PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katika uzi bora usiyo na chembe ya unafiki ni huu kifupi Lissu ni dikteta asiyetaka ushauri hata mnyika alipookea vitisho kutoka kwa dikteta kuwa asiende kusaini!
Lisu ana elements zote za udikteta
Chadema kawatenda vibaya mno.kwa udikteta wake Hashauriki na haambiliki
Kususa uchaguzi sio siri.Kunaenda kuua Chadema
 
Kweli kabisa LIKUD kaongea fact Sana ila nashangaa watu wanatoa matusi badala ya kujibu hoja zake yani nimegundua kuna watu hapa JF wanaongozwa na mihemko

Wachana nao hao watu wamatusi cause they do what they can do better.

Hawajui kwamba mipango yote muhimu huwa inaongozwa kwa strategy.

Sun Zu in his book " The Art of War" anasema " You can never secure any victory without a proper strategy".

Chadema wanaonekana hawana strategist wazuri au hawana kabisa.

Ndio maana wame approve kampeni ambayo ni utopian just to West time kama anavyo sema kaka yangu Pascal Mayalla .

Kujaribu kuishinikiza serikali kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi ni suala linalo hitaji mkakati wa muda mrefu sio kukurupuka tu kama alivyo fanya Lissu.

Bora angetumia nguvu ya upepo wake wa kisiasa kuwa shawishi wa Tanzania wajitokeze kuwapigia kura wapinzani kwa wingi and then baada ya kuingia bungeni ndio sasa waanze kudai tume huru ya uchaguzi wakiwa bungeni.
 
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"
 
Lissu anafanya reformation kwa kusacrifice na kutake risks kwa siasa za wakati ujao.Hata kama haeleweki sasa ataeleweka miaka ijayo.Hii ni kuionyesha dunia kuwa katiba yetu inahitaji maboresho makubwa hasa kwenye madaraka ya rais na chaguzi
 
Lisu ana ekements zote za udikteta
Chadema kawatenda vibaya mno.kwa udikteta wake Hashauriki na haambiliki
Kususa uchaguzi sio siri.Kunaenda kuua Chadema
100% Fact.

Nashangaa kwanini wana chadema hawalioni hilo.

Yani ni kama vile CCM wame capitalize kwenye msimamo wa Lissu kwa kuutumia kama fursa sahihi ya kuidhoofisha Chadema.

Miaka mitano nje ya ulingo wa kisiasa sio mchezo. Watu wasichukulie powa eti
 
Lissu anafanya reformation kwa kusacrifice na kutake risks kwa siasa za wakati ujao.Hata kama haeleweki sasa ataeleweka miaka ijayo.Hii ni kuionyesha dunia kuwa katiba yetu inahitaji maboresho makubwa hasa kwenye madaraka ya rais na chaguzi
Basi amepiga hesabu zake vibaya.
His calculations has proved to be assymetrical
 
This is turning point kwa nchi na CDM ipo sahihi 100%. Kuendelea kushiriki chaguzi ambazo zimejaa UCHAFU wa kila aina utegemee utapata matokeo tofauti ni UJINGA.

Dunia sasa itajua yaliyopo chini ya kapeti la CCM. Mtu kusema atazuia uchaguzi wewe unamwambia ni MHAINI.
HII nchi ifike pahala tuwe tunaheshimiana, hakuna mtanzania aliye bora na mwingine hafai hana haki.
 
Uchaguzi upo kikatiba ama haupo kikatiba?
 
 

Attachments

  • 20250412_052339.jpg
    143.2 KB · Views: 25
  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Lissu anafanya reformation kwa kusacrifice na kutake risks kwa siasa za wakati ujao.Hata kama haeleweki sasa ataeleweka miaka ijayo.Hii ni kuionyesha dunia kuwa katiba yetu inahitaji maboresho makubwa hasa kwenye madaraka ya rais na chaguzi
Sasa hivi wanachama wengi wa Chadema wataondoka kitabaki kuwa chama cha viongozi team Lisu tu

Pesa zitapungua za michango ya kuendesha kampeni na ofisi na baadaye kitabaki tu kama TLP hakina hela hata za nauli ya daladala

Sasa hivi nani utamchangisha hata tonetone? Wengi walikuwa wakitoa kujikomba wateuliwe ugombea ubunge na udiwani wao na supporters wao ambao walitegemea kuwa wapiga kura wao

Sasa hivi Chadema inaenda kufilisika hakuna msukumo wa mtu kuchangia hizo tonetone Achangie ili iweje yeye kama yeye na team yake wata benefit nini? Hakuna
 
100% Fact
 
Wahisani watatuelewa kweli?
Kwani wapinzani ni Chadema peke yao? Vyama vingine vimekubali kushiriki. Chadema wamesusa wenyewe. Nchi lazima iendelee. Tanzania ni kubwa kuliko Lissu
 
Upupu. Bora ungekaa kimya.
Kuna haja gani ya kushiriki uchaguzi feki?
Wana Chadema na watanzania wengi wanapinga jinsi serikali inavyojinufaisha na kodi na rasilimali zetu halafu wewe badala ya kutoa ushauri nini kifanyike badala yake unaandika ujinga.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu hivi kwanini katika kipindi cha uchaguzi wanaopata wanaua na kutekwa ni wanachama wa Chadema? Ingekuwa wewe M/Kiti ungefanya nini juu ya matukio haya ndani ya chama chako?

Kwanini kwenye kanuni za uchaguzi kuna kifungu kinachowapa kinga yakutoshtakiwa wasimamizi wa wauchaguzi? Huwa zinafanyila jinai gani mpaka wawekewe kinga?
 
Lisu ana elements zote za udikteta
Chadema kawatenda vibaya mno.kwa udikteta wake Hashauriki na haambiliki
Kususa uchaguzi sio siri.Kunaenda kuua Chadema
Mchana kweupe mbuzi anakula majani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…