Sidhani kama kuna mademu wakali zaidi ya hawa bongo

Sidhani kama kuna mademu wakali zaidi ya hawa bongo

Tunataka kusema only super stars ndio wazuri!!!???
Hapana. Nenda pale airport, au hotel verde utaona wadem wakali kuliko hao
 
Wakali kwa UKICHECHE au wakali kwa UZURI..??? Kama ukicheche sawa, wao ni noma. Ila kma kwa uzuri, kuna mademu wamewaacha mbali sn yan. Sema tu kwa sababu hao ni celebrities, ndo maana macho yako yamefungwa kuangalia wengine.
 
Apo sijaona aliyemfikia ata kwa nusu huyu mke wangu, ila kajala alinifanya nkacheza Biko yule mwanamke.

Hii dunia mbaya sana
 
Unaongelea malaya wazuri au?
Kwa maana ninavyoelewa kama unataka kuongelea uzuri(ulimbwende) lazima utakuwa na vigezo ila kwa kuwa umeongea randomly basi hao wanaingia kwenye kundi la malaya wakali.
Haiwezekani mwanake awe ana miaka 27 lakini ametembea na wanaume wengi kuliko mama yake mwenye miaka 54.
 
HEBU LIKE KWANZA KAMA UMEIONA HIII PICHAAAA

DRa8rfNXUAAB7K5.jpg
 
Back
Top Bottom