Sidhani kama Diamond Platnumz anamsaidia Marioo

Huyo mwenyewe anayedai diamond hana identity yeye kajichubua na makalio ya bandia
Identity gani tuliyonayo watanzania? Uchawi, wivu, majungu na unafiki ndio identity ya watanzania. Muache dogo afanye kazi wewe huyo Mario hata Tandale tu huwezi kumpeleka sembuse diamond aliyempeleka Nigeria??

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee mwenyewe umeonyesha majungu mkuu, kweli majungu jadi yetu watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.

Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia.

Kitachotokea ni Marioo sasa kuanza kuimba kama Wanigeria kitu ambacho kitamuharibia. Atapoteza identity ya muziki anaofanya kama tulivyomzoea na kumpenda.

Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.

Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.

View attachment 1325893
😁😁 Nawaza tu kungekua na tuzo za Kill bado cjui nan wangempa tuzo Mana cku iz wasanii ni wengi na wanafanya vizuri..iyo ya marioo mwacheni. Mwacheni nimesema
 
Kama identy Sikinde na Msondo wanayo sana.Lakini kimaendeleo wako wapi?

Tanzania hatuna Identify ya mziki wetu kuanzia akina Marijan Rajabu,Msondo,Sikinde,sijui Moro Jazz au Tabora Jazz,Twanga wote copy and paste kutoka Congo DRC ,wamewakopi akina Tabulay,Franco nk.

Watu wenye mziki wenye ID ya TZ ni Jagwa,Wanne Star ,Msaga Sumu nk.
Tuna makabila zaidi ya 126 lkn maproducer wameshindwa,kucreate biti kutoka kwenye haya makabila.
 
Tanzania hatuna Identify ya mziki wetu kuanzia akina Marijan Rajabu,Msondo,Sikinde,sijui Moro Jazz au Tabora Jazz,Twanga wote copy and paste kutoka Congo DRC ,wamewakopi akina Tabulay,Franco nk.

Watu wenye mziki wenye ID ya TZ ni Jagwa,Wanne Star ,Msaga Sumu nk.
Tuna makabila zaidi ya 126 lkn maproducer wameshindwa,kucreate biti kutoka kwenye haya.makabila.
Msondo&sikinde ni mziki wa kitanzania labda wewe waongelea Twaga pepeta au Ngwasuma
 
Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.

Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.

View attachment 1325893

Mkuu Mtuflani hii hoja ya siku hizi mondi kuimba na beats za nigeria inavuma sana. Sasa hebu tuiangalie kwa undani.

Mwaka 2019 mondi ametoa ngoma zifuatazo:

Tetema (x Rayvanny)
Babalao - Soapy Naira Marley
Sugua (x Jux)
Sound (x Teni)
Inama (x Fally Ipupa)
Penzi (x Ya Levis)
Kanyaga
Moto (x Wawa Salegy)
The one (Isheketue) - King Tee Dee?

Katika hizi, ipi ya ki-nigeria na ipi si ya ki-nigeria? Au zote za ki-nigeria? Kama nyingi kati ya hizi si za ki nigeria basi tutamlaumu kuingiza vionjo tofauti tofauti.
 
Nimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.

Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia.

Kitachotokea ni Marioo sasa kuanza kuimba kama Wanigeria kitu ambacho kitamuharibia. Atapoteza identity ya muziki anaofanya kama tulivyomzoea na kumpenda.

Diamond siku hizi amekuwa ni mtu wakuimba na beat za Nigeria kitu ambacho mimi binafsi kinanichukiza sana. Amepoteza kabisa identity na ndo maana ni vigumu yeye kupata tuzo siku hizi.

Huwezi kupata tuzo kwa mfano ya “Best East African” artist wakati unaimba kama Wanigeria.

View attachment 1325893
Identity bila hela ni sawa na sura nzuri kwa mwanamke bila tako!
 
Diamond hajawahi kumsaidia mtu na hawezi kumsaidia mtu. Akijitahidi sana atakusaidia kupata chakula, pakulala, umaarufu na mademu.

Ukiona Diamond anajifanya kukusaidia, ujue kuna "Potential" anataka kuchuma.

Ni Bora hata AliKiba alikuwa anawasaidia wasanii wadogo kina Papa Masai, Prince Seseme, Belle White
 
Back
Top Bottom