Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu acha tu, Diamond amefanya move nzuri. Lango la WCB saa hii lipo wazi maana hakuna main act mwingine pale na kama akimkuza marioo, itampa faida zaidi maana tayari ana jina na pia ni talented.
Yes ni Afro beatz hakuna 9ja music identity hata Ghanaians wanasema hiyo style ni yao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kumtukana rayvanyy...utani wa ngumi uo
Inabidi tumtafute muanzilishi wa hizi Afro beats na si ajabu tukatua ZimbabweKwahyo Ghana ni kama Tz afu 9ja ni kama Kenya...
Ni mwendo wa kuibiana identity tu
We jamaa nichawi.. hivi lavalava bila domo kuna mtu hii Tz hata angemfahamu anaishi wapi??Diamond Anatafuta mtu wa kua anamuandikia Nyimbo, Baada ya Mavoko na Konde boy Kusepa
Dogo anaenda Kupotea, Dogo angejiuliza Mbosso na Lavalava wamefika wapi Nadhan angekaa mbali na huyu Sangoma msanii mshirikina Tanzania nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]los blancosMi namshauri Diamond, next time amchukue na Ali Kiba aende nae. Ni vizuri sana kuwafanyia promo ma-underground.
Marioo bila Diva huo domo Angemjulia Wapi? Mboso asingeweza kupotea Anakipaji kikubwa sema huku Wasafi WamekiminyaWe jamaa nichawi.. hivi lavalava bila domo kuna mtu hii Tz hata angemfahamu anaishi wapi??
Na mboso bila domo.si angekuwa kibiti analima mahindi
Mkuu mbosso asingekua wasafi huoni angpotea kama beka?? Au angekua local sana na kafubaaMarioo bila Diva huo domo Angemjulia Wapi? Mboso asingeweza kupotea Anakipaji kikubwa sema huku Wasafi Wamekiminya
Jamaa wamefanana hatarNimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.
Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia.
Kitachotokea ni Marioo sasa kuanza kuimba kama Wanigeria kitu ambacho kitamuharibia. Atapoteza identity ya muziki anaofanya kama tulivyomzoea na kumpenda.
Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.
Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.
View attachment 1325893
Huyo ni mshabiki wa kiba so usishangae comment yakeWe jamaa nichawi.. hivi lavalava bila domo kuna mtu hii Tz hata angemfahamu anaishi wapi??
Na mboso bila domo.si angekuwa kibiti analima mahindi
Mashabiki wa kiba mnatabu kweli kweli ndomaana msanii wenu afiki mbali.Marioo bila Diva huo domo Angemjulia Wapi? Mboso asingeweza kupotea Anakipaji kikubwa sema huku Wasafi Wamekiminya