Kama wanaweza kulitumia jina la Mungu kwa maslai yao huku wakiua,kuteka na kutesa ndio watashindwa kulitumia jina la Mwalimu?Viongozi wa awamu ya 5 wanajisifia sana kuwa wanafuata nyayo za Mwalimu Nyerere katika kuongoza nchi ; lakini ukiangalia kwa karibu utagundua kuwa wanalitumia tu jina la mwalimu kwani hawaendani na yale aliyoyaamini!! Nitatoa mfano mmoja nao ni kuhusu wale wanaotaka kumuongezea muda wa kutawala Magufuli kwa kubadilisha Katiba; mwalimu aligungdua kuwa wale wote waliokuwa wanakataa asing'atuke walikuwa wanafanya hivyo kwa maslahi yao na familia zao na sio kwa manufaa ya Taifa. Magufuli hana budi kusoma kama hajasoma mpaka sasa historia ya nchi hii pia historia ya TANU,ASP mpaka CCM atagundua kuwa madikteta katika vyama hivi huwa wanaishia pabaya!!!
Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine.
Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k
Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana Rwanda na Burundi miaka ya 90. Lakini watu wanasahau tu kuwa Kenya mwaka 2008 waliuana sababu ya uvunjifu wa katiba kutokana na tamaa za wanasiasa.
Nmekuwa nikizisikiliza kauli za wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa Katiba.hawa ni wanasiasa ambao wanataka kuchochea machafuko katika nchi hii. Swali langu. Kabla hawajaua watu kwa matamshi yao kwanini wasinyongwe? Inawapasa wachache wapuuzi wafe kwa ajili ya wengi.
Wazee walisema "Kinga ni bora kuliko Tiba" kwa nini tusijikinge na hatari inayotukabili kuliko kusubiri itokee?
Walipoamua watangulizi wetu kuwe na katiba waligundua kuwa Uongozi serikali ni kama Dereva barabarani. Umewahi kufikiri kusingekuwa na sheria barabarani? Kila dereva angeendesha atakavyo kwa matakwa yake?
Katiba ni kama msahafu uliokubalika na wananchi husika. Haubadilishwi na kikundi cha watu wachache kwa kuangalia maslah yao.
Hao wanaotaka kuvunja katiba ni wazi hawapo kwa maslahi ya Taifa. Ni watu wanaoangalia maslahi yao zaidi wakijifunika maslahi ya Taifa.
Mh Rais. Kemea watu hawa na haraka sheria ifutate mkondo wake.tuwawahi kuwashtaki na kuwanyonga kabla hatujaja nyongana sisi kwa machafuko wanayoyaandaa.
Waswahili walisema "HATA AKIENDA JUU KAPUNGU, HAFIKII KWA MUNGU"
Hata katiba ivunjwe
Hapa Tanzania hakuna wenye uwezo wa kuandamana
Narudia tena, Tanzania hakuna watu wanaoweza kuingia barabarani kuandamana hata katiba ivunjwe namna gani
Nchi ya waoga sanaa, hadi aibu
Kuna taarifa bza chini ya kapeti idara kuna namna imetikisika kwa nyendo za mzeeHayo ndio mjukumu ya TISS, kulinda maslahi ya nchi na sio maslahi ya serikali iliyopo madarakani. Mwenyekiti ameonesha dalili mbaya sana tangia 2017 lakini wao wakazembea wakidhani wataweza kumdhibiti, sasa keshawapiga pini kali hawafurukuti. Katiba itavunjwa sana tu, hakuna wa kuilinda. Wote waliokula kiapo kuilinda labda hawakuelewa viapo vyao.
Hapa ni kupunguza tu stress huku jfSina cha kupoteza,nilikosa wakuniunga mkono hata watatu tu
Amewashika pabaya, hawafurukuti. Wataishia kusikitika tu kama sisi wananchi wengine huku.Kuna taarifa bza chini ya kapeti idara kuna namna imetikisika kwa nyendo za mzee
Hatari sana YaaniAmewashika pabaya, hawafurukuti. Wataishia kusikitika tu kama sisi wananchi wengine huku.
Kweli kabisa pancha ya baiskeli tuu wanajazana kwenye mtaro kwa wogaHata katiba ivunjwe
Hapa Tanzania hakuna wenye uwezo wa kuandamana
Narudia tena, Tanzania hakuna watu wanaoweza kuingia barabarani kuandamana hata katiba ivunjwe namna gani
Nchi ya waoga sanaa, hadi aibu
Kwa bahati mbaya nao hao ni moja wapo wa wanufaika na familia zao,hatuna pa kukimbiliaHayo ndio mjukumu ya TISS, kulinda maslahi ya nchi na sio maslahi ya serikali iliyopo madarakani. Mwenyekiti ameonesha dalili mbaya sana tangia 2017 lakini wao wakazembea wakidhani wataweza kumdhibiti, sasa keshawapiga pini kali hawafurukuti. Katiba itavunjwa sana tu, hakuna wa kuilinda. Wote waliokula kiapo kuilinda labda hawakuelewa viapo vyao.
Maneno makaliTanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine.
Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k
Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana Rwanda na Burundi miaka ya 90. Lakini watu wanasahau tu kuwa Kenya mwaka 2008 waliuana sababu ya uvunjifu wa katiba kutokana na tamaa za wanasiasa.
Nmekuwa nikizisikiliza kauli za wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa Katiba.hawa ni wanasiasa ambao wanataka kuchochea machafuko katika nchi hii. Swali langu. Kabla hawajaua watu kwa matamshi yao kwanini wasinyongwe? Inawapasa wachache wapuuzi wafe kwa ajili ya wengi.
Wazee walisema "Kinga ni bora kuliko Tiba" kwa nini tusijikinge na hatari inayotukabili kuliko kusubiri itokee?
Walipoamua watangulizi wetu kuwe na katiba waligundua kuwa Uongozi serikali ni kama Dereva barabarani. Umewahi kufikiri kusingekuwa na sheria barabarani? Kila dereva angeendesha atakavyo kwa matakwa yake?
Katiba ni kama msahafu uliokubalika na wananchi husika. Haubadilishwi na kikundi cha watu wachache kwa kuangalia maslah yao.
Hao wanaotaka kuvunja katiba ni wazi hawapo kwa maslahi ya Taifa. Ni watu wanaoangalia maslahi yao zaidi wakijifunika maslahi ya Taifa.
Mh Rais. Kemea watu hawa na haraka sheria ifutate mkondo wake.tuwawahi kuwashtaki na kuwanyonga kabla hatujaja nyongana sisi kwa machafuko wanayoyaandaa.
Waswahili walisema "HATA AKIENDA JUU KAPUNGU, HAFIKII KWA MUNGU"
Lakini ni ya kweli.Maneno makali