Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwa hiyo mtwa ulitaka Jk amchane EL kwamba wewe huwezi kuja kuwa Rais ?Ukiangalia histry ya Lowasa na kikwete huwezi andika haya
Hakika ila lawama zipelekwe kanisa TakatifuNyerere mwacheni alale kwa amani
Alipaswa kupitisha jina la lowasa bila kumuogopa membeKwa hiyo mtwa ulitaka Jk amchane EL kwamba wewe huwezi kuja kuwa Rais ?
Sio Vatican ?Alipaswa kupitisha jina la lowasa bila kumuogopa membe
Hii ni mada mpya kabisaUndoubtedly lowassa ni mkubwa kiumri kwa Jk..picha inaongea yenyewe.
Siasa/maisha yana mambo mengi.
Mtu anayediriki kupiga dili na kupata hela za kula maisha yake yote na descendants wake wote hawezi kushindwa suala dogo kama la ku cheat umri.samahani kutoka nje ya mada
Chama chao hakitaki mtu wa kaskazini,aliasisi Nyerere haya mamboHabari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.
Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.
View attachment 2907983
Hivi kaskazini huwa ni wapi?Chama chao hakitaki mtu wa kaskazini,aliasisi Nyerere haya mambo
RussiaHivi kaskazini huwa ni wapi?
Sawa nimekuelewaRussia
Kwa vigezo vipi ?Lowasa was a good guy but Magufuli was the perfect man for the job.
Umenena vyemamlishaambiwa fahali wawili hawakai zizi moja..
by the way mnafikiri kwanini aliukosa mara kadhaa na walichengesha kuhakikisha hakalii kile kiti..?
nafikiri kutakuwa na sababu tena kubwa tu! haya maneno lazima mseme na mtakaa kimya mwishowe.
Hivi ulisoma ulichoandika kabla ya kurusha!Siasa/maisha yana mambo mengi.
Mtu anayediriki kupiga dili na kupata hela za kula maisha yake yote na descendants wake wote hawezi kushindwa suala dogo kama la ku cheat umri.samahani kutoka nje ya mada
Sina uhakika na hiliChama chao hakitaki mtu wa kaskazini,aliasisi Nyerere haya mambo