PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unasakamwa huku Erythrocyte
 
Katika uzi bora usiyo na chembe ya unafiki ni huu kifupi Lissu ni dikteta asiyetaka ushauri hata mnyika alipookea vitisho kutoka kwa dikteta kuwa asiende kusaini!
 
umemaliza
 
KITAKOCHOFANYIKA NI KUACHIA ACT VITI VINGI VYA UBUNGE NA MADIWANI NA BAADHI YA HALMASHAURI KWAKUFANYA HVYO CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA NATURAL DEATH KM ILIYOKUFA CUF NA NCCR.goodbye chadema

Kumbe wanaachiwa?. Halafu unataka CHADEMA ashiriki uchaguzi ambao CCM wanaamua nani mshindi. Be serious

Halafu hata Sasa, ACT Wana wabunge wengi kuliko CHADEMA ila hakuna kitu. CHADEMA is there to stay.
 
Kichwa Cha habari kina usiana na ujumbe ulio ndani yake, title imenifanya nisisome uchafu ulio uandika,
In total Chadema Iko sahihi kwa asilimia πŸ’―, uongozi wa Lissu umeumbua Wazee wa vikoba
Duh
 
KITAKOCHOFANYIKA NI KUACHIA ACT VITI VINGI VYA UBUNGE NA MADIWANI NA BAADHI YA HALMASHAURI KWAKUFANYA HVYO CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA NATURAL DEATH KM ILIYOKUFA CUF NA NCCR.goodbye chadema
Fact.

Time will prove this
 
Madini kama haya ndio yaluwavutia watu wengi kujiunga JF. Uchambuzi bora kabisa. Tatizo siku hizi tuna vijana wengi wa kukaririshwa mambo kulikua kuyachambua wenyewe.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Msimamo wa LISSU na CHADEMA umeonesha wazi (in a naked eye) kwamba CCM bila dola ni hakuna kitu, wamejifia.

Hakuna taarifa inayozua taharuki sasa kama magonjwa ya mlipuko lakini katibu mwenezi wa CCM anaejiita CPA alisema CHADEMA wanaleta ebola na mpox nchini hadi leo hakuchukuliwa hatua wala hakuthibitisha kauli yake licha ya kuletea umma wa watanzania na dunia taharuki hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…