Side effects Za kufunga kizazi.

Side effects Za kufunga kizazi.

maranatha

Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
58
Reaction score
11
Namshukuru Mungu amenijalia watoto na nikaona kuwa inatosha na kuamua kufunga kizazi. Tatizo kadri siku zinavyoenda napoteza nami ya tendo la ndoa pia nakuwa na stress bila sababu. Je yaweza kuwa ni side effects Za kufunga kizazi? Natatua Vipi hili tatizo maana imekuwa kero
 
inategemea na aina uliyofanyiwa

je ulitolewa mfuko wote wa mimba TAH au Waliziba mirija BTL???

TAH!!! Ni nzuri maana inakukwepesha na kansa zote, japo utapata matatizo ksaikolojia maana hutaona siku zako, itajifill kama si mwanamke kamili, maana sfa ya mwanamke kununia pad kila mwezi

pia Mifupa huweza kuwa inavunjika vunjika kirahisi

kuna flushings mwili kuwaka moto, na kichwa kuuma mawazo yasiyo na sababu ila hupungua taratbu as days goessss
 
Namshukuru Mungu amenijalia watoto na nikaona kuwa inatosha na kuamua kufunga kizazi. Tatizo kadri siku zinavyoenda napoteza nami ya tendo la ndoa pia nakuwa na stress bila sababu. Je yaweza kuwa ni side effects Za kufunga kizazi? Natatua Vipi hili tatizo maana imekuwa kero
Pole sana afadhali ya wewe kuwa

unapoteza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na Stress. Wengine wanakuwa wanenepeana kwa ajili ya kufunga kizazi au

wengine wanakondeana kwa kufunga hicho kizazi wanawake wengine wanataka kuzaa hata kwa madawa ya kienyeji au

kwa uzazi wa chupa wewe unafunga kizazi ama kweli palipo na miti hakuna wajenzi. Funguwa kizazi chako matatizo yako

ya Stress na kukosa hamu ya tendo la ndoa yatakwisha kwepa siku zako kwa kutumia Tarehe achana na kufunag kizazi.

ladydoctor, MziziMkavu, watu8, Nyalotsi na wengineo njooni mtupatie majibu
huku ili tujue!
Wewe muuza ubuyu kazi yako kuuza ubuyu unajuwa Mafuta ya Ubuyu Serikali imeyapiga

marufuku? au wewe hujuwi kazi yako kuuza ubuyu tu ninakutania vipi mkuu mzima lakini wewe?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana afadhali ya wewe kuwa

unapoteza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na Stress. Wengine wanakuwa wanenepeana kwa ajili ya kufunga kizazi au

wengine wanakondeana kwa kufunga hicho kizazi wanawake wengine wanataka kuzaa hata kwa madawa ya kienyeji au

kwa uzazi wa chupa wewe unafunga kizazi ama kweli palipo na miti hakuna wajenzi. Funguwa kizazi chako matatizo yako

ya Stress na kukosa hamu ya tendo la ndoa yatakwisha kwepa siku zako kwa kutumia Tarehe achana na kufunag kizazi.

Wewe muuza ubuyu kazi yako kuuza ubuyu unajuwa Mafuta ya Ubuyu Serikali imeyapiga

marufuku? au wewe hujuwi kazi yako kuuza ubuyu tu ninakutania vipi mkuu mzima lakini wewe?

Mungu anenibariki watoto 4, na wote ni ajali ajali zilitokana na njia ya kuhesabu. Nisingefunga saa hizi ningeshakuwa na mimba nyingine. Suluhisho ilikuwa kufunga na sikujua kama inaweza niletea shoes. Kama kuna uwezekano wa kufungua nitafungua Aisee maana raha ya ndoa siioni kabisa.
 
Hiyo ni non reversible,ulishafunga ndo imetoka.Mimi hata niwe nao 20 siwezi kufunga, nitasubiri menopose.Si bora hata ungeweka coil,haina homornes ungekaa 5yrs,ikiisha 5 yrs unabadili tena hadi menopose ifike
 
Unaniumizaje roho!!!
 
Unaniumizaje roho!!!
Usiumie roho,nadhani ulijiuliza mara mia mia kufanya hii procedure,na ukasain kabisa.Kwa hiyo huna jinsi zaidi ya kuikubali hali yako mpya.Mimi mbona ninao watatu.Nimeamua kuweka implant.Miaka 3 ninatulia,baada ya hapo
nitajua nitumie njia gani,ila kufunga mirija ni never
 
Samahani naomba darasa la hiyo imlpant na side effects zake....na faida zake...
 
Implant ni kijiti ambacho kinawekwa kwenye ngozi chini ya bega,hiki kijiti kinakuwa kinarelease progesteron ambayo itastop uwezakano wa kurelease mayai,itathicken cervix ili kufanya ugumu wa sperms kupenya na itafanya womb kuwa nyembamba ili kuzuia uwezakano wa mimba kutungwa.Effects zake nzuri ni kuwa miaka mitatu upo salama no mimba.cervix ikiwa nene haipitishi bacteria so inasaidia kupunguza uwezekano wa magonjwa ya kizazi.Huoni siku zako.
Effects mbay ni kuwa ile mwanzo mwanzo unasikia kichefuchefu,pia wengine huwa wanableed sana ,uzuri ukiona inakuletea effects mbaya kuna uwezakano wa kwenda kuitoa.
 
Usiumie roho,nadhani ulijiuliza mara mia mia kufanya hii procedure,na ukasain kabisa.Kwa hiyo huna jinsi zaidi ya kuikubali hali yako mpya.Mimi mbona ninao watatu.Nimeamua kuweka implant.Miaka 3 ninatulia,baada ya hapo
nitajua nitumie njia gani,ila kufunga mirija ni never

Implants ndo vile vijiti?
 
Mungu anenibariki watoto 4, na wote ni ajali ajali zilitokana na njia ya kuhesabu. Nisingefunga saa hizi ningeshakuwa na mimba nyingine. Suluhisho ilikuwa kufunga na sikujua kama inaweza niletea shoes. Kama kuna uwezekano wa kufungua nitafungua Aisee maana raha ya ndoa siioni kabisa.
Usifunguwe kizazi mimi ninakupa Dawa uone Raha ya Kugegedwa ndani ya ndoa fanya hivi:

Tengeneza: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia hivyo kisha uje unipe feedback Chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
Asante mzizi ntajaribu.
 
Back
Top Bottom