PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema Mpka sasa ina wabunge wangapi Bungeni?
Mbona chama hakijafa?
Unasema ACT atafanikiwa kuingiza wabunge wengi unafikiri ni mbunge gani WA CCM Yuko tayari kuachia Jimbo ?
Hzo reforms wanazotaka CDM unadhani hazina effect kwa vyama vingine vya upinzani?
CCM ni chama cha hovyo kuwahi kutokea chini jua
 
Binafsi ninachjiuliza, Je CDM wanamkakati gani kuhakikisha hiyo NO REFORMS,NO ELECTION?????????????Je walikuwa na mpango wa kufanya civil disobedience or what?????
Mpango mkakati wao ni upi??Kama ni suala la civil disobedience wameishafail, sio kwa watanzania hawa..
Sasa - NO REFORMS NO ELECTION maana yake ni KUSUSA TU UCHAGUZI, WATU WAKAKAE NA WAKE ZAO KUSUBIRI 2030 au ni nini ???

Kutokua na CLARITY ndo sababu ya maneno ni sintofahamu
 
Back
Top Bottom