Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Watz tuna ushabiki wa kijinga sana hata kwenye jambo linalogusa uchumi wetu, lkn pia waandishi wa habari ni vimeo na wanatudanganya sana na habari zao zisizo na mantiki na zenye uchochezi tupu. Leo asubuhi katika kituo cha ITV alihojiwa suala la kuongezwa kwa tozo ya dola 500,kumbe issue hii ni ya tangu mwaka jana na mwekahazina wa TATOA zakaria Hans Pope amesema taarifa juu ya Rwanda kukusudia kupandisha kodi hiyo walijulishwa na kuiarifu serikali yetu isaidie kabla ya kuanza utekelezaji ..leo inaonekana ni kwa7bu ya mgogoro wa viongozi wakuu wa nchi mbili kwa hiyo tinakomolewa.inasikitisha sana taarifa za namna hii kuonyesha ushabiki wa kipuuzi.serikali hapa inapaswa kulitolea ufafanuzi jambo hili ili tujue kauli sahihi ni ipi.
 
poor Rwanda!!! wanahangaika kweli, ila sasa hivi lazima wakae chini watatulia wenyewe tu, hawana pa kukimbilia hawa nawasikitia sana. ila lazima tuwashikishe adabu maana wamemshika simba sharubu wenyewe!

Nimesikia kumbe, pamoja na kwamba watz wanaamini kuwa kodi ya magari yanayoenda Rwanda itakayoanza wiki moja ijayo (baada ya jana kusitishwa) wakati mkataba walioingia rwanda uganda na kenya utakapoanza kufanya kazi, jambo hili Rwanda walishapima mapana na marefu, pamoja na kwamba magari mengi sana yanapakia mzigo bandari ya dsm, rwanda wanasema wameona hawatapata hasara hata kidogo na uchumi wao hautayumba kama ushuru huo utaongezwa kwa tz, au hata kama wafanyabiashara wote wa rwanda watahamia bandari ya mombasa na kuiacha kabisa bandari ya dar.

watz tunasemaje kuhusu hili? tuko tayari kupoteza wateja wetu hawa, na kwanini Rwanda inaonekana inafanya lolote lile linalowezekana kuikomoa tz? hii inaonyesha hata kama kuna adui yeyote wa tz nje ya nchi rwanda wako tayari kushirikiana naye kuikomoa tz. pia inaonyesha Rwanda is not dependent on tz hata kidogo wanaweza kusurvive bial tz, na ndio wao wanaamini hivyo. Rwanda wanaamini kuwa Tanzania ndiyo inayoihitaji Rwanda kuliko Rwanda kuihitaji tz.
 
Mi nilijua nikija kwenye hii Thread nitakuta facts kumbe maneno tu. Sasa hapa Watanzania tusiokuwa na ufahamu tutajuaje kama ndio waathirika wakuu kwenye hii biashara. Wenye ufahamu watupe Facts kwenye hii Biashara.
 
Ni ukweli unaopingika kuwa Tanzania ndiyo itakayoumia. Taarifa zilizopo ni kwamba kati ya malori 200 hadi 300 kila siku hutoka bandari ya Dar kuelekea Rwanda. Malori hayo, mengi yanaenda DRC na wala siyo Rwanda. malori yanayokuja Dar kutoka Rwanda kwa siku ni kama 10 hadi 30 tu. Kinachofanyika hapa ni kuhakikisha Wakongo nao wanapitisha mizigo yao bandari ya Mombasa. Hatutaathirika kutokana na mizigo inayoenda Rwanda, tutaathirika zaidi kwa mizigo inayoenda DRC. Hapa wameadhibiwa Watanzania na Wakongoman, wote kwa pamoja.
 
sasa, kama hali ndio hiyo, kwani hatuwezi kupitishia mizigo yetu burundi? mbona hilo ni pigo kubwa sana kwa tz jamani? mimi naona Rwanda hadi wakafanya hivyo, wamehesabu garama, mapana na marefu wakaona wao hawataathirika ni watz ndio wataakaoathirika na dsm port yao, ndio maana wakamua kufanya hivyo kwa kiburi kikubwa. tz tutafanyaje ili kuifanya congo waendelee na hapa dsm port, au ndio kagame ameungana na kenyatta ili kuiboresha bandari ya mombasa, kama ametumwa vile?
 
kama Rwanda wameamua kuongeza ushuru kuanzia wiki ijayo kwaajili ya kuwafanya wafanya biashara wanaopeleka mizigo yao congo kupitia rwanda wahamishie majeshi bandari ya mombasa kuliko kupitia dsm port, basi tz tumeumia na wameturudishia pigo la kutosha. naona jamaa wanajua kweli maeneo murua ya kuipiga tz. na sisi hatujayaona maeneo mazuri ya kuwatandika hadi wafyate mkia?

imejulikana kuwa, kama rwanda itapandisha ushuru huo, wao hawatapata hasara, bali ni strategy waliyokubaliana na kenyatta ili kuboresha bandari ya mombasa kuliko ya dsm. hii ni kwasababu, kume maroli mengi yanayoenda Rwanda yaliyokuwa yamezuiliwa rusumo hayaishii pale yanakuwa yanapita kwenda congo, ni malori yanayoenda congo, hivyo wwakiongeza ushuru watakaoathirika ni tz port na wacongo, wala si wanyarwanda. wanyarwanda wataendelea kutumia mombasa, na hapohapo, wafanyabiashara wa congo watavutika na kuamua kutumia mombasa kuliko dsm, hii inashusha uchumi wa tz na ni pigo ambalo rwanda wameamua kulifanya, ndio maana jana walisema hatua waliyoifanya haitawaathiri wao kabisa, ndivyo walivyosema jana.

kwa namna hiii, uhuru kenyatta atakuwa amezoa wateja wote kuanzia burundi, congo, rwanda hadi uganda kutumia mombasa kuliko dsm port au bagamoyo port. hii ni vita ya kibiashara na wakenya wameamua kumtumia adui namba moja wa tz mr kagame kutudhoofisha. watz tutafanyaje?
 
hakika kikao walichokaa marais hawa watatu, kagame, m7 na kenyatta kule entebe kipindi kile kwa kumuexclude kikwete, kina siri nyingi ambazo tz hatujazijua, watatufitini hawa jamaa hadi tutakoma ubishi.
 
Nimesikia kumbe, pamoja na kwamba watz wanaamini kuwa kodi ya magari yanayoenda Rwanda itakayoanza wiki moja ijayo (baada ya jana kusitishwa) wakati mkataba walioingia rwanda uganda na kenya utakapoanza kufanya kazi, jambo hili Rwanda walishapima mapana na marefu, pamoja na kwamba magari mengi sana yanapakia mzigo bandari ya dsm, rwanda wanasema wameona hawatapata hasara hata kidogo na uchumi wao hautayumba kama ushuru huo utaongezwa kwa tz, au hata kama wafanyabiashara wote wa rwanda watahamia bandari ya mombasa na kuiacha kabisa bandari ya dar.

watz tunasemaje kuhusu hili? tuko tayari kupoteza wateja wetu hawa, na kwanini Rwanda inaonekana inafanya lolote lile linalowezekana kuikomoa tz? hii inaonyesha hata kama kuna adui yeyote wa tz nje ya nchi rwanda wako tayari kushirikiana naye kuikomoa tz. pia inaonyesha Rwanda is not dependent on tz hata kidogo wanaweza kusurvive bial tz, na ndio wao wanaamini hivyo. Rwanda wanaamini kuwa Tanzania ndiyo inayoihitaji Rwanda kuliko Rwanda kuihitaji tz.

Wanaamini kuwa Tanzania inawahitaji kuliko wao wanvyohitaji Tanzania? Haiwezi kuwa kweli. Rwanda ni nchi isiyo na bandari lazima ipate sehemu ya kupitisha mizigo yake. Kwa sasa wameamua itakuwa ni Kenya. Ni uamuzi. Lakini watu wenye hekima siku siku wanasema keep yoour options open. Lolote laweza kutokea Kenya na dalili zinaanza kuonekana. Museveni anayajua haya kwa kuwa yalishampata. Wakati wa vurugu za uchaguzi Kenya kipindi kile, watu waliong'oa mapaka reli inayokwenda Uganda. Rwanda wakiamua kujiondoa kabisa bandari ya Dar, lazima Tanzania ipate hasara fulani kwa muda fulani lakini siamini kuwa itakuwa ya muda mrefu sana. Kenya pia wanaweza kuitumia nafasi hiyo kuwanyanyasa Rwanda wakijua fika kuwa itakuwa vigumu kwao kurudi Dar tena. Uchaguzi ujao Kenya miaka mitano iyajo, nani anawahakikishia Rwanda kuwa Uhuru ataendelea kuongoza Kenya? Je Tanzania bado itakuwa na CCM mwaka 2015? mambo yote hayo yatabadili mounekano wa siasa za EAC kuanzia 2015. CDM walimmunga mkono Odinga, wakichukua wanaweza wakabadili mambo na kuifanya Kenta ichague Rwanda au Tanzania. Wakati huo pengine tutakuwa na serikali ya Tanganyika. Je mwaka 2017 Kagame ataachia kama katiba yao inavyosema au atabadili katiba aendelee. Hizi vurugu zake inaweza sababu au kisingizio ili aendelee kuikabili Tanzania/Tanganyika. Je Museveni ataendelea na mipango yake ya kumrithisha mwanae? Waganda watakubali? Uganda ni nchi pekee amabyo marais hawajawahi kupokezana madaraka kwa amani. Maana yake ni kwamba Kaguta anaweza kuondoka kwa njia hiyo hiyo maana hatoi nafasi kwa wengine. Huhitaji kuwa Sheikh Yahya kujua kuwa miaka mitatu hadi mitano kuanzia sasa EAC itakuwa kitu kingine kabisa.
The next three to yer
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom