Pole sana afadhali ya wewe kuwa
unapoteza hamu ya tendo la ndoa na kuwa na Stress. Wengine wanakuwa wanenepeana kwa ajili ya kufunga kizazi au
wengine wanakondeana kwa kufunga hicho kizazi wanawake wengine wanataka kuzaa hata kwa madawa ya kienyeji au
kwa uzazi wa chupa wewe unafunga kizazi ama kweli palipo na miti hakuna wajenzi. Funguwa kizazi chako matatizo yako
ya Stress na kukosa hamu ya tendo la ndoa yatakwisha kwepa siku zako kwa kutumia Tarehe achana na kufunag kizazi.
Wewe
muuza ubuyu kazi yako kuuza ubuyu unajuwa Mafuta ya Ubuyu Serikali imeyapiga
marufuku? au wewe hujuwi kazi yako kuuza ubuyu tu ninakutania vipi mkuu mzima lakini wewe?