Sidhani kama Diamond Platnumz anamsaidia Marioo

Acha kumtukana rayvanyy...utani wa ngumi uo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu acha tu, Diamond amefanya move nzuri. Lango la WCB saa hii lipo wazi maana hakuna main act mwingine pale na kama akimkuza marioo, itampa faida zaidi maana tayari ana jina na pia ni talented.
 
Diamond Anatafuta mtu wa kua anamuandikia Nyimbo, Baada ya Mavoko na Konde boy Kusepa

Dogo anaenda Kupotea, Dogo angejiuliza Mbosso na Lavalava wamefika wapi Nadhan angekaa mbali na huyu Sangoma msanii mshirikina Tanzania nzima
 
We jamaa nichawi.. hivi lavalava bila domo kuna mtu hii Tz hata angemfahamu anaishi wapi??
Na mboso bila domo.si angekuwa kibiti analima mahindi
 
Jamaa wamefanana hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…