Bilaly Junior
Member
- Jan 28, 2015
- 41
- 33
Identity gani tuliyonayo watanzania? Uchawi, wivu, majungu na unafiki ndio identity ya watanzania. Muache dogo afanye kazi wewe huyo Mario hata Tandale tu huwezi kumpeleka sembuse diamond aliyempeleka Nigeria??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwenyewe anayedai diamond hana identity yeye kajichubua na makalio ya bandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mwenyewe umeonyesha majungu mkuu, kweli majungu jadi yetu watanzaniaIdentity gani tuliyonayo watanzania? Uchawi, wivu, majungu na unafiki ndio identity ya watanzania. Muache dogo afanye kazi wewe huyo Mario hata Tandale tu huwezi kumpeleka sembuse diamond aliyempeleka Nigeria??
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁 Nawaza tu kungekua na tuzo za Kill bado cjui nan wangempa tuzo Mana cku iz wasanii ni wengi na wanafanya vizuri..iyo ya marioo mwacheni. Mwacheni nimesemaNimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.
Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia.
Kitachotokea ni Marioo sasa kuanza kuimba kama Wanigeria kitu ambacho kitamuharibia. Atapoteza identity ya muziki anaofanya kama tulivyomzoea na kumpenda.
Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.
Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.
View attachment 1325893
UmetishaHuyo mwenyewe anayedai diamond hana identity yeye kajichubua na makalio ya bandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asingepotea Beka hajapotea, Aslay hajapotea hata mboso asingepoteaMkuu mbosso asingekua wasafi huoni angpotea kama beka?? Au angekua local sana na kafubaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama identy Sikinde na Msondo wanayo sana.Lakini kimaendeleo wako wapi?
Beka kapotea aslay kadrop standard aslay wa 2018 sio huyu wa 2019 na 2020Asingepotea Beka hajapotea, Aslay hajapotea hata mboso asingepotea
Msondo&sikinde ni mziki wa kitanzania labda wewe waongelea Twaga pepeta au NgwasumaTanzania hatuna Identify ya mziki wetu kuanzia akina Marijan Rajabu,Msondo,Sikinde,sijui Moro Jazz au Tabora Jazz,Twanga wote copy and paste kutoka Congo DRC ,wamewakopi akina Tabulay,Franco nk.
Watu wenye mziki wenye ID ya TZ ni Jagwa,Wanne Star ,Msaga Sumu nk.
Tuna makabila zaidi ya 126 lkn maproducer wameshindwa,kucreate biti kutoka kwenye haya.makabila.
Sio kwa Kitanzania.Msondo&sikinde ni mziki wa kitanzania labda wewe waongelea Twaga pepeta au Ngwasuma
Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.
Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.
View attachment 1325893
Identity bila hela ni sawa na sura nzuri kwa mwanamke bila tako!Nimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.