SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Aliyekuwa msimamizi msaidizi wa tume ya uchaguzi nchini Kenya(IEBC) mwalimu Caroline Odinga ameuwawa na kutupwa sokoni.

Huh ni mwendelezo wa moja ya matukio ya uhalifu nchini Kenya mara baada ya uchaguzi.
Mytake:
Poor democracy, poor politicians, Buriani Kenya.

thA God thA bubbs!!
 
ni Dunia nzima, siasa huwa zinakuwa na mambo hayo. Vipi trump na zengwe la russia? Vipi Iraq, Syria etc
Someone wants to create that impression that Luo are being targeted. If I was a Luo working with IEBC I would look for security. They are pawns in a big political game, easy to sacrifice for someone to become president.
 
Hivi ni roho gani unakua nayo hadi unaua jamani.? Hivi unaweza kuishi huku ukiwa umeua
 
Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
Alphonce Mawazo aliuawa mchana saa sita, Tena barabara ya lami, waliomuua wanajulikana lakini wako mtaani wanakula Bata!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Mara zote wezi hawana amani, ndiyo hicho Kenyatta anachofanya kwa sasa anajaribu kuondoa uhai wa wote wanaoelewa wizi.alioufanya ili ashinde.
 
Hivi ni roho gani unakua nayo hadi unaua jamani.? Hivi unaweza kuishi huku ukiwa umeua
Halafu ukimwangalia usoni, hasa hasa jinsi anavyo ji-conduct in Public uwezi kuamini kama anaweza kuwa na hulka to kill even an ant/sisimizi! Let alone kutoa amri ya kutoa pumzi ya binadamu yeyote hapa Duniani!!
 
Someone wants to create that impression that Luo are being targeted. If I was a Luo working with IEBC I would look for security. They are pawns in a big political game, easy to sacrifice for someone to become president.

Lakini kwa wale walio bahatika kusoma historia ya ukatiri wa kundi la Mau Mau wakati wa vita vya misituni wakati wa ukoloni atuwezi kushangazwa na kinacho tokea hivi sasa - kuna baadhi ya makabila huko Kenya wenye hulka ya ukatiri by default.
 
Eish wewe ,nikisema "wafuasi wake" sasa hilo ndio kusema waJaluo? Is that now a euphemism for a certain tribe? Hata mwenye kuchochea bila kuchukua panga bado ana damu mikononi mwake na huo ndio ukweli kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…