Pre GE2025 Siasa zaingia michezoni, baada ya CCM kuja na T-shirt za 'Watoto wa Mama' CHADEMA wamekuja na T-shirt za 'Watoto wa Baba'.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uvccm wameshauri Chadema waache kulalamika sana ifanye vitendo hivi ndio vitendo vyenyewe.
Yaani hapo ndio wako vizuri

Wameshasogezwa kando… Acha wanaoprint tisheti wavute pesa
 
Hizi Simba na Yanga niliwahi kusema hapa zinatumika vibaya nikabishiwa haya

Niliwahi kuandika pia miaka kadhaa nyuma.

Simba na yanga ni janga kwa taifa.

 
Kwa hiyo chagadema mmeshakubaliana kwamba 2025 mnamsimamisha Lissu?
Kwani kuweka picha ya Samia kwenye pikipiki ina maana CCM hawana mgombea mwingine mwenye angalau busara kidogo zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…