisa dunia imekuwa ya utandawazi na ushindani...ila nyie tutsi hamtaki kujirekebisha na kufanya mazungumzo coz muko dunia ya karne ya 17 ya udikteta and a sort of it.
Kama ni kubadilika munatakiwa muanze rwanda na wengine tuwafuate kwa wema mutakaoutenda..ila pia ustaarabu wa kushauriwa na kuupokea ushauri ki-staarabu na sio kutukana na kutishia kumshughulikia rais wetu as if unamwambia mtoto wako utamtia adabu..pumbafuuuu.

Back in topic...mwageni mboga tumwage ugali....munadhani bandari ya mombasa itawasaidia sanaaaa...na tanzania itakosa kila kitu na kufa njaa...hell noooo. Tukiwatoeni goma mujuwe mumekwisha na tutakaa goma kulinda amani for 10 yrs tuone mutaiba madini wapi au ndio mutalima milimani mu-export na kuwa matajiri.

Next move ni kuwarudishieni wahamiaji sugu mliohamia na kujificha dar na kuwaweka na toll muone nani ni smart..jk or pk...na mkijazana chigali muende mombasa kwa kenyata muone what will happen.

mtu mzima nguo iki-kudondoka chutamaaaaa...mwambieni tall akikimbia anaziacha tupu zake uchi.

akikua ajuwe.
 
jamani hv serikali yetu ina mkakati gani kukabiliana na hali hii! Mi naona tunapiga siasa kwa mambo serious ya uchumi tangu pk na jamaa zake waweke nguvu kwenye bandari ya mombasa cjackia mkakati maalum wa serikali kukabiliana na hali hii 2najilisha upepo2 tunataka gov ije smart na mkakati wakufunika walipopunguza hao jamaa tucjidanganye kwamba hatutaathilika kwenye biashara hakuna pesa kdg ukiikosa lazima uijutie tucdanganyane! Kiukweli nacjikia vbya sana kuona nch hii km hatuna viongozi wenye vision!

acha uoga kijana..tupo smart watchin his next move and lookin on the weakest point to knock him out... Yeye wakati anapigana vita ya uchumi sie tunamuandalia vita live ya kumngoa ikulu tuweke watu makini kama yuleeee aliyekimbilia south africa...

Plus kuwarudisha watukutu wa kitutsi wakampinge na kuwapa silaha na kuwapa base ngara na kigoma wamtolee mbali...akapitishe silaha mombasa za waasi zipite dar tuone nani atawahi vitani....

Ahahahahaaaaaaaaaaa....goodbye slim shadddddyyyyy.
 
namtamani Kagame! JK vijana tupo tayari, tunasubiri amri yako tu tuingie Kigali. Ndio kumbukum bu pekee utakayowaachia watanzania na Afrika Mashariki baada ya ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania ku fail :smile-big::smile-big::smile-big:
 
Katika hali ya kushangaza Serikali ya Rwanda imeongeza bei/gharama kwa mabasi yanayotoka Tanzania kwenda Rwanda. Kutoka USD 152 mpaka USD 500! Kweli Kagame yuko serious..

SOURCE: EATV News
 
Mkuu, ukimputupia mwenye mzigo naye atatafuta sehemu yenye nafuu kwenye usafirishaji ili bidhaa yake iwe na ushindani sokoni. Maana yake ni kwamba bidhaa hiyo hiyo ikipita Mombasa itakuwa bei nafuu kuliko Dar kwa ajili ya usafirishaji tu. Mwisho wa siku kila mwenye mzigo atapitisha Mombasa - na hilo ndio lengo.
kupitia mombasa itakuwa ngumu sana,kwa maana kutoka mombasa hadi kigari ni km kama350 zaid ya kupitia tanzania na ni zaidi ya masaa saba,sa bas us 500 ni sawa na TSH 810000(1620 times 500USD), na kwa hesabu ya haraka haraka lita moja ya disel ni TSH 2100 na gari laweza consume 1litre fo 2km,hence 2100 times 150=367500 ukiondoa gharama ya muda na uharibifu wa spea na manyanyaso ya kenya kama tuwajuavyo, so Tanzania lazima watapita tu:A S-fire1:
 
Kagame hayuko serious amechanganyikiwa, akiongeza road toll, nauli inaongezeka, si watanzania tu wanatumia mabasi hayo, wakenya, waganda, wanyarwanda wote wamo humo, atakaeshindwa nauli kwa sasa mpaka m23 na kagame mwenyewe wasafishwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom