Siasa zetu na Hatma ya Tanzania: "Tungewawahi mapema Kuwanyonga"

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,647
Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine.

Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k

Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana Rwanda na Burundi miaka ya 90. Lakini watu wanasahau tu kuwa Kenya mwaka 2008 waliuana sababu ya uvunjifu wa katiba kutokana na tamaa za wanasiasa.

Nmekuwa nikizisikiliza kauli za wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa Katiba.hawa ni wanasiasa ambao wanataka kuchochea machafuko katika nchi hii. Swali langu. Kabla hawajaua watu kwa matamshi yao kwanini wasinyongwe? Inawapasa wachache wapuuzi wafe kwa ajili ya wengi.

Wazee walisema "Kinga ni bora kuliko Tiba" kwa nini tusijikinge na hatari inayotukabili kuliko kusubiri itokee?

Walipoamua watangulizi wetu kuwe na katiba waligundua kuwa Uongozi serikali ni kama Dereva barabarani. Umewahi kufikiri kusingekuwa na sheria barabarani? Kila dereva angeendesha atakavyo kwa matakwa yake?

Katiba ni kama msahafu uliokubalika na wananchi husika. Haubadilishwi na kikundi cha watu wachache kwa kuangalia maslah yao.

Hao wanaotaka kuvunja katiba ni wazi hawapo kwa maslahi ya Taifa. Ni watu wanaoangalia maslahi yao zaidi wakijifunika maslahi ya Taifa.

Mh Rais. Kemea watu hawa na haraka sheria ifutate mkondo wake.tuwawahi kuwashtaki na kuwanyonga kabla hatujaja nyongana sisi kwa machafuko wanayoyaandaa.

Waswahili walisema "HATA AKIENDA JUU KAPUNGU, HAFIKII KWA MUNGU"
 
Viongozi wa awamu ya 5 wanajisifia sana kuwa wanafuata nyayo za Mwalimu Nyerere katika kuongoza nchi ; lakini ukiangalia kwa karibu utagundua kuwa wanalitumia tu jina la mwalimu kwani hawaendani na yale aliyoyaamini!! Nitatoa mfano mmoja nao ni kuhusu wale wanaotaka kumuongezea muda wa kutawala Magufuli kwa kubadilisha Katiba; mwalimu aligungdua kuwa wale wote waliokuwa wanakataa asing'atuke walikuwa wanafanya hivyo kwa maslahi yao na familia zao na sio kwa manufaa ya Taifa. Magufuli hana budi kusoma kama hajasoma mpaka sasa historia ya nchi hii pia historia ya TANU,ASP mpaka CCM atagundua kuwa madikteta katika vyama hivi huwa wanaishia pabaya!!!
 
Kama wanaweza kulitumia jina la Mungu kwa maslai yao huku wakiua,kuteka na kutesa ndio watashindwa kulitumia jina la Mwalimu?
 
Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine.

Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k

Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana Rwanda na Burundi miaka ya 90. Lakini watu wanasahau tu kuwa Kenya mwaka 2008 waliuana sababu ya uvunjifu wa katiba kutokana na tamaa za wanasiasa.

Nmekuwa nikizisikiliza kauli za wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa Katiba.hawa ni wanasiasa ambao wanataka kuchochea machafuko katika nchi hii. Swali langu. Kabla hawajaua watu kwa matamshi yao kwanini wasinyongwe? Inawapasa wachache wapuuzi wafe kwa ajili ya wengi.

Wazee walisema "Kinga ni bora kuliko Tiba" kwa nini tusijikinge na hatari inayotukabili kuliko kusubiri itokee?

Walipoamua watangulizi wetu kuwe na katiba waligundua kuwa Uongozi serikali ni kama Dereva barabarani. Umewahi kufikiri kusingekuwa na sheria barabarani? Kila dereva angeendesha atakavyo kwa matakwa yake?

Katiba ni kama msahafu uliokubalika na wananchi husika. Haubadilishwi na kikundi cha watu wachache kwa kuangalia maslah yao.

Hao wanaotaka kuvunja katiba ni wazi hawapo kwa maslahi ya Taifa. Ni watu wanaoangalia maslahi yao zaidi wakijifunika maslahi ya Taifa.

Mh Rais. Kemea watu hawa na haraka sheria ifutate mkondo wake.tuwawahi kuwashtaki na kuwanyonga kabla hatujaja nyongana sisi kwa machafuko wanayoyaandaa.

Waswahili walisema "HATA AKIENDA JUU KAPUNGU, HAFIKII KWA MUNGU"

Kama wanachezea box la kura na hakuna lolote wanafanywa, ni lipi litawazuia kuchezea katiba kwa maslahi yao? Huyo ambaye anayejifanya hataki kuongezewa muda wa kukaa madarakani, ndio anaongoza kunajisi box la kura, ili hili kundi linalotaka akae madarakani lirudi bungeni.
 
