JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,511
ni Dunia nzima, siasa huwa zinakuwa na mambo hayo. Vipi trump na zengwe la russia? Vipi Iraq, Syria etcSo sad.....
Siasa za Africa ngumu sana......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni Dunia nzima, siasa huwa zinakuwa na mambo hayo. Vipi trump na zengwe la russia? Vipi Iraq, Syria etcSo sad.....
Siasa za Africa ngumu sana......
ndiyo walengwaMbona wanaokufa ni watu kutoka Kisumu?
yaani aue saa tisa badala ya saa nane au?Ndio tulivyojichagulia maisha yetu,tunazuga tu kuhusu ben saanane wakati huku tunamuunga mkono kiongozi wa mungiki achukue nchi auwe sana!
Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
niaje mremboyaani aue saa tisa badala ya saa nane au?
Someone wants to create that impression that Luo are being targeted. If I was a Luo working with IEBC I would look for security. They are pawns in a big political game, easy to sacrifice for someone to become president.ni Dunia nzima, siasa huwa zinakuwa na mambo hayo. Vipi trump na zengwe la russia? Vipi Iraq, Syria etc
Uoga na ustaarabu ni mambo mawili tofautiSiasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
Alphonce Mawazo aliuawa mchana saa sita, Tena barabara ya lami, waliomuua wanajulikana lakini wako mtaani wanakula Bata!Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
Halafu ukimwangalia usoni, hasa hasa jinsi anavyo ji-conduct in Public uwezi kuamini kama anaweza kuwa na hulka to kill even an ant/sisimizi! Let alone kutoa amri ya kutoa pumzi ya binadamu yeyote hapa Duniani!!Hivi ni roho gani unakua nayo hadi unaua jamani.? Hivi unaweza kuishi huku ukiwa umeua
Someone wants to create that impression that Luo are being targeted. If I was a Luo working with IEBC I would look for security. They are pawns in a big political game, easy to sacrifice for someone to become president.
HA HA HA KIPARA KIPYA, NA TULILIE MASHAMBA AMBAYO TULIKUA HATUYAENDELEZITujitokeze kuwaunga mkono wauaji na aliokuwa akiwadai
Eish wewe ,nikisema "wafuasi wake" sasa hilo ndio kusema waJaluo? Is that now a euphemism for a certain tribe? Hata mwenye kuchochea bila kuchukua panga bado ana damu mikononi mwake na huo ndio ukweli kisheria.Mimi si mjaluo lakini siwezi nyamaza ukisema ati wajaluo ni wauaji. In Kisumu 2007 wakikuyu walifurushwa na mali yao kuchomwa lakini walikubaliwa kuenda police station kwa amani. I was in Maseno at that time so I know what I am saying. Eneo ambapo Watu walikufa inajulikana na nitataja eneo lenyewe na makabila yaliyojipata pabaya bila kutaja kabila iliyotenda uovu huo ndio watu wasianze kulialia hapa eti nawaharibia jina. Naivasha wajaluo wenye kufanya kazi kwenye shamba la maua walifurushwa na wengine kuuawa hata ICC iliweka hiyo bayana lakini sitataja kabila iliyofanya uovu huo. Eldoret Langas Wakikuyu na Wajaluo walifurushwa na wengine kuuawa na kabila ambayo sitataja. Kiambaa church watu ikiwemo watoto walichomwa wengi wao walikuwa wakikuyu na kabila iliyofanya hivyo inajulikana na sio wajaluo.
Nimeishi na wajaluo sana na mila na desturi yao haiwakubalii kutoa uhai virahisi. Ofcourse hauwezi kosa wajaluo wachache ambao ni majambazi ambao hawasiti kufanya mauaji but in general they don't kill. Wajaluo wanapenda kutupa mawe kuongea sana na kuzua rabsha lakini hawaui Watu sana kama unavyodhani na ndio maana haujawahi sikia eti Kuna Wakikuyu wengi ambao walikufa Kisumu 2007, kama wako ni wachache tu ndio maana ICC haikuconsider Kisumu kama killing field.