Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Acha uongo yaani 4yrs bila kuliona jicho we zaidi ya mpumbafuYani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada,sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu.Nimempa heshima zote,nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya wazazi wake ananisaliti na kukiri kuwa ameliwa na hana bikra tena?!
Nimekaa kimya,nimemwachia Mungu.Atanijibia katika hili na kuvuja kwangu damu ndani ya nafsi yangu.
Ni wiki 2 sasa hata kula nashindwa,kuna muda nacheka peke yangu,mara nilie.Nimekuwa sijipendi na naona sina thamani tena.Sipendi pombe lakini imekuwa kimbilio langu na nisipokunywa mateso ni makubwa.
Eee Mungu wewe unajua bwana
Ungekuwa karibu ilikuwa viboko tu