SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
UMEROGWA WEWE ,wako wapi akina Deo Filikunjombe,Selina Kombani,Mzee Komba wa TOT,Yuko wapi Abdallah Kigoda??? Hawa baadhi walikuwa teamLowassa original,
 
UMEROGWA WEWE ,wako wapi akina Deo Filikunjombe,Selina Kombani,Mzee Komba wa TOT,Yuko wapi Abdallah Kigoda??? Hawa baadhi walikuwa teamLowassa original, mwamunyange alipotezwa nchini.
Boya WEWE

Wewe ndio umerogwa na boya mkubwa. Kama hicho ulichoandika kimetoka akilini mwako basi nenda ukapimwe akili.
 
Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
Ndio kuna watanzania wachache eti wanasema tuige kutoka Kenya.

Naamini hamna free and fair and credible election kwa nchi za kiafrika yaani wote tunafanana sehemu yaani tofauti ndogo ndogo sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kama nitawakwaza.Cha msingi ni kada tatu,ya kwanza ni dini,ya pili ni siasa na ya tatu ni Tasnia ya Habari.KIUKWELI,HIZI KADA NDIO ZINA MAJIBU YA WATU WENGI,NISEME HIVI,PUMZIKA KWA AMANI DADA!
 
Hayo mambo usiwekee waKenya wote.Yule mtu mwenye roho ya kuua ni Raila Odinga na wafuasi wake wenye kuimba "No Raila ,No Peace" na yale mengine ya "41 versus 1 " alivyochochea watu kupiga na kuchukia waKikuyu.
Chanzo awe yoyote, Odinga au Kenyata, haiondoa ukweli kuwa Kenya kuna mauaji mengi ya kisiasa. Cha kushangaza ni kuna nyumbxxx wa Tz hapa ambao wanataka kukataa huu ukweli.
 
Hayo mambo usiwekee waKenya wote.Yule mtu mwenye roho ya kuua ni Raila Odinga na wafuasi wake wenye kuimba "No Raila ,No Peace" na yale mengine ya "41 versus 1 " alivyochochea watu kupiga na kuchukia waKikuyu.
Mimi si mjaluo lakini siwezi nyamaza ukisema ati wajaluo ni wauaji. In Kisumu 2007 wakikuyu walifurushwa na mali yao kuchomwa lakini walikubaliwa kuenda police station kwa amani. I was in Maseno at that time so I know what I am saying. Eneo ambapo Watu walikufa inajulikana na nitataja eneo lenyewe na makabila yaliyojipata pabaya bila kutaja kabila iliyotenda uovu huo ndio watu wasianze kulialia hapa eti nawaharibia jina. Naivasha wajaluo wenye kufanya kazi kwenye shamba la maua walifurushwa na wengine kuuawa hata ICC iliweka hiyo bayana lakini sitataja kabila iliyofanya uovu huo. Eldoret Langas Wakikuyu na Wajaluo walifurushwa na wengine kuuawa na kabila ambayo sitataja. Kiambaa church watu ikiwemo watoto walichomwa wengi wao walikuwa wakikuyu na kabila iliyofanya hivyo inajulikana na sio wajaluo.
Nimeishi na wajaluo sana na mila na desturi yao haiwakubalii kutoa uhai virahisi. Ofcourse hauwezi kosa wajaluo wachache ambao ni majambazi ambao hawasiti kufanya mauaji but in general they don't kill. Wajaluo wanapenda kutupa mawe kuongea sana na kuzua rabsha lakini hawaui Watu sana kama unavyodhani na ndio maana haujawahi sikia eti Kuna Wakikuyu wengi ambao walikufa Kisumu 2007, kama wako ni wachache tu ndio maana ICC haikuconsider Kisumu kama killing field.
 
Back
Top Bottom