kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
this is not a joke its true..... mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji as we speak yuko desperate kuongea na wizara husika kusolve hii issue maaan tusishabikie udaku kuna watu watafirisika na business kuwa closed we should not be happy at all with this move!! kama ni issue tu ya kupandisha kodi mbona kwa malori ya kenya na uganda rate zibaki zilezile za zamani!!
Wakishaongea na wizara husika ifanye nini?? Ili iweje???? Serikali ya Rwanda inaweweseka tu. Wanakomoa wanajisahau kama na wao pia watu wao wengi wanafanya biashara huku na sisi tukianza kufanya kama wao ni wananchi wa pande zote wataumia.