SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Mmhhh jamani kuna watu wana roho za kinyama
 
Watu watataabika watakufa kwa ajili ya tamaa za madaraka za watu wawili.
 
Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.

Inaonesha una uharaka wa kusahau au hufuatilii mambo kama siyo unafiki kwa kivuli cha uzalendo. Hivi umesahau mauaji ya watu mbalimbali hasa wa upinzani wakati wa uchaguzi?? Bahati nzuri wenzetu angalau wanatangaza na kupeleleza. Huku kwetu inaenda kimyakimya. Nadhani hatuna haja ya kufanya ulinganifu tuendelee na yetu nao waendelee na yao. Lakini kutaka kujionesha kuwa tuko bora wakati siyo ni jambo la kijuha
 
Haya mambo ndio hatutaki yaje hapa...sisi tufanye maisha yetu kuwa ya mfano bila kupigana japo pia Tz majungu ni mengi mno...fitina na chuki hapa ndio pake ila sio kuuana
 
Tuwaombee jirani zetu Mungu awaongoze maisha yarejee ktk usalama visa na visasi vifike tamati

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
hii sasa ni hatari. but what do really these guys need!!?
 
Umsahaua yaliyomkuta dr ulimboka? Kibanda? Mwangosi? Na juzi tu hapa kapotea Ben Saanane tuache unafiki hatuna usafi wa kuwayooshea wakenya vidole
Ukitaka kuhesabu kwa kwa muongo mzima utafikisha hata 1000 kwa Kenya, hapa tunaongelea vifo vinavyohusiana na uchaguzi tu, saivi vinakaribia 50 sasa. Tz 2015 au 2010 wangapi walikufa sababu ya uchaguzi ?
 
Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.

Inaonesha una uharaka wa kusahau au hufuatilii mambo kama siyo unafiki kwa kivuli cha uzalendo. Hivi umesahau mauaji ya watu mbalimbali hasa wa upinzani wakati wa uchaguzi?? Bahati nzuri wenzetu angalau wanatangaza na kupeleleza. Huku kwetu inaenda kimyakimya. Nadhani hatuna haja ya kufanya ulinganifu tuendelee na yetu nao waendelee na yao. Lakini kutaka kujionesha kuwa tuko bora wakati siyo ni jambo la kijuha
Watu gani hao ? Tz walikufa wangapi kwenye uchaguzi 2015 au 2010 ?
 
Back
Top Bottom