Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah imekuaje?Mkuu mrejesho tayariii,yani ni huzuniii
Ebu tupe mrejesho mkuuMkuu mrejesho tayariii,yani ni huzuniii
Yani boyfriend wako anakwambia weka laini ya airtel akupigie. Sasa kwenye harusi yenu tutashiba kweli?[emoji23][emoji23]Sawa kabisa bro. Maisha sio lazima uoe. Ishi vile unataka. Mapenzi na ndoa siku hizi ni kupoteza muda tu. Mwisho wa siku ni vurugu, matalaka na watoto wanateseka. Bora mtu upate tu watoto kama ndio haja yako. Ila TAFUTA HELA KWANZA.
UPDATES:Ebu tupe mrejesho mkuu
Umefanya vizuri mkuu maana majuto ni mjukuu mwache avune alichopanda, pia hongera kwa muonesha uwanaume maana hawa viumbe ukiwachekea watakupelekeshaUPDATES:
Baada ya kunifanyia hivyo mwanzoni mwa mwaka huu,niliamua kukaa kimya ma kumwachia Mungu. Sasa jana nikiwa nimejipumzisha home mara namba ngeni inaita.Nikapokea nikasikia sauti ya kike.Nikamsikikiza,huku akiwa bado hajajitambulisha.Akaniuliza nipo wapi nikamjibu home,hakusema kuwa anataka kuja but alionesha kabisa anahitaji onana nami.Nikauliza kwani nani mwenzangu?akajibu mie Flaviana (si jina halisi). Nika respond normal,na kumjulia hali yeye na family yao kiungwana kabisa. Baada ya story hizo akaomba tuonane,me nikasema karibu
UPDATES:
Miaka minne mko mnacheza kidalipo tu mbususu hujapewa,wewe pia ni tatizo..wanawake wa kizazi chezi unawaamini kbs?