DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sidhani kama kuna ukweli.
Sababu mtu kama amefikia hatua ya kuwa mwalimu hawezi kuwa taahira kabisa kabisa kiasi hiki.
Weka ualimu pembeni, kwa mfumo na kasumba iliyowekwa sasa hivi watu wapo tayari kuweka taaluma pembeni na kaumua kuwa chawa Kwa maslahi ya tumbo na sio maslahi ya umma .
Hao wajinga walishauriana kuwa tukifanya hivi Kuna uwezekano mkubwa wa kupandishwa vyeo vya juu zaidi!
Amini usiamini wajinga wakiwa wengi wenye akili huteseka. Na wenye akili huteseka Kwa kukaa kimya!
 
uongo na uzushi mwingine bana 🤣

kwamba mwalimu anawajua wanachadema?🤣

tafuteni huruma kwenye mambo mengine jamani huu uzushi ni wa kiwango cha ambacho ni dhahiri hamuwezi kuvuna huruma kabisaaaa kwa 🐒
Mpumbavu mjinga wewe, waziri wa Elimu ameagiza warudi shule na hatua nyingine za kiutumishi zichukuliwe Ili kucontrol damage.
Nyie mmebaki kupindisha ukweli mnapindisha mpaka shingo wapora haki wakubwa ninyi
 
Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Nikufukuzwa kwasababu wameambiwa watafute shule nyingine. Hata hivyo nadhani Kuna hatua muhimu zakisheria zilipaswa zichukuliwe dhidi ya hao wazazi kwa lugha zao chafu(kwa mujibu wa barua). Mara nyingi wanafunzi wanawajibishwa kwa makosa waliotenda wao na sio ya wazazi/walezi.
Aidha, walimu hawawezi kumwondoa mwanafunzi bila vikao na kamati yashule.
 
Fukuza watoto wote na ikiwezekana mtendaji nae awafukuze kijijini mtu anayemtoa mtoto wako ujinga ni mtu wa kumheshimu sana barua inalalamika kuwa wazazi wamewatukana walimu alafu mnasingizia Chadema... Shame on you wote mnaoshabikia ujinga huu
Jinga mwingine huyu.
 
Nikufukuzwa kwasababu wameambiwa watafute shule nyingine. Hata hivyo nadhani Kuna hatua muhimu zakisheria zilipaswa zichukuliwe dhidi ya hao wazazi kwa lugha zao chafu(kwa mujibu wa barua). Mara nyingi wanafunzi wanawajibishwa kwa makosa waliotenda wao na sio ya wazazi/walezi.
Aidha, walimu hawawezi kumwondoa mwanafunzi bila vikao na kamati yashule.
Tuna kundi la wajinga ambao hawajui hata taratibu za uendeshaji wa shule na kiongozi Cha mkuu wa shule au Mwalimu mkuu linasemaje!
Taratibu za kumsimamisha mwanafunzi masomo, kumhamisha shule au kumtaka mzazi amhamishe shule mtoto!
Nchi hii imejaa mabumunda yaliyoenda kuhudhuria madarasa na sio kupata maarifa na hayo Ndio yamepewa nafasi za uongozi kwamba hata mkuu wa WILAYA ana uwezo wa kuingilia maamuzi ya shule!
Yako hapa kwenye platforms kama Tlatlah na Mwashambwa nayashabikiwa watoto kunyimwa Haki za msingi za binadamu kisa watu wametofautiana kisiasa.
Ni aibu kuona kwamba sasa hivi watu wanasaka vyeo na madaraka na gharama za maisha ya watu
 
Jinga mwingine huyu.
Hilo ni Takataka, na ukiliambia waziri wa serikali yake ameamua tofauti yatakenua mapengo na meno machafu!
Hata mzazi akimtukana Mwalimu, Mwalimu hana mamlaka kisheria kumfukuza mtoto shule, swala la mzazi litasgugulikiwa kwa mujibu wa Sheria na taribu za nchi!
Hizo shule ni za umma sio za Lijua likali na hao walimu mazezeta.
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii👇

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Acha kila upande upate maumivu mjini na vijijini labda watz tutaamka. Kukikataa hili li chama la zamani
 
Huyo mkuu wa wilaya anapaswa kufukuzwa kazi kwa kitendo cha kibaguzi. Anawezaje kuwabagua watanzania kisa tu ni siasa za vyama? Huo ni upumbavu na ujuha
 
Let's say mi ni mtumishi wa umma bosi wangu ni kada wa chama tawala, kwa akili zake za kikada kamwe hataweza kunitikisa mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama chake, huko ni kukosa akili na maarifa
 
Mpumbavu mjinga wewe, waziri wa Elimu ameagiza warudi shule na hatua nyingine za kiutumishi zichukuliwe Ili kucontrol damage.
Nyie mmebaki kupindisha ukweli mnapindisha mpaka shingo wapora haki wakubwa ninyi
watoto wale ni bandits kutokana na malezi ya hovyo ya wazazi wao, ni muhimu na inafaa zaid,wawekwe kwenye shule za uangalizi maalumu wasije kukuharibu watoto wengine .

hata hivyo,
wazazi wao wachunguzwe pia wanachofanya mtaani huenda wanaspoil na watoto wengine 🐒
 
Lakini viongozi wako wameagiza watoto warudi shuleni na walimu kuchukuliwa hatua zi kiutumishi! Mihemuko ya kisiasa kudhani watapewa vyeo imefanya file zao ziwe zito!
Hizo ni hatua za awali, uchunguzi unaendelea.
 
Hata
watoto wale ni bandits kutokana na malezi ya hovyo ya wazazi wao, ni muhimu na inafaa zaid,wawekwe kwenye shule za uangalizi maalumu wasije kukuharibu watoto wengine .

hata hivyo,
wazazi wao wachunguzwe pia wanachofanya mtaani huenda wanaspoil na watoto wengine 🐒
Unachokiandika kinadhihirisha uozo ulio kichwani. Utu na utanzania ni msamiati kwako.
 
Hata

Unachokiandika kinadhihirisha uozo ulio kichwani. Utu na utanzania ni msamiati kwako.
ni muhimu mno kufuatilia kwa karibu sana miendeno ya wazazi wao na hao wanafunzi manunda,

hatuwezi kuacha jambo hili la kimaadili likaharibu watoto wetu ambao ni taifa la leo na kesho.

hata hivyo,
hakuna haja ya mihemko wala makasiriko, kitu ambacho ni completely nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom