PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama mnafikiri nyinyi ni freedom fighters kama Mandela wakati nchi hii ni huru basi mtaangukia kwenye kundi la uhaini na sheria za nchi zitatumika msilalamike basi na Lissu kukamatwa ni haki yake.
Hata nyerere alikamatwa na kupewa kesi fake na wakoloni. So hakuna jipya
 
Kwa hali ilivyofikia ya kuteka wapinzani kuwaua na kuwabambikia kesi na kupora uchaguzi ni sawa kabisa chadema kujiita freedom fighters . Wanapigania haki ya watanzania kuchagua viongozi wanaowataka
Mtachaguliwa ndotoni bila kupitia njia ya uchaguzi?
 
Ndio basi tena.

Halafu wanachama wao wa mitandaoni hata hawaoni kama tatizo hilo. Wanajifariji eti chadema wamepiga hatua kubwa sana kidemokrasia. Kama ni hatua ya kurudi nyuma Yes.
Nishaandika huko na ninaandika tena as long as chadema inaungwa mkono na wananchi haitotokea ikafa abadani.
 
Unaota ndoto za mchana chadema wametumia miaka mingi sana mpaka chama kuingia mioyoni mwa wananchi. Ata act wakipata wabunge mia. Bado ngoma iko pale pale. Watanzania sio wajinga kiivyoo wewe mganga.
 
Mnamlaumu Lissu kwa No reforn no election na hata kumwita ni dictator, kwani haikupitishwa na CHADEMA?

Mnaishangaa CHADEMA kwa No reform no election, kwani siyo kweli kuwa taratibu za uchaguzi siyo huru, wazi na za haki?

Mnasema mbona chaguzi za 2015 CHADEMA ilipata viti vingi kidogo hivyo hata sasa washiriki tu uchaguzi, tujiulize walivipata katika mazingira gani?

Kupambana na wasimamizi na polisi ndiyo utaratibu mzuri ili ushinde?

Baadhi ya viongozi wa CCM tena wakubwa tu, wamediriki bila woga bila aibu kutoa kauli kuwa ushindi wake ni lazima.

Kwakuwa watu mnajisahaulisha, au mnafikiri raia wanasahau sana nawakumbusha baadhi ya kauli hapa:-

'Nikupe ukurugenzi, gari na bado jimbo liende upinzani'

'Hata mkipigia upinzani kura zinahesabiwa CCM'

'2020 ninyi wabunge hamkushinda'

N.k

Baadhi ya watoa kauli kama hizo waliwajibishwa.

Je, huo siyo ushahidi panatakiwa reform?

CCM inadai mabadiliko yamefanyika. Je, ni kweli au danganya toto tufanye yetu?

Hata CHADEMA ikifa kama baadhi ya watu wanavyo tamani iwe, ukweli utabakia kuwa ukweli taratibu za uchaguzi hazipo sawa kutoa haki kwa wagombea.

Mantiki inagoma kabisa hasa pale mgombea mmoja anateua msimamizi wa uchaguzi. Yaani nipo ulingoni na mpinzani halafu napewa mamlaka ya kuteua refa.

Wapinzani walio amua kushiriki uchaguzi au wamefumbia macho mapungufu au wamechukulia tukio la kushiriki uchaguzi ni kutimiza tu wajibu nasi tuonekane tumeshiriki.

Wengine wachache tulisha amua kuwa hatuwezi shiriki upigaji kura katika taratibu za sasa hata kabla ya No reform no election.

Haileti mantiki na kwa kweli ina kera sana.

No reform no election forever.
 
Wakati huo Afrika ya Kusini ilikuwa chini ya Makaburu na uhuru haukuwepo.

Tutajie chama kingine kwenye taifa huru kama kilikaa kwa muda huo. Pia ujue kuwa wakati huo wanachama walikuwa wanachangia pesa za kuendesha chama siyo kama sasa hivi pia viongozi wa vyama walikuwa siyo wafujaji wa pesa kama sasa hivi.

Uliona Chadema walikuwa wanayumba sana walipokosa ruzuku mpaka ilipofika 2022 wakakubali kuchukuwa ruzuku waliyokuwa wameikataa baada ya uchaguzi wa 2020, njaa iliwatoa porini. Ngoja tusubiri wataendeshaje chama wakati wafadhiri wao wanasema mpaka kuwa na vurugu nchini ndio wataweza kufadhiri chama chenu.
100% Fact
 
Unaota ndoto za mchana chadema wametumia miaka mingi sana mpaka chama kuingia mioyoni mwa wananchi. Ata act wakipata wabunge mia. Bado ngoma iko pale pale. Watanzania sio wajinga kiivyoo wewe mganga.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Pamoja na kuwa No reforms, no election ilipitishwa wakati FAM akiwa mwenyekiti, kama ingetokea akabaki yeye kama mwenyekiti siioni hii kampeni kama ingeendeshwa kwa mtindo na maneno aliyotumia TAL. Nakubaliana na mleta mada, NRNE inaakisi zaidi haiba na tabia ya TAL.

Kutia chumvi kidonda, katikati ya kampeni ya CDM, kuna mgongano ndani ya chama chao ikiwa matokeo ya uchaguzi wa ndani uliohitimishwa January bila ya hatua madhubuti za viongozi kutibu tofauti za kampeni.
 
Mnamlaumu Lissu kwa No reforn no election na hata kumwita ni dictator, kwani haikupitishwa na CHADEMA?

Mnaishangaa CHADEMA kwa No reform no election, kwani siyo kweli kuwa taratibu za uchaguzi siyo huru, wazi na za haki?

Mnasema mbona chaguzi za 2015 CHADEMA ilipata viti vingi kidogo hivyo hata sasa washiriki tu uchaguzi, tujiulize walivipata katika mazingira gani?

Kupambana na wasimamizi na polisi ndiyo utaratibu mzuri ili ushinde?

Baadhi ya viongozi wa CCM tena wakubwa tu, wamediriki bila woga bila aibu kutoa kauli kuwa ushindi wake ni lazima.

Kwakuwa watu mnajisahaulisha, au mnafikiri raia wanasahau sana nawakumbusha baadhi ya kauli hapa:-

'Nikupe ukurugenzi, gari na bado jimbo liende upinzani'

'Hata mkipigia upinzani kura zinahesabiwa CCM'

'2020 ninyi wabunge hamkushinda'

N.k

Baadhi ya watoa kauli kama hizo waliwajibishwa.

Je, huo siyo ushahidi panatakiwa reform?

CCM inadai mabadiliko yamefanyika. Je, ni kweli au danganya toto tufanye yetu?

Hata CHADEMA ikifa kama baadhi ya watu wanavyo tamani iwe, ukweli utabakia kuwa ukweli taratibu za uchaguzi hazipo sawa kutoa haki kwa wagombea.

Mantiki inagoma kabisa hasa pale mgombea mmoja anateua msimamizi wa uchaguzi. Yaani nipo ulingoni na mpinzani halafu napewa mamlaka ya kuteua refa.

Wapinzani walio amua kushiriki uchaguzi au wamefumbia macho mapungufu au wamechukulia tukio la kushiriki uchaguzi ni kutimiza tu wajibu nasi tuonekane tumeshiriki.

Wengine wachache tulisha amua kuwa hatuwezi shiriki upigaji kura katika taratibu za sasa hata kabla ya No reform no election.

Haileti mantiki na kwa kweli ina kera sana.

No reform no election forever.
liku MamaSamia2025 njooni huku mnaitwa UCD
 
CHADEMA wanazohoja ambazo wanaona nizamsingi. Wasikilizwe
Hivi kweli tume ya uchaguzi ni huru? Kweli kura inahesabiwa kwa uwazi?
Watasainije maadili ambayo wanataka baadhi ya mambo yarekebishwe kuelekea uchaguzi?
 
Cha ajabu huyo mleta mada hizi hoja hataki kuzijibu ye amekomaa na chadema itakufa
 
Ulichoandika ni mawazo ya akili za kawaida, na ndivyo CCM wanavyowaza pia.

Walichofanya CDM hadi huwe na akili kubwa na hicho ndo kinaitwa art of intelligence. Kubambikia viongozi kesi, kutupwa nje ya vyama shiriki Kwa uchaguzi eti for 5 yrs just eti Kwa kutosaini hati ya maadili ya uchaguzi , na kubana political space, na kutishia umma kuunga mkono vuguvugu la mabadiriko n.k ndo justification ya uozo wa kimfumo wa kisiasa tulionao nchini na hivyo No reform , no election inapopata mashiko.

Wakati utasema , sadaka hii unayofanywa na CDM ndo mbegu ya mabadiriko. Kuyajua haya itakubidi uwe na jicho la tatu , na usiongozwe na tamaa za muda mfupi, eti CDM itakosa wabunge , madiwani na wenyekiti, then itakosa popularity afu chama kitakufa. Ulivyo mjinga unasahau hivyo vyote CDM by now hawana ila ndo chama kinachowakosesha usingizi chama tawala na agenda zao za kulinda mifumo yenye mianya ya kutowajibika na kuhozi madaraka.
 
Back
Top Bottom