DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwamba wasimamizi siyo makada! Unajielewa wewe ?
Najaribu kukuvumilia maana nimejua nafanya majadiliano na mtu wa namna gani...

Ok eleza ni sheria ipi inaruhusu kada wa Chama cha siasa kua msimamizi wa uchaguzi!
 
Hakuna sheria hiyo, ila ccm Kwa uovu wao wamekuwa wakiwaweka wakurugenzi ambao ni makada kuwa wasimamizi. Na hii ndiyo imeshushwa hadi serikali za mitaa walimu makada kuwa wasimamizi na kupelekea sintofahamu tunayoijadili.
 
Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.

Sasa sio kwamba namkubali hivyo huyo Samia mwenyewe ila siafiki hizi siasa za kuwatumia watanzania kama pawns za political gain za watu wengine,

Na msingi wake ni utunzi wa Magufuli alikuwa muuaji, sasa hizi story wanataka mpa Samia; hiyo ya kufukuza watoto shule it’s just an extension attempt to reach the same goal ya watu wenye nia mbaya.

But you and I know Samia has nothing to do with that.
Tanzania-Somalia-Rwanda.

Kweli Mama kakamatika😅😅
 
CCM inaelekea siku zake za mwisho. Vitu kama hivi ni lazima vitoke, hamtakiwi kusikitika.

Chama kikubwa kama CCM kinafanya move ya kitoto kama hii. Tuwe wakweli chama kinapotia mengi sana.
Uko sahihi haya ni maelekezo kutoka kwenye taasisi hiyo ya chama kongwe.
Una uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?
Ndiyo huwezi kuwa Mwalimu Mkuu au Mkuu wa Shule bila kuwa kada mtiifu wa ccm
 
Siyo wote ila wengi wao na ushahidi wa dhahiri shahiri wa kadi upo. Na hai ndo baadhi yao walisimamia uchaguzi, haya let maneno tena
Kwakua umekiri mwenyewe kwamba si walimu wote ni Makada wa CCM, naishia hapa mkuu.
 
Sio kweli.
Unakataa nini wewe? Siku hizi za udikteta ulioachwa na Magufuri huwezi kuwa mkuu wa Taasisi fulani wakati huo una kadi ya chama cha upinzani ukabaki salama.Juzi juzi tu Mtendaji wetu wa kijiji alihamishwa kupelekwa mbali kwa kuwa ccm walibaini kuwa haongeki na anaweza akasababisha watu wa upinzani wakashinda hivyo wakamhamisha kukiwa kumebaki siku nne kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji.
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii[emoji116]

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU

Ulevi mwingine ni wa kipunbavu sana.
Alafu nimesikia DC akihojiwa na Jambo TV hata kushutuka NO
Kama ndiyo utawala wa CCM basi nchi inaeleka kuwa ya ajabu sana.
Ukute huyo mwl bado anadunda tuuuu na kupandishwa cheo na kulipwa hela zetu. Big shame to Prof Nkenda and PM if no action taken as of now now now.
 
Una uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?
nyakubonga, mstaarabu akivuliwa nguo hekima inamtaka angalau achutame. Lakini kwa hili naona badala ya kuchutama, wewe umekomaa kumwaga radhi, really?

Huu ujasiri wako wa kutokiri ukweli hata kama unakabiliana nao uso kwa uso unautoa wapi? Kweli huoni ni kwa jinsi gani unajidhalilisha kwa msimamo wako huo?

Kwa ushauri tu ambao utahitaji busara kubwa kuupokea, unaonaje ukichukua uamuzi maridadi wa kukaa kimya? Hiyo ndiyo njia pekee ya kuficha yanayofichika!
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii👇

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Na huyo Mkuu wa Wilaya bado Yuko Ofisini?
 
nyakubonga, mstaarabu akivuliwa nguo hekima inamtaka angalau achutame. Lakini kwa hili naona badala ya kuchutama, wewe umekomaa kumwaga radhi, really?

Huu ujasiri wako wa kutokiri ukweli hata kama unakabiliana nao uso kwa uso unautoa wapi? Kweli huoni ni kwa jinsi gani unajidhalilisha kwa msimamo wako huo?

Kwa ushauri tu ambao utahitaji busara kubwa kuupokea, unaonaje ukichukua uamuzi maridadi wa kukaa kimya? Hiyo ndiyo njia pekee ya kuficha yanayofichika!
Tatizo hapa tunajaribu kuspeculate kauli ya mzazi...

Hakuna aliyeleta kauli ya mzazi hapa ili tuijadili bila kuegemea upande, japo wenzangu mnatumia hisia kufanya hitimisho...

Hakuna sheria inayoruhusu mwanafunzi afukuzwe shule kwasababu mzazi wake ni mpinzani...

Hivyo ni ngumu kuamini mwalimu mkuu hana akili ya kulijua hilo...
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii👇

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KNIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Yawezekana kweli Mzazi Kuna kauli alitoa dhidi ya Walimu siyo nzuri au kukatisha tamaa utendaji kazi Walimu, ila shida Iko hapa:
1:Walimu walijichukulia Sheria mkononi kufukuza Shule Watoto bila kufuata taratibu
2: Watoto hawajawekwa wazi juu yauhusika wao juu ya kosa la Mzazi wao
3:Mamlaka husika kama vile Bodi ya Shule na ngazi nyingine za Kielimu hazionekani kuhusishwa katika Maamuzi
4:Walimu hawajaorodhesha kosa la Kila Mtoto linalomfanya afukuzwe Shule
5:Maelezo yaliyotumika kuwafukuza Shule ni ya jumla mno hayako wazi ili kujua kuwa ni kweli walistahili kufukuzwa Shule au laa
MAONI YANGU
Uchunguzi wa kina ufanyike juu ya kilichotokea na Watoto wapate haki yao
 
Back
Top Bottom