Hata katiba ivunjwe

Hapa Tanzania hakuna wenye uwezo wa kuandamana

Narudia tena, Tanzania hakuna watu wanaoweza kuingia barabarani kuandamana hata katiba ivunjwe namna gani

Nchi ya waoga sanaa, hadi aibu

Sina cha kupoteza,nilikosa wakuniunga mkono hata watatu tu
 
Hayo ndio mjukumu ya TISS, kulinda maslahi ya nchi na sio maslahi ya serikali iliyopo madarakani. Mwenyekiti ameonesha dalili mbaya sana tangia 2017 lakini wao wakazembea wakidhani wataweza kumdhibiti, sasa keshawapiga pini kali hawafurukuti. Katiba itavunjwa sana tu, hakuna wa kuilinda. Wote waliokula kiapo kuilinda labda hawakuelewa viapo vyao.
 
Kuna taarifa bza chini ya kapeti idara kuna namna imetikisika kwa nyendo za mzee
 
Sina cha kupoteza,nilikosa wakuniunga mkono hata watatu tu
Hapa ni kupunguza tu stress huku jf

Linapokuja swala la kuingia barabarani kwa watanzania ni ndoto ya mchana

Uoga umepandikizwa toka kwenye familia, ukoo ,jamii, mtaa, kijiji, wilaya, mkoa, mpaka taifa lote ni waoga.

Sioni kabisa mtu wa kuingia road, wote wanaandamania twiteni na jf au insta
 
Hata katiba ivunjwe

Hapa Tanzania hakuna wenye uwezo wa kuandamana

Narudia tena, Tanzania hakuna watu wanaoweza kuingia barabarani kuandamana hata katiba ivunjwe namna gani

Nchi ya waoga sanaa, hadi aibu
Kweli kabisa pancha ya baiskeli tuu wanajazana kwenye mtaro kwa woga
 
Hayo ndio mjukumu ya TISS, kulinda maslahi ya nchi na sio maslahi ya serikali iliyopo madarakani. Mwenyekiti ameonesha dalili mbaya sana tangia 2017 lakini wao wakazembea wakidhani wataweza kumdhibiti, sasa keshawapiga pini kali hawafurukuti. Katiba itavunjwa sana tu, hakuna wa kuilinda. Wote waliokula kiapo kuilinda labda hawakuelewa viapo vyao.
Kwa bahati mbaya nao hao ni moja wapo wa wanufaika na familia zao,hatuna pa kukimbilia
 
Kwa misingi iliyojengwa nchi hii bdo tuna safar ndefu sana na lolote laweza kufanyika ndan ya bongoland
 
Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine.

Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k

Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana Rwanda na Burundi miaka ya 90. Lakini watu wanasahau tu kuwa Kenya mwaka 2008 waliuana sababu ya uvunjifu wa katiba kutokana na tamaa za wanasiasa.

Nmekuwa nikizisikiliza kauli za wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa Katiba.hawa ni wanasiasa ambao wanataka kuchochea machafuko katika nchi hii. Swali langu. Kabla hawajaua watu kwa matamshi yao kwanini wasinyongwe? Inawapasa wachache wapuuzi wafe kwa ajili ya wengi.

Wazee walisema "Kinga ni bora kuliko Tiba" kwa nini tusijikinge na hatari inayotukabili kuliko kusubiri itokee?

Walipoamua watangulizi wetu kuwe na katiba waligundua kuwa Uongozi serikali ni kama Dereva barabarani. Umewahi kufikiri kusingekuwa na sheria barabarani? Kila dereva angeendesha atakavyo kwa matakwa yake?

Katiba ni kama msahafu uliokubalika na wananchi husika. Haubadilishwi na kikundi cha watu wachache kwa kuangalia maslah yao.

Hao wanaotaka kuvunja katiba ni wazi hawapo kwa maslahi ya Taifa. Ni watu wanaoangalia maslahi yao zaidi wakijifunika maslahi ya Taifa.

Mh Rais. Kemea watu hawa na haraka sheria ifutate mkondo wake.tuwawahi kuwashtaki na kuwanyonga kabla hatujaja nyongana sisi kwa machafuko wanayoyaandaa.

Waswahili walisema "HATA AKIENDA JUU KAPUNGU, HAFIKII KWA MUNGU"
Maneno makali
 
Maneno makali
Lakini ni ya kweli.

Jiwe hastahili kuwepo ikulu baada ya mwezi October mwaka huu,hata kwa kumwona kura.

Natumaini mnanielewa. Haiwezekani wafanyakazi wote wa nchi hii,wakulima,wanasiasa,wafanyabishara...wote waonekane walikuwa ni wezi,tena neno hilo anaongea mtu mmoja tu na vibaraka wake na wote tukakubali.
Tunaweza kusema noo! Kwa kura,ama kwa njia nyinginezo lkn toka sasa Jiwe hafai hata kwa kurumangia.
 
Back
Top Bottom