Pole sana afadhali ya wewe kuwaNamshukuru Mungu amenijalia watoto na nikaona kuwa inatosha na kuamua kufunga kizazi. Tatizo kadri siku zinavyoenda napoteza nami ya tendo la ndoa pia nakuwa na stress bila sababu. Je yaweza kuwa ni side effects Za kufunga kizazi? Natatua Vipi hili tatizo maana imekuwa kero
Wewe muuza ubuyu kazi yako kuuza ubuyu unajuwa Mafuta ya Ubuyu Serikali imeyapiga
Pole sana afadhali ya wewe kuwa
unapoteza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na Stress. Wengine wanakuwa wanenepeana kwa ajili ya kufunga kizazi au
wengine wanakondeana kwa kufunga hicho kizazi wanawake wengine wanataka kuzaa hata kwa madawa ya kienyeji au
kwa uzazi wa chupa wewe unafunga kizazi ama kweli palipo na miti hakuna wajenzi. Funguwa kizazi chako matatizo yako
ya Stress na kukosa hamu ya tendo la ndoa yatakwisha kwepa siku zako kwa kutumia Tarehe achana na kufunag kizazi.
Wewe muuza ubuyu kazi yako kuuza ubuyu unajuwa Mafuta ya Ubuyu Serikali imeyapiga
marufuku? au wewe hujuwi kazi yako kuuza ubuyu tu ninakutania vipi mkuu mzima lakini wewe?
Hiyo ni non reversible,ulishafunga ndo imetoka.Mimi hata niwe nao 20 siwezi kufunga, nitasubiri menopose.Si bora hata ungeweka coil,haina homornes ungekaa 5yrs,ikiisha 5 yrs unabadili tena hadi menopose ifikeMungu anenibariki watoto 4, na wote ni ajali ajali zilitokana na njia ya kuhesabu. Nisingefunga saa hizi ningeshakuwa na mimba nyingine. Suluhisho ilikuwa kufunga na sikujua kama inaweza niletea shoes. Kama kuna uwezekano wa kufungua nitafungua Aisee maana raha ya ndoa siioni kabisa.
Hiyo ni non reversible,ulishafunga ndo imetoka.Mimi hata niwe nao 20 siwezi kufunga, nitasubiri menopose.Si bora hata ungeweka coil,haina homornes ungekaa 5yrs,ikiisha 5 yrs unabadili tena hadi menopose ifike
Usiumie roho,nadhani ulijiuliza mara mia mia kufanya hii procedure,na ukasain kabisa.Kwa hiyo huna jinsi zaidi ya kuikubali hali yako mpya.Mimi mbona ninao watatu.Nimeamua kuweka implant.Miaka 3 ninatulia,baada ya hapoUnaniumizaje roho!!!
Usiumie roho,nadhani ulijiuliza mara mia mia kufanya hii procedure,na ukasain kabisa.Kwa hiyo huna jinsi zaidi ya kuikubali hali yako mpya.Mimi mbona ninao watatu.Nimeamua kuweka implant.Miaka 3 ninatulia,baada ya hapo
nitajua nitumie njia gani,ila kufunga mirija ni never
Samahani naomba darasa la hiyo imlpant na side effects zake....na faida zake...
Usiumie roho,nadhani ulijiuliza mara mia mia kufanya hii procedure,na ukasain kabisa.Kwa hiyo huna jinsi zaidi ya kuikubali hali yako mpya.Mimi mbona ninao watatu.Nimeamua kuweka implant.Miaka 3 ninatulia,baada ya hapo
nitajua nitumie njia gani,ila kufunga mirija ni never
Ndiyo ndo vileImplants ndo vile vijiti?
Usifunguwe kizazi mimi ninakupa Dawa uone Raha ya Kugegedwa ndani ya ndoa fanya hivi:Mungu anenibariki watoto 4, na wote ni ajali ajali zilitokana na njia ya kuhesabu. Nisingefunga saa hizi ningeshakuwa na mimba nyingine. Suluhisho ilikuwa kufunga na sikujua kama inaweza niletea shoes. Kama kuna uwezekano wa kufungua nitafungua Aisee maana raha ya ndoa siioni kabisa.
Usifunguwe kizazi mimi ninakupa Dawa uone Raha ya Kugegedwa ndani ya ndoa fanya hivi:
Tengeneza: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia hivyo kisha uje unipe feedback Chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.