nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Najaribu kukuvumilia maana nimejua nafanya majadiliano na mtu wa namna gani...Kwamba wasimamizi siyo makada! Unajielewa wewe ?
Hakuna sheria hiyo, ila ccm Kwa uovu wao wamekuwa wakiwaweka wakurugenzi ambao ni makada kuwa wasimamizi. Na hii ndiyo imeshushwa hadi serikali za mitaa walimu makada kuwa wasimamizi na kupelekea sintofahamu tunayoijadili.Najaribu kukuvumilia maana nimejua nafanya majadiliano na mtu wa namna gani...
Ok eleza ni sheria ipi inaruhusu kada wa Chama cha siasa kua msimamizi wa uchaguzi!
Una uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?walimu makada
Tanzania-Somalia-Rwanda.Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.
Sasa sio kwamba namkubali hivyo huyo Samia mwenyewe ila siafiki hizi siasa za kuwatumia watanzania kama pawns za political gain za watu wengine,
Na msingi wake ni utunzi wa Magufuli alikuwa muuaji, sasa hizi story wanataka mpa Samia; hiyo ya kufukuza watoto shule it’s just an extension attempt to reach the same goal ya watu wenye nia mbaya.
But you and I know Samia has nothing to do with that.
Ccm mbere kwa mbereeeeeVibaya sana kosa la kuingiza watoto kwenye kukomesha kisiasa.
Kama wametenda hayo si wala washitaki hao wazazi au?
Siyo wote ila wengi wao na ushahidi wa dhahiri shahiri wa kadi upo. Na hai ndo baadhi yao walisimamia uchaguzi, haya let maneno tenaUna uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?
Uko sahihi haya ni maelekezo kutoka kwenye taasisi hiyo ya chama kongwe.CCM inaelekea siku zake za mwisho. Vitu kama hivi ni lazima vitoke, hamtakiwi kusikitika.
Chama kikubwa kama CCM kinafanya move ya kitoto kama hii. Tuwe wakweli chama kinapotia mengi sana.
Ndiyo huwezi kuwa Mwalimu Mkuu au Mkuu wa Shule bila kuwa kada mtiifu wa ccmUna uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?
Kwakua umekiri mwenyewe kwamba si walimu wote ni Makada wa CCM, naishia hapa mkuu.Siyo wote ila wengi wao na ushahidi wa dhahiri shahiri wa kadi upo. Na hai ndo baadhi yao walisimamia uchaguzi, haya let maneno tena
Sio kweli.huwezi kuwa Mwalimu Mkuu au Mkuu wa Shule bila kuwa kada mtiifu wa ccm
Hiyo shule ina walimu viazi woote!Ushamba at its finest form. Unakatisha mtoto masomo sababu ya chuki ya mzazi wake. Huku tunapoelekea itafikia stage watu wataanza kupigana visu mtaani.
Unakataa nini wewe? Siku hizi za udikteta ulioachwa na Magufuri huwezi kuwa mkuu wa Taasisi fulani wakati huo una kadi ya chama cha upinzani ukabaki salama.Juzi juzi tu Mtendaji wetu wa kijiji alihamishwa kupelekwa mbali kwa kuwa ccm walibaini kuwa haongeki na anaweza akasababisha watu wa upinzani wakashinda hivyo wakamhamisha kukiwa kumebaki siku nne kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji.Sio kweli.
Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii[emoji116]
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
nyakubonga, mstaarabu akivuliwa nguo hekima inamtaka angalau achutame. Lakini kwa hili naona badala ya kuchutama, wewe umekomaa kumwaga radhi, really?Una uhakika walimu wote ni Makada au ni hisia tu?
Kwahiyo kusimamishwa ni sàwa! CCM mna laana.Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Kupona kwenye lipi, hao watapona hadi utashangaaUchawa ukizidi ni hatari kwa afya yako... huyu Mwalimu mkuu na DC wake sijui kama watapona!
Na huyo Mkuu wa Wilaya bado Yuko Ofisini?Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
CCM wana balaa zito.Waache wawe na chama kimoja tu . Ili kujua ilo unafikiri kwanini meko aliwa bless wale covid 19
Tatizo hapa tunajaribu kuspeculate kauli ya mzazi...nyakubonga, mstaarabu akivuliwa nguo hekima inamtaka angalau achutame. Lakini kwa hili naona badala ya kuchutama, wewe umekomaa kumwaga radhi, really?
Huu ujasiri wako wa kutokiri ukweli hata kama unakabiliana nao uso kwa uso unautoa wapi? Kweli huoni ni kwa jinsi gani unajidhalilisha kwa msimamo wako huo?
Kwa ushauri tu ambao utahitaji busara kubwa kuupokea, unaonaje ukichukua uamuzi maridadi wa kukaa kimya? Hiyo ndiyo njia pekee ya kuficha yanayofichika!
Yawezekana kweli Mzazi Kuna kauli alitoa dhidi ya Walimu siyo nzuri au kukatisha tamaa utendaji kazi Walimu, ila shida Iko hapa:Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KNIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU