Weka ualimu pembeni, kwa mfumo na kasumba iliyowekwa sasa hivi watu wapo tayari kuweka taaluma pembeni na kaumua kuwa chawa Kwa maslahi ya tumbo na sio maslahi ya umma .Sidhani kama kuna ukweli.
Sababu mtu kama amefikia hatua ya kuwa mwalimu hawezi kuwa taahira kabisa kabisa kiasi hiki.
Mpumbavu mjinga wewe, waziri wa Elimu ameagiza warudi shule na hatua nyingine za kiutumishi zichukuliwe Ili kucontrol damage.uongo na uzushi mwingine bana π€£
kwamba mwalimu anawajua wanachadema?π€£
tafuteni huruma kwenye mambo mengine jamani huu uzushi ni wa kiwango cha ambacho ni dhahiri hamuwezi kuvuna huruma kabisaaaa kwa π
Nikufukuzwa kwasababu wameambiwa watafute shule nyingine. Hata hivyo nadhani Kuna hatua muhimu zakisheria zilipaswa zichukuliwe dhidi ya hao wazazi kwa lugha zao chafu(kwa mujibu wa barua). Mara nyingi wanafunzi wanawajibishwa kwa makosa waliotenda wao na sio ya wazazi/walezi.Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Jinga mwingine huyu.Fukuza watoto wote na ikiwezekana mtendaji nae awafukuze kijijini mtu anayemtoa mtoto wako ujinga ni mtu wa kumheshimu sana barua inalalamika kuwa wazazi wamewatukana walimu alafu mnasingizia Chadema... Shame on you wote mnaoshabikia ujinga huu
Tuna kundi la wajinga ambao hawajui hata taratibu za uendeshaji wa shule na kiongozi Cha mkuu wa shule au Mwalimu mkuu linasemaje!Nikufukuzwa kwasababu wameambiwa watafute shule nyingine. Hata hivyo nadhani Kuna hatua muhimu zakisheria zilipaswa zichukuliwe dhidi ya hao wazazi kwa lugha zao chafu(kwa mujibu wa barua). Mara nyingi wanafunzi wanawajibishwa kwa makosa waliotenda wao na sio ya wazazi/walezi.
Aidha, walimu hawawezi kumwondoa mwanafunzi bila vikao na kamati yashule.
Hilo ni Takataka, na ukiliambia waziri wa serikali yake ameamua tofauti yatakenua mapengo na meno machafu!Jinga mwingine huyu.
Acha kila upande upate maumivu mjini na vijijini labda watz tutaamka. Kukikataa hili li chama la zamaniTunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hiiπ
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: β - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
watoto wale ni bandits kutokana na malezi ya hovyo ya wazazi wao, ni muhimu na inafaa zaid,wawekwe kwenye shule za uangalizi maalumu wasije kukuharibu watoto wengine .Mpumbavu mjinga wewe, waziri wa Elimu ameagiza warudi shule na hatua nyingine za kiutumishi zichukuliwe Ili kucontrol damage.
Nyie mmebaki kupindisha ukweli mnapindisha mpaka shingo wapora haki wakubwa ninyi
Hizo ni hatua za awali, uchunguzi unaendelea.Lakini viongozi wako wameagiza watoto warudi shuleni na walimu kuchukuliwa hatua zi kiutumishi! Mihemuko ya kisiasa kudhani watapewa vyeo imefanya file zao ziwe zito!
Unachokiandika kinadhihirisha uozo ulio kichwani. Utu na utanzania ni msamiati kwako.watoto wale ni bandits kutokana na malezi ya hovyo ya wazazi wao, ni muhimu na inafaa zaid,wawekwe kwenye shule za uangalizi maalumu wasije kukuharibu watoto wengine .
hata hivyo,
wazazi wao wachunguzwe pia wanachofanya mtaani huenda wanaspoil na watoto wengine π
ni muhimu mno kufuatilia kwa karibu sana miendeno ya wazazi wao na hao wanafunzi manunda,Hata
Unachokiandika kinadhihirisha uozo ulio kichwani. Utu na utanzania ni msamiati kwako.
Aache ujinga basi.Yana mwisho hayo halafu aanze kutia huruma kama kijinga.Huyu aliwahi kupitia Chadema...