katesh
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 117
- 21
Watz tuna ushabiki wa kijinga sana hata kwenye jambo linalogusa uchumi wetu, lkn pia waandishi wa habari ni vimeo na wanatudanganya sana na habari zao zisizo na mantiki na zenye uchochezi tupu. Leo asubuhi katika kituo cha ITV alihojiwa suala la kuongezwa kwa tozo ya dola 500,kumbe issue hii ni ya tangu mwaka jana na mwekahazina wa TATOA zakaria Hans Pope amesema taarifa juu ya Rwanda kukusudia kupandisha kodi hiyo walijulishwa na kuiarifu serikali yetu isaidie kabla ya kuanza utekelezaji ..leo inaonekana ni kwa7bu ya mgogoro wa viongozi wakuu wa nchi mbili kwa hiyo tinakomolewa.inasikitisha sana taarifa za namna hii kuonyesha ushabiki wa kipuuzi.serikali hapa inapaswa kulitolea ufafanuzi jambo hili ili tujue kauli sahihi ni ipi